Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda
Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo
🔥♥♥♥
SMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi
Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA...