juu

Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

Saturday, 15 February 2020

Mambo 2 Muhimu Ya Kumfanyia Mpenzi Wako Pindi Mnapo Maliza Kufanya Mapenzi Soma Hapa



Mambo 2 Muhimu Ya Kumfanyia Mpenzi Wako Pindi Mnapo Maliza Kufanya Mapenzi Soma Hapa


Wanaume na wanawake walio wengi pindi wanapomaliza kufanya mambo yao na wapenzi wao chumbani hujikuta wakikaa pembeni bila kuzingatia vitu muhimu vinavyotakiwa kufanywa pindi wanapomaliza kuse*x.

VIFUATAVYO NI VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA PINDI UNAPOMALIZA TENDO NA MPENZI WAKO CHUMBANI:

1. MFUTE FUTE MPENZI WAKO

Mpenzi msomaji faham kuwa unapokwenda kufanya mapenzi na mpenzi wako hakikisha unakwenda ukiwa na kitambaa kisafi (LESO) hiki kitambaa unakuwa nacho maalum kwa ajili ya kumfuta mpenzi wako pindi mnapomaliza kufanya mapenzi.

Hakikisha unapomaliza kusex na mpenzi wako unamfuta jasho mwilini na pitisha kitambaa chako katika sehemu zake za siri mfute fute taratibu mpenzi wako usikubali mpenzi wako ajifute yeye mwenyewe na usisubiri akuambie umfute.

2. MUULIZE MPENZI WAKO KAMA KARIDHIKA AU BADO ANAHITAJI KUENDELEA:

Wapenzi waliowengi wanapomaliza kufanya mapenzi huwa hawaulizani swali kama hili wengi hujistukia na kuamua kuvaa nguo zao na kuondoka hili ni kosa kubwa, siku zote katika mapenzi mwanaume huwah kufika kileleni kuliko mwanamke hivyo mwanaume hujikuta ameisharidhika ikiwa mwanamke hajaridhika hivyo nivizuri pindi unapojiona umeridhika muulize na mpenzi wako kama nae karidhika akikuambia tayari basi mnaweza kuishia hapo au akikwambia bado ni wajibu wako wewe kuendelea tena kufanya mapenzi mpaka nayeye aridhike.

Lakini kunatatizo moja hujitokeza sana kwa upande wa wanawake wanawake walio wengi wanapoulizwa na wapenzi wao kama wameridhika huwajibu wapenzi wao “Ndio nimeridhika” lakini kumbe bado hawajaridhika.

Napenda niwaambie wanawake wote wenye mtindo huu kuwa si mzuri kuweni wakweli pindi unapoona hujaridhika usimfiche mpenzi wako mwambie ukweli kwani ni haki yako kuridhishwa.
Share:

Wednesday, 15 January 2020

Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke Kitandani

Related image
Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha.

Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema.

Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo.

1.Mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi
  1. Pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi

  2. Tumia ulimi wako ipasavyo kutomasa kitovu chake

  3. Mnyonye lita kadhaa za mate na huku ukitumia ulimi wako ipasavyo kuuchanganya ulimi wake

  4. Papasa matiti yake huku ukifinya finya chuchu zake na peleka mdomo wako huku ukinyonya kama mtoto

  5. Zungusha viganja vyako karibu kila kona ya mwili wake bila kusahau kubinya binya sehemu za mbavu hips na makalio yake

  6. Chezea ki**mi chake kwa vidole vyako au kwa ulimi ikiwezekana

  7. Mpe koni ya asili ajilambie kwa raha zake

  8. Muweke mkao mzuri wa kupokea zawadi yake

  9. Ingiza taratibu mti shimoni

Hata kama huna uwezo wa kumfkisha kileleni hiyo dozi itakusaidia vilivyo.
Naamini kama utayafanyia kazi ipasavyo tatizo la kumridhisha mwanamke litapungua.. ZINGATIA yafuatayo;
Maandalizi kwanza:
Tumia muda wa kutosha mwanzoni, wanawake wanapenda kuingiliwa taratibu bila pupa. Mbusu, mfanyie masaji na mchezee kwa muda, huku ukim non’goneza maneno machafu masikioni, na tumia mda kumpapasa sehemu nyeti. Anahitaji kuloana hatakabla hujamvua nguo.
Mtafutie Style anayoipenda:
Najua wengi mnapenda ile ya kumweka juu huku ukimshika matiti yake na makalio. Itunze hiyo utaitumia badae, mwanzoni jaribu kutafuta style ambayo ina mchanganya na kumfurahisha yeye kwanza, kama vipi muulize kwanza
Share:

Sunday, 1 December 2019

Wanawake mlioolewa never underestimate the power ya unyumba wako

Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa

 Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste.

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea “vitu” kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..
Share:

Tuesday, 5 November 2019

JINSI YA KUFANYA TENDO LA NDOA NA MWANAUME MWENYE KIHOGO KIDOGO( KIBAMIA

_💞KAMA KAWAIDA KINADADA NADHANI HAMNA MTOTO HUMU,MBOO NDOGO KERO YAKE MWAIJUA NA HAKUNA ASIOJUA UTAMU WA MBOO KUBWA,SASA NDIO, ASHAKUWA MUMEO ANA KIBAMIA, UFANYAJE❓❓❓_. _NI JUKUMU LAKO KUMRIDHISHA NAYE ARIDHIKE NA WEWE PIA NINI CHA KUFANYA KUWEZA KUMRIDHISHA NAWE UWEZE KUIFEEL HIYO MBOO KISAWASAWA_.
_MUANDAE UZURI NAYE AKUANDAE UZURI._
_💓NADHANI TUMESHAONA NAMNA NZURI YA KUMWANDAA MUME WAKO HILO HALINA MUSHKELI💓_
_ZINGATIENI MUDA_
_💓HAKIKISHENI MUNATUMIA MUDA MWINGI KUANDAANA WEWE NA MWENZI WAKO NI VEMA UMFANYIE MAKEKE KIASI CHA KWANZA AMWAGE NJE HII ITAMPA UJASIRI WA YEYE KWENDA MWENDO MREFU AINGIAPO NDANI KIASI UBOO NAO UTAJIBU KWA KUSIMAMA BARABARA💓_
*_💞UCHAGUZI STYLE💞_*
_💓HASWAA HAPA NDIO PENYEWE,ILI UWEZE KUKIFEEL UZURI KIBAMIA SHURTI UWE MBUNIFU KATIKA UCHAGUZI WA STYLE SIYO STYLE YOYOTE TU HAPANA💓_
*💞STYLE IPI NI NZURI*💞
_💓WEWE MWANAMKE UKISHAMJULIA MUME WAKO STYLE NYINGI HUJA AUTOMATICALLY ILA KWA HILI LA KIBAMIA,STYLE HII NI BORA ZAIDI💓_. 
_💓MUME WAKO AWE CHINI WEWE UJE JUU,MKALIE KIUBAVU YANI KIUPANDEUPANDE NADHANI MUMENIELEWA USIENDE SAMBAMBA NAYE KWANI UKIENDA SAMBAMBA NAYE KITU KITAPWAYA UKENI,NA KAMA UMEJAALIWA MAJI WA KUTOSHA TENA KASHESHE,UKESHA KAA KIUPANDE ANZENI SHUGHULI UKIANZA KWA KUMPA KIUNO TARATIBU UKICHOKA WAGEUKIA UPANDE MWENGINE VIVYO HIVYO HADI MWAMALIZA MAMBO,KWA KUFANYA HIVI WAWEZA ISIKIA UZURI MBOO YA MPENZI WAKO IKIZAMA NA KUTOKA KWANI HUSAIDIA KUBANA UCHI KUUFANYA UONEKANE KIDOGO MDOGO💓_
♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨
*_💞STYLE YA KIFO CHA MENDE💞_*
_💓YAANI YEYE AJE JUU WEWE UWE CHINI WAKATI ANAINGIZA ISAIDIE KUMA YAKO KWA KUSHIKA NA KUPANYANYUA JUU NADHANI MUMENIELEWA WAKATI AKITOMBA VUTA JUU KINENA CHAKO SEHEMU YAOTAPO MAVUZI HUKU UKIRUDISHA PUMZI NDANI HAPO HUFANYA KUMA KUBANA KIASI NA MBOO HATA KAMA NI NDOGO WAISIKIA KISAWASAWA💓_
*💞INDIKETA STYLE💞*
_💓PIA HII WAWEZA KUFANYA KUMA NDOGO KIASI MBOO WAWEZA IFEEL IPASAVYO,JARIBU KUM’BANA NA_ _KUMWACHIA WENGI WETU HUMU_ _TUSHAJIFUNZA NAMNA YA KUM’BANA MUME NA KUMWACHIA WAKATI WA MAJAMBOZ,UTAMU WAKE AWEZA MTAJA BABU YAKE INGIZA TARATIBU BABBY💓_ *Msiwakimbie kwa kibamia maujuzi ndio hayaaaaa😜😜*
Share:

Sunday, 22 September 2019

JE WAJUA !?:KUTOVAA CHUPI KUNA FAIDA NYINGI IKIWEMO HII AMBAYO NI MUHIMU

Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia. 












Enzi za mama zetu na babu zetu uvaaji wa chupi haukuwepo hapa Tanzania. Uvaaji wa chupi uliletwa na wamisionari na wakoloni wakati wanaleta dini Africa. Kabla ya hapo waafrica hatukuwa na utamaduni wa KUVAA chupi.

Mtoto akizaliwa hakuvalishwa chupi kamwe kama ilivyo Leo. Mwanamke pia enzi hizo alikuwa havai chupi. Mwanaume naye pia alikuwa havai chupi? Watu wote walikuwa hawavai chupi. Mwanamke alikuwa hachuchumai chini pindi akijisaidia kutokana na kwamba hawakuwa wanavaa chupi hivyo wakitaka kujisaidia haja ndogo walikuwa wanasimama tu na kupanua miguu na kuanza kukojoa.


Nyakati za leo ambapo uvaaji chupi kwa wanaume na wanawake uko juu sana kuanzia watu tunapokuwa watoto wadogo hali ya Afya ya viungo vya uzazi imeendelea kuwa mbaya sana. Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya kuvaa chupi :


1. Magonjwa ya "Urinary tract infection" au UTI hayataisha kwako.


Hii hasa ni kwa wanawake wanavaa nguo nyingi kwa wakati mmoja na kwa muda mrefu zaidi ya saa kumi. Unavaa chupi, lakini tight, suruali ya jinzi, nk halafu unashinda na hizo nguo kuanzia asubuhi unapoenda kazini hadi saa mbili usiku unaporudi home. Hiyo ni hatari sana.


Mwanamke anayefanya kazi zinazompasa kuwepo kazini zaidi ya masaa 8 namshauri asiwe anavaa chupi kabisa. Chupi ivaliwe nyakati za hedhi tu. Kama hauko kwenye siku zako vaa suruali tu bila chupi. Au vaa underskirt pekee yake kwa ndani na ndoo uvae nguo yako ya kawaida. Hii itakuepusha na kuugua UTI. Ukiacha sababu za ngono UTI husababishwa na bacteria wanaopendelea mahali penye unyevu na joto. Kwa hiyo mwanamke akivaa nguo nyingi bacteria hao hujipatia joto la kutosha kuzaana.



Mwanamke ni vyema ukaepuka kuvaa nguo za kubana mwili sana ili kuepukana na uwezekano wa kupafanya ukeni pawe na joto sana na ikitokea bacteria mmoja tu akaingia humo atazaa haraka sana na kujikuta UTI inakuwa rafiki yako. Vaa sketi bila chupi au kama kuvaa suruali ni lazima hakikisha unavaa suruali peke yake. Jizoeze tu utazoea. Na ukizoea kuvaa nguo bila chupi utainjoi sana.


2. Magonjwa ya kuvu au fungus hayatakoma kwako.


Bado niko kwa wanawake, kama nilivyoeleza mwanzo hapo magonjwa ya fungus yanasababishwa pia na kuvaa chupi kwa muda mrefu. Chupi inayovaliwa kwa zaidi ya saa 8 lazima italeta ukungu au uvundo sehemu nyeti. Huo uvundo waweza kuleta fungus ukeni. Fungus za ukeni hazina tofauti na zile za miguuni kwa wanaume wanaovaa viatu kwa muda mrefu bila usafi miguuni wa kutosha.


Chupi inakuwa kama socks za wanaume. Mwanamke avaae chupi muda mrefu bila kuruhusu upepo upite ndani ni watapata fungus ukeni sawa na mwanaume anayevaa socksi zisizofaa kiafya. Chupi au socks zinazofaa ni zile za pamba au cotton.


Of course sababu za kupata ugonjwa wa fungus kwa mwanamke siyo tu kuvaa chupi inayobanaaaa kwa muda mrefu ni pamoja na kutawadha kwa kutumia maji.


Wanawake wengi hawajui kutawadha kwa kutumia maji. Wengi wamalizapo kujitawadha haja kubwa ndipo hurudi kujisafisha ukeni. Hii ni hatari sana kwani bacteria watokanao na kinyesi unawahamisha kutoka nyuma na kuwaleta mbele.


Mwanamke unapaswa kutawadha kwanza mbele kisha umalizie nyuma. ����


Yaani hakikisha kuwa uchafu wa nyuma unaoweza kuwa umebakia kwenye vidole vyako usiuingize ukeni kwa namna yoyote. Tawadha pande zote lakini uhakikishe kuwa haviingiliani mbele na nyuma. Sawa dada yangu? Uko poa hapo?


Kikubwa hapa ni usafi wa mbele na nyuma. Usafi wa chupi zetu. Uvaaji chupi wetu.


Kwa mfano uwapo safarini tena safari ndefu ya zaidi ya saa 8 ni vyema ukasafiri bila kuvaa chupi isipokuwa tu kama uko kwenye siku zile za adabu. Hata kama uko kwenye siku za adabu ni vyema ukasafiri bila kuvaa manguo mengi sana yanayobana mwili. Vaa chupi na sketi au suruali isiyoubana sana mwili wako.


3. Chupi husababisha ugumba kwa wanaume.


Sababu nyingi za ugumba tunaweza ukizipata kutoka kwa madaktari wetu wa hospitali zetu. Lakini ukija kwangu mimi Daktari wa magonjwa ya tabia (Lifestyle Based Diseases Doctor) nitakuongezea sababu nyingine ya ugumba wa wanaume kuwa ni kuvaa chupi zinazobana sana.


Mwanaume shujaa havai chupi. Anavaa kaptura badala ya chupi. Tena havai kaptura inayobana sana. Anavaa isiyobana viungo muhimu kwa uzalishaji wa watoto. Mbegu za kiume huzalishwa kwa wingi wakati wa baridi. Kuvaa chupi inayobana kwa muda mrefu husababisha pumbu kuchemka sana na kushindwa kuzalisha mbegu nyingi. Mwanaume mwenye mbegu chache hushindwa kutungisha mimba kwani mbegu zake zinakwenda ukeni kwa uchache na kushindwa kuogelea ukeni.


4. Chupi husababisha miwasho sana kwenye mapaja ya mwanaume na mwanamke. Epuka kuvaa chupi zinazobana ili kuepukana na miwasho.


5. Chupi husababisha michubuko ya mapaja.


Ukivaa chupi kwa muda mrefu utajikuta umepata michubuko mapajani karibu na uume au uke .


6. Uvaaji chupi usiku huchelewesha tendo la ndoa.


Mwanaume anapohitaji vitu adimu usiku wakati mwingine anapaswa kujichotea tu kirahisi kwani ni mke wake halali lakini akikutana na chupi inakuwa kikwazo. Mwanamke usilale na chupi usiku. Unaogopa nini? Hakuna majambazi wala moto. Nani alikwambia ulale na chupi eti unajihami na ajali za moto usiku.? Mbona tangu umelala na chupi usiku hakuna ajali ya moto iliyokwishatokea.


Acheni kuvaa chupi enyi wanawake ili ikitokea waume zenu tunahitaji naniii usiku tujipatie kwa wepesi! Au Siyo?


Tangu niache kuvaa chupi sijawahi tena kuwashwa mapajani wala mke wangu hajawa na taarifa za fungus na UTI kama zamani alipokea hajalielewa somo hili. Na wewe pia nakushauri uache kuvaa chupi kuanzia leo Uwe na afya bora maeneo yote nyeti
Share:

Kama Unataka Kudumu Katika Mahusiano Epuka Kumwambia Maneno Haya Mpenzi Wako





Endapo umekwisha ingia katika mahusiano au unatarajia kuingia katika mahusiano ya kimapenzi, yapo mambo yanyofaa ambayo junaweza kumwambia mpenzi wako naye akafurahi, lakini yapo mambo ambayo kimsingi hupaswi kabisa kumwambia mpenzi wako. Kwani endapo utaamua kumwambia utatengeneza njia ambayo itawafanya mahusiono yenu yafe mara moja.


Maneno yafuatayo ni hatari kwa kuwa yanaleta madhara makubwa moyoni mwa mlengwa na ni vyema kuzuia kuyatamka kwa namna yoyote ile.


Maneno Mabaya Ambayo Hutakiwi Kusema Kwa Mwenza Wako:


1. Nakuchukia
Chuki ni kitu kikubwa sana,kwa kweli huwezi kuishi na mtu ambaye unamchukia. Hutakiwi kumtamkia mwenza wako neno hili. Unaweza kuchukia tabia yake lakini si yeye mwenyewe. Njia nzuri ni kusema kuwa “Nachukia au sipendi tabia yako ya kuchelewa kurudi nyumbani” au maneno yanayofanana na hayo.



2. Maneno ya Matusi
Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana.


Useseme maneno mabaya yanayomshusha mweza wako mfano kuhusu mwonekano mbaya wa mwenza wako kama “sura mbaya”,”Mnene kama nguruwe” n.k


3. Kumfananisha Tabia Mbaya mwezi wako na Wazazi Wake.
“Tabia zako kama mama yako”, au “..kama baba yako” maneno yanayomfananisha mwenza wako na wazazi au familia anakotoka yanachokoza sana na huweka vidonga kwa muda mrefu moyoni na yaepukwe.


4. Acha! Nitafanya Mwenyewe
Katika mahusiano kusaidiana ni jambo la kawaida na muhimu,maneno mabaya ya namna hii yanamvunja moyo mweza wako kutaka kufanya jambo kwako siku nyingine na linaleta utengano na kuvunjika kwa upendo.


5. Maneno Mabaya ya Kukatisha Tamaa
“Hutaweza” ,”Hutafanikiwa” n.k yanavunja moyo kwa mwenza wako na kurudisha nyuma maendeleo.


Ni muhimu kwa wenza kupeana moyo na kusaidiana ili wote muende mbele kwa pamoja. Umoja ni nguvu.


Hivyo nikusihi ya kwamba kama kweli unataka kudumu katika mahusiano ya ndoa acha mara moja kumwambia maneno hayo, bali unatakiwa kumfariji kwa maneno mazuri yenye kuleta upendo wa kweli na kujenga hamasa ya kudumu milele.
Share:

Saturday, 14 September 2019

Mbinu 9 za kuwavutia na kuwateka wanawake kimapenzi

Kati ya wanawake na wanaume wote wawili wanahitaji kuvutiwa na wenza wao ili wadumu katika mahusiano. Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.

Hali kadhalika kama bado haupo Kwenye mahusiano kuna mambo ambayo ni ya msingi kufanya au kuwa nayo ili uweze kuwa na mvuto zaidi kwa wanawake.
Yafuatayo ni mambo yakufanya ili kumvutia mwanamke.
1. Kuonyesha kuwa unamjali

Wanawake wanapenda sana wanaume wanaojali wao kama wao, wanaojali kile wanachokifanya na watu wao wa karibu kama ndugu na wazazi. Wanapenda wanaume wanawaona wao ni kila kitu na wanaotoa kipaumbele kwao. Kama huna tabia hiyo, ujue upo katika nafasi kubwa ya kumkwaza mpenzi wako. Mwanamme anatakiwa amjali mpenzi wake kwa kila hali. Kumjulia hali kila wakati na kutaka kujua maendeleo yake, kutakupa nafasi kubwa sana ya kuendelea kudumu katika uhusiano hai. Vile vile kuonyesha kujali mambo yake na watu wake wa karibu kunamvutia mwanamke.

2. Kuonyesha kuwa karibu na kupatikana unapohitajika

Mwanamke huvutiwa sana na mtu ambaye yupo karibu nae na ambaye anapatikana wakati anapohitajika. Kati ya vitu vinavyowapa wapendeza sana wanawake ni pamoja na kusogezwa karibu. Hapa ni kuwa naye katika mambo mengi unayoyafanya kila siku na kushiriki katika mambo yake hata kwa mawazo kama ukishindwa kwa matendo. Ni vizuri kuwa naye au kuwasiliana naye wakati wa kula, ukitaka kujua aina ya chakula alichokula siku hiyo au ikiwezekana mchagulie. Ni mambo madogo sana lakini yanayoongeza nakshi katika mapenzi na ambayo ni muhimu sana kwa wanawake. Yapo mengi sana ambayo kwa kuyafanya utakuwa umemsogeza mpenzi wako karibu yako, mfano kutembea pamoja, kuangalia movie pamoja, nakadhalika. Tumia ubunifu wako ili uweze kuteka hisia za mwenzi wako kisawasawa kwani mwanamke anavutiwa sana na mtu aliye karibu nae.
3. Kumsifia na kumuonyesha kuwa ni bora

Wanawake wanapenda kusifiwa na kuonekana kuwa bora. Mwanamke akisifiwa anahisi kupendwa kupita kiasi. Anajiona kamili, peke yake na mwenye nguvu kwako. Anajiamini na unamfanya azidi kukupenda kwa kuwa anaamini yupo na mwanaume ambaye anajivunia kuwa naye. Vilevile kumsifia mwanamke kwake ni njia ya kuonyesha upendo na Ishara ya kuonyesha kumjali kupita kiasi.

4. Kupewa kipaumbele

Mwanamke anavutiwa zaidi na mtu anayeonyesha kumpa kipaumbele na kupewa nafasi. Kuna wakati wanawake huwa na mambo yao binafsi. Kazini au kifamilia. Inawezekana akatatizika katika eneo fulani ambalo kwa namna moja ama nyingine atahitaji usaidizi wako. Ikitokea mwanamke akawa katika hali hiyo, msikilize.
Mathalani ana tatizo la kifamilia, amekuambia mmoja wa wazazi wake anaumwa, msaidie. Si lazima kifedha, lakini kuonesha kujali kwako tu, kutampa matumani kwamba anaishi na mtu sahihi. Acha kupuuza mambo yake; hata yale madogo, kama ya ‘mtoto wa dada amerudishwa ada shuleni’.
Msikilize, mshauri panapofaa kufanya hivyo na ukiweza msaidie hata kifedha. Katika upande wa pili ni hivyo hivyo. Labda una tatizo binafsi, kazini kwako au kifamilia, mshirikishe.
Unaweza kushangaa jambo ambalo uliamini unaweza kulimaliza peke yako, kwa kumshirikisha likawa jepesi zaidi na mambo yakaendelea vyema. Kipaumbele kwa namna yoyote ile, kunaongeza mapenzi zaidi kwa mwanamke.
5. Usafi binafsi

Wanawake wanapenda mwanamme ambaye ni msafi, hii ni kwa sababu kiasili wamejaliwa kupenda usafi ndio maana ni nadra sana kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya nyumba au la nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya kupenda sana usafi. Mwanamke anavutiwa sana na mwanaume mtanashati. Usafi wako unamfanya ajiamini kuwa na wewe. Hata nyumbani kwako, lazima uishi katika nyumba safi. Hata anapokuja kukutembelea, anakuta mazingira masafi kuanzia sebuleni hadi chumbani. Anapokukuta katika hali ya usafi, inakuwa rahisi zaidi yeye kuanzia hapo alipokukuta na kuendelea mbele.

6. Anavutiwa na mwanamme anayejiamini

Mwanamke anajisikia salama zaidi akiwa na mwanaume ambaye anajiamini yaani mwenye uwezo wa kutetea hoja zake na kujieleza sawia pale anapotakiwa kufanya hivyo au wakati wowote ule. Siyo anayebabaika na kuyumba yumba. Suala la msimamo binafsi, kwa mwanamke ni kubwa kuliko hata kumnunulia nguo mpya.
Mwanamke anapenda kukuona ukiwa katika hali halisi ya maisha yako, usiyeyumbishwa na mwenye kutoa maamuzi yasiyoyumba.
Wakati mwingine, mwanamke anaweza kukupima hata katika jambo ambalo amekosea yeye, ataangalia unavyotoa maamuzi yako, lakini pia atafuatilia kuona kama utakuwa mwepesi wa kuyabadilisha.
Anataka kuona msimamo wako muda wote. Mwanamke hapendi mtu anayebadilikabadilika Kwenye maamuzi na misimamo yake.
7. Malengo ya maisha

Mwanamke anapenda mwanaume mwenye malengo na anayemshirikisha katika mipango yake. Mwanamke anavutiwa na mwanamke mwenye malengo katika maisha yake. Vilevile anapenda mtu anayemshirikisha katika malengo yake na kumuweka katika mipango yake. Faida ya kumshirikisha katika malengo yako ni pamoja na kunampa nguvu na nafasi ya kujiona mama katika familia yenu. Msaidizi kamili wa nyumba yenu. Mweleze juu ya malengo yako, wakati mwingine anaweza kukusaidia sehemu ambayo hukutarajia.

8. Anayeweza kujitetea

Mwanamke hupenda mwanamme anayeweza kujitetea. Mwanaume aliye ‘fiti’ ni chaguo la wanawake wengi. Si mnyonge. Mpole kupitiliza na aliye tayari kuonewa! Huyu hana nafasi.
Wanawake hawapendi kuwa na wanaume ambao wapo tayari kuonewa. Wanataka wenye uwezo wa kusimama kidete kuona haki zao hazichukuliwi kirahisi. Hili si suala la kutetea tu haki yako pekee kama mwanaume, bali inapobidi kusimamia haki ya mwanamke wako. Nisieleweke vibaya katika hili, lakini mwanaume imara ni yule ambaye ana nguvu – anafanya mazoezi na ambaye yupo tayari kwa lolote! Inapowezekana, uwe na uwezo wa ‘kuzichapa’ ikiwa mtakutana na vibaka au watu wabaya wenye lengo wa kukudhuru/kuwadhuru au kumdhuru mpenzi wako.
9. Anayemtosheleza tendo la ndoa

Mwanamke anavutiwa zaidi na mwanamme anayeweza kumridhisha katika tendo la ndoa. Anataka mwanamme anayeweza kufanya kile anachotaka yeye na kile anachokipenda. Mwanamke hapendi mwanamme anayemkomoa katika tendo la ndoa au anayefanya mambo asiyoyapenda. Mwanamke anataka kuridhishwa na kujaliwa katika tendo la ndoa.
Share:

Friday, 13 September 2019

SIMULIZI TAMU:SHOGA YAKE MAMA…



ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA….

Nilijongea wakati nafungua geti la nyumbani kwetu kwani siku hiyo ilikuwa ni Ijumaa mama nikijua atakuwa tayari kaenda kuswali kwani niliondoka muda mrefu sana. Nilifika nyumbani pakiwa kimya sana ila nilipofika sebuleni nilihisi sauti za mahaba ndani ya nyumba yetu nilijaribu kufuatilia hadi ulipokuwa mlango wa Mama mdogo mtoto wa mwisho kwa kina mama tunayekaa naye hapa ndani. Nilisogea taratibu sana hadi kwenye mlango kwa kupitia tundu la funguo nilimuona mama mdogo akiwa anajichua huku akiwa kashika simu yake mkononi akionyesha kuangalia video za ngono.
Nilizidi kumtazama jinsi mikono yake ilivyozama kwenye chupi yake taratibu nilihisi boss akinisumbua nikianza kujiwa na wazo baya kichwani mwangu kadri muda ulivyozidi ndivyo mboo yangu ilikazaa haswaa huku ma mdogo akiongeza kasi yake ya kuzungusha kiuno chake huku nikumona ile chupi yake akiiweka kando nanusu ya kitumbua chake kikiwa wazi. Nilianza kufungua mlango ule nikijisemea Liwalo na liwe……
SONGA NAYOO…
Kadri nilivyofungua mlango mchanganyiko wa sauti za Ma mdogo na miguno inayotoka kwenye simu yake ilikuwa inanitia stimu zaidi. Kila nilifanikiwa kumuona ma mdogo akiwa bado kafumba macho akionyesha jinsi gani anavyolalamika kwa utamu wa vidole vyake anavyoviingiza kwenye kitumbua chake. “Shetani toka akilini mwangu” Nilijaribu kuuzuia moyo wangu lakini nilijikuta nimechelewa. Nilianza kusogea karibu alipokuwa kajilaza ma mdogo ila nilisita baada ya kukumbuka yule ninaye muona ni Kama mama yangu kwani wametoka tumbo mmoja na Mama.
Nilianza kuondoka taratibu ila nilihisi mikono ikipita kwenye mbavu zangu pande zote mbili na kukutana mbele ya tumbo langu huku nikihisi chuchu zikigusa mgongo wangu na lunifanya nisisimuke zaidi. ” Muddy nipe tafadhali hakuna atakayejua nimezidiwa mama yako” Ma mdogo alininong’oneza huku akianza kulamba sikio langu akiwa kanikumbatia kwa nguvu. Msisimuko mkali uliokuwa unanipata niliishia kufumba macho tuu huku Mikono ya Ma mdogo ikipitishwa hadi chini ya suruali yangu na kuanza kuchua mashine yangu. “Oooo aaaghhaagh shiiiitiiiii” Niilijikuta nikiishiwa ujanja kwani tayari hisia zilikuwa zimezidi uwezo wangu.
Nilimtoa mama mdogo mikononi mwangu na kumsukumia kitandani mwake. Nikijikuta nimeduwaa kwani tayari alikuwa kabakiwa na nguo moja ya ndani yaani chupi. Aliniangalia kwa macho malegevu huku akiniita kwa vidole vyake viwili. Nilitoa t-shirts niliyokuwa nimevaa na kushusha suruali nikibakiwa na boksa tuu iliyokuwa imevimba kwa mbele tokanA na mhogo wangu kutuna ipasavyo.
Nikipanda Kitandani huuku nikitanua miguu yake na kukaa katikati ya mapaja yake na kuzama nilianza kutashika mapaja yake na kuyashika matiti yake ambayo yalikuwa yanaivutia kwa muda huku ulimi wangu ukizunguka kwenye shingo yake. “Oooooohhhhh shiiiiiiiiiiitiiiiiiiiiiii nyooo…nyaaaa..zaaaaaiiii….diiii mu…diiiiiii” Sauti za mahaba zilizidi na muchukua kitambaa na kunmziba ili asitoe miguno zaidi hata mama akija asigundue. Nilimshika huku nikiinua miguu juu na kumuweka staili zoelefu ya kifo cha mende niliona jinsi kitumbua chake kinahitaji huduma yangu. Nilishika mhogo wangu huku yeye nikizamisha mhogo wangu na yeye akibinuka kidogo na kuipokea haswa. Kioichofuata ikikuwa ni juu chini huku nikihakikisha anafika anapopataka. Mpaka ilipofika saa nzima nilikuwa hoi juu ya kifua cha mama mdogo aliyeanza kuona aibu kidogo tofauti na mwanzo alipokuwa tunaanza. “Natamani usingekuwa ndugu yangu nifaidike na utamu wako Muddy” Niliishia kucheka tuu huku nikimalizia kufunga zipu yangu na kumtazama ma mdogo aliyenitazama kwa macho ya matamanio akitamani tuendelee zaidi. Nilienda na kumkumbusu shavuni huku nikitoka nje.
Nilifika nikipitiliza chumbani kwangu huku nikizikumbuka zile pesa nikizopewa na mama careen muda sio mrefu na kwa bahati mbaya nilimkumbuka tena Careen alivyokuwa kavaa huku nikikumbuka kitendo cha yeye kuja kuninusa wakati ule kisha akacheka. Nikizichukua zile nguo nilizokuwa nazo nikajikuta na mimi nacheka kwani nguo zangu zinanukia marashi ya mama careen. “Kagundua huy ngoja dawa yake ipo”.
“Muddy”
“Naaam” Nilimsikia mama akiniita sebuleni na mimi nikatoka na kwenda. Nilimkuta akiwa kafunga ushungi wake akiwa anaangalia kaswida kama kawaida yake. “Mama shikamoo”… ” Marhabaa, ulienda kwa Mama careen au ndio ulikuwa misele yako”
“Hapana nilienda na alinipatia kiasi chote ulichobiagizia”
“Daaah nafuu maana hapa mzigo uliobaki ni mdogo inatakiwa kesho niagizie mwingine Burundi ili kufikia Kesho kutwa uwe umefika”
“Ni vyema ukawahi kabla hujaisha kabisa”
“Inatakiwa uende tandika kwa yule mama said upeleke hivi vitenge pea mbili maana wanataka washone familia nzima”
“Sawa mama muddy” Mama aliishia kucheka huku akiingia ndani mwake akitoka na mzigo niliokuwa nimepewa niupeleke hata hivyo nikipenda kumuita mama muddy jina hilo ambalo nimezoea. Nilichukua mzigo hadi zilipokuwa daladala za kuelekea Temeke Tandika huku nikiondoka kabisa nyumbani. Sikuchukua muda mpaka kufika ilipokuwa geti la mama saidi nilipiga hodi kwa muda bila mafanikio nilipotaka kuondoka ila nilihisi mtu kufungua geti. “Aaaaah kumbe wewe Muddy karibu ndani” Alikuwa ni Rahma mdogo wake na Saidi ambaye zamani tulishwahi kuwa majirani kabla hawajahama kurasini.
Niliingia huku nikiwa na ule mzigo niliopewa na mama ili nije kumpatia Mama said. Nilifika na kukaa ndani ila hali niliyoikuta ndani nilikuta mziki mkubwa wa bongo ukipigwa. “Ulikuwa unacheza nini Rahma maana sielewi” Niliongea huku nikimkabidhi mzigo wa mama yake. “Hakuna ila nilikuwa najaribu tuu si unajua tena”
“Kwa sasa upo kidato cha ngapi Rahma kweli” Nilimuuliza swali la kizushi nikijua kabisa yupo kidato cha tatu.
“Nipo kidato cha tatu kwa sasa muddy”
“Daaah kweli siku zinaenda mama yako ameenda wapi lakini”
“Ameenda kwenye shughuli huko mbagala”
“Oooooohhhhh au ndio maana umejiachia hebu cheza kidogo nione kama unajua kweli yasije kama ya viuno vya kichaga”
“Aaaah muddy siwezi cheza mbele yako labda na wew ucheze” Ilikuwa ni fursa niliyokuwa naitaka kwani nikimuangalia Rahma anafanana sana na mama yake wote wamejariwa makalio haswa. Niliinuka huku nikimwambia aweke ule mfuko kwenye Kochi. Niliweka mziki ambao lazima ingetulazimu kucheza pamoja. Nilimsogolea Rahma karibu kabisa na kukishika kiuno chake tukianza kucheza nikijua ndio fursa ya pekee kuonja utamu wa Rahma. Wakati tunacheza nilikuwa nikipandisha mikono juu huku niziminya mbavubzake kichokozi. Nilijikuta nikizidiwa baada ya Rahma kugeuka na mikono yake akiiweka mikono yake juu ya bega langu nilizidi kushika sehemu ambazo nilijua nitazihamisha hisia zake. Nilianza kugusa makalio yake nikiyaminya kwa nguvu kidogo. Niliona ule umbali niliokuwa nao ukizidi kuisha na nikimuona akianza kukwepesha macho yake kutazamana na yangu. Niliona nimeshinda nilimsogeza zaidi huku chuchu zake zikigusa kifua changu na kunipa mzuka. “Ntakufa kwa siku wanawake watatu” Nilijisemea hayo baada ya kugeuza tena Rahma amenigeuzia makalio yake huku mkono wangu ukishuka chini kidogo ya kitumbua chake. Nilishusha zaidi mkono wangu na kushika juu ya kitumbua cha Rahma aliyebaki kutazama tuu. “Nipe” Ilitoka kauli ya Rahma baada ya kidole changu kushuka chini na kusugua juu ya kitumbua chake. Ghafla mlango ulifunguliwa nikibaki nimeduwaa kile nnachokiona…
ITAENDELEA….
JE NANI KAINGIA NDANI…
UTAMU NDANI KWA NDANI
ENDELEA KUSHARE NA KULIKE ZADI KWA SIMULIZI KALI NA ZA KUSISIMUA.
Share:

Friday, 7 June 2019

Kisa Manara, Mobeto Ahofia Kubondwa

DAR ES SALAAM: Hivi karibuni mwanamitindo ambaye pia ni mwimbaji wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto ‘Misa’, amekuwa karibu na Msemaji wa Timu ya Simba, Haji Manara na wamekuwa wakionekana pamoja kwenye mambo mbalimbali ikiwemo uwanjani.

 

Ukaribu huo umezua maswali mengi huku Mobeto mwenyewe akionekana kuhifia kubondwa kutokana na ukaribu huo.

Kufuatia ukaribu huo, Mobeto ameeleza hofu hiyo kupitia posti ya Manara kwenye Mtandao wa Instagram iliyowaonesha wakiwa pamoja.

 

Manara alipandisha picha hiyo Juni 2, 2019 na kuandika hivi; “Team Samatta tushampiga Kiba sita na baadaye tunafuturu kichampioni Serena Hotel.”

 

Kwenye posti hiyo baadaye Hamisa alikomenti kwa kuandika;

“Ipo siku utafanya tupigwe.”

Manara na Hamisa ambaye pia ni shabiki wa Simba, walikaa pamoja uwanja wa taifa na kutazama mechi ya Simba dhidi ya TP Mazembe na ile ya Simba dhidi ya Sevilla huku Manara akiweka picha zao mtandaoni hivi kuibua viulizo kila kona.

Stori: IMELDA MTEMA, IJUMAA

The post Kisa Manara, Mobeto Ahofia Kubondwa appeared first on Global Publishers.


Share:

Amber Lulu atamba kumng’oa Sarah kwa Harmonize

MWANAMUZIKI wa kike anayefanya vizuri kwenye anga la Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ametamba kumtoa mchumba wa mkali kutoka kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Sarah Michelotti endapo ataonesha udhaifu.

 

Awali, chanzo kilicho karibu na msanii huyo kilieleza kuwa, Amber amekuwa na ukaribu wa hali ya juu na msanii huyo kiasi kwamba lolote linaweza kutokea endapo nafasi itapatikana.

 

“Amber Lulu msimuone hivyo tu, anapenda sana kila kitu kutoka kwa Harmonize na kuna kipindi alisema atafanya juu chini ili Sarah akae pembeni na yeye ndio awe mama mjengo kwa sababu anampenda sana sana mwanamuziki huyo,” kilisema chanzo hicho.

 

Kama hiyo haitoshi, chanzo hicho kiliendelea kueleza kuwa, mara nyingi Amber anapenda sana kujichanganya WCB kwa ajili tu ya kuwa karibu na Harmonize.

 

Baada ya ubuyu huyo kutua gazetini, Ijumaa liliamua kumtafuta Amber Lulu ambapo alipopatikana aliweka wazi kuwa Harmonize ni mshkaji wake wa karibu lakini lolote linaweza kutokea.

Stori: MWANDISHI WETU, IJUMAA

 

The post Amber Lulu atamba kumng’oa Sarah kwa Harmonize appeared first on Global Publishers.


Share:

Exclusive: Tanasha Afungukia Kumwagana na Diamond!

DAR ES SALAAM: Yamezungumzwa mengi na bahati mbaya mhusika hakupata haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa kwa ukamilifu hivyo Amani limejipa jukumu hilo.

 

Ni juu ya habari nyingi za mchumba wa ‘taifa’ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ambaye mapema wiki hii ‘alitrendi sana’ kwenye mitandao ya kijamii akidaiwa kumwagana na jamaa huyo.

Hayo yote yalikuja kufuatia Diamond ‘kum-unfollow’ (kumuondoa kwenye kundi la marafiki wake kwenye mtandao wa Instagram) Tanasha na kudaiwa kurejesha majeshi kwa mama mtoto wake, Hamisa Mobeto kisha kumrejesha tena Tanasha.

 

Madai mengine yaliyowekwa mezani ni juu ya maelewano hafifu kati ya Tanasha na mama mzaa-chema (mama Diamond), Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ na familia hiyo kwa jumla hivyo kutakiwa kuchukua chake mapema kabla hayajamfika ya Zarinah Hassan na ‘maeksi’ wengine wa jamaa huyo.

TANASHA LIVE NA AMANI

Katikati ya mambo hayo mazito yaliyokosa ufafanuzi kwenye mitandao hiyo ya kijamii, Amani lilizungumza ‘live’ na Tanasha akiwa jijini Mombasa nchini Kenya anakofanya kazi katika Kituo cha Redio cha NRG ambapo alifungukia ishu hizo, kubwa likiwa ni kuachana na Diamond au Mondi.

 

TANASHA AMWAGIWA MADAI YOTE

Katika mahojiano hayo kati ya Amani na Tanasha ambaye pia ni mwanamuziki aliyeachia Wimbo wa Radio, mwanadada huyo alimwagiwa madai yote kama ifuatavyo;

Amani: Mambo vipi Tanasha? Hapa ni Amani. Kuna mambo mengi yamekuwa yakiendelea mitandaoni kubwa likiwa ni ishu ya wewe kuachana na Diamond, nini kinaendelea? Je, ni kweli mmeachana?

 

Tanasha: Napenda kuwaambia watu wasiamini kila wanachokiona kwenye mitandao ya kijamii hasa kwenye hizi kurasa za udaku na umbeya.

D (Diamond) na mimi sasa hivi tupo vizuri sana tena sana kuliko wakati mwingine wowote.

 

Au ni kwa sababu hatupostiani mitandaoni kama mwanzo? Hiyo haimaanishi kuwa kuna tatizo, hakuna tatizo. Tuna sababu zetu wenyewe.

Amani: Vipi kuhusu madai mengine ikiwemo ishu ya wewe kuwa na ujauzito wa Diamond?

Tanasha: Nimekueleza kwamba watu wasiamini kila wanachokiona kwenye mitandao ya kijamii hasa kwenye hizi kurasa za udaku na umbeya. Asante!

BABA DIAMOND

Kwa upande wake baba Diamond, Abdul Juma alipozungumza na Amani hivi karibuni kuhusu mwanaye huyo, alisema anamuunga mkono kwa mkwewe wa sasa (Tanasha) japo pia anamkubali sana Mobeto.

“Yani namkubali Tanasha awe mkwe wangu kama watakuja rasmi lakini pia Mobeto. Ikiwezekana kwa vile dini inaruhusu, anaweza akawaoa wote tu,” alisema Baba Diamond.

 

TUMEFIKAJE HAPA?

Madai ya Tanasha kuachana na Mondi yamekuwepo kwa muda mrefu tangu jamaa huyo alipoahirisha ndoa yao waliyopanga kuifunga Februari 14, mwaka huu.

Uhusiano kati ya Tanasha na Diamond kila kukicha umekuwa ukigonga vichwa vya habari tangu walipouanzisha mwishoni mwa mwaka jana.

Hata hivyo, uhusiano huo umekuwa na wakosoaji wengi kwenye mitandao ya kijamii kutokana na warembo ambao Diamond alitembea nao kabla ya Tanasha.

 

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Mwijaku ni mmoja wa watu waliowahi kumfungukia Tanasha kuwa asichukulie kitendo cha kutambulishwa kwa wazazi wa Diamond kuwa ndiyo tayari amepata kibali cha kuolewa kwani staa huyo wa Wimbo wa Inama siyo muoaji na ameshawadanganya hivyo warembo kadha wa kadha kama Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Mobeto, Wema Sepetu, Penniel Mungilwa ‘Penny’ na wengineo.

 

“Kutambulishwa siyo ndoa, jiulize wangapi wametambulishwa kwa mama yake Diamond na hawakuolewa?

Huu ni utamaduni wetu Waafrika, ukitaka kuuteka moyo wa mwanamke mtambulishe kwa wazazi wako kisha utampata na ukishapata ulichokitaka na ahadi inaishia hapo,” alisema Mwijaku.

 

WENYEWE MAHABA NIUE

Hata hivyo, wenyewe Tanasha na Mondi wamekuwa wakioneshana mahaba niue kila wanapokutana mwishoni mwa wiki kwani wanaishi mbalimbali, Tanasha akiwa Mombasa, Kenya na Mondi akiishi Dar, Tanzania.

Stori: Sifael Paul, Amani

 

The post Exclusive: Tanasha Afungukia Kumwagana na Diamond! appeared first on Global Publishers.


Share:

Thursday, 6 June 2019

STAGE YA DIAMOND GEITA USIPIME, CHEKI MAANDALIZI YAKE!

Baada ya Jana kufanya maangamizi ya kufa MTU katika Uwanja wa Taifa wilayani Kahama, Mwanamuziki Diamond Platnumz, Leo Juni 06, atafanya maangamizi kama hayo tena katika stag hii ya Ukumbi wa Desire Park mkoani Geita.

SHUHUDIA HAPA

The post STAGE YA DIAMOND GEITA USIPIME, CHEKI MAANDALIZI YAKE! appeared first on Global Publishers.


Share:

Diamond ‘Kawavuruga’ Mashabiki Shoo ya Geita – Video

Baada ya kuuwasha moto usiku wa kuamkia jana katika Uwanja wa Taifa wilayani Kahama, Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2019 amekiwasha kinomanoma baada ya kugonga bonmge jingine la shoo mjini Geita.

 

Balaa la Diamond halikuwa la kitoto kwani mashabiki walifunika uwanja mzima kushuhudia shoo ya Bingwa huyo wa burudani Afrika.

TAZAMA HAPA

The post Diamond ‘Kawavuruga’ Mashabiki Shoo ya Geita – Video appeared first on Global Publishers.


Share:

JUMA NATURE ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE (PICHA +VIDEO)

Msanii Nguli wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Nature’ akipanda jukwaani kutoa shoo usiku wa Vanny Day.

SHANGWE zilikuwa shangwe usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani Dar  usiku wa Vanny Day ambapo wakali wa kudondosha utamu wa burudani, Juma Nature, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’,Mzee wa Bwax, Gigy Money na wengine waliteka jukwaa kwa kuachia mangoma ya maana huku kuwaacha mashabiki zao waki-enjoy.

Nature akikamua jukwaani.

Mashabiki wakimshangilia Juma Nature.

…Shoo ikibamba.

…Akiongea na Mashabiki

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

The post JUMA NATURE ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE (PICHA +VIDEO) appeared first on Global Publishers.


Share:

YOUNG KILLER AIBUKA KUPIGA SHOO ‘AKIWA MZEE’ DAR LIVE (Picha +Video)

Rapa mkali Bongo, Young Killer akiongea na mashabiki zake Dar Live akiwa katika muonekano wa babu.

RAPA mkali Bongo, Young Killer amepiga shoo ya nguvu usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar ambapo ametinga stejini akiwa katika muonekano wa babu ambako Rayvanny alifanya shoo yake aliyoipa jina la Vanny Day.

Rayvanny aliwapa suprise mashabiki wake waliofurika kiwamjani hapo kwa kumpandisha Harmonize kwenye steji kitendo ambacho kilifumua shangwe upya na kufanya kiwanja chote kizizime kwa shangwe.

…Akipiga picha na mashabiki zake

…Akibadilisha nguo.

…akitoa burudani.

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

The post YOUNG KILLER AIBUKA KUPIGA SHOO ‘AKIWA MZEE’ DAR LIVE (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.


Share:

Suprise ya Harmoneze kwenye shoo ya Rayavvanny Usipime (Picha +Video)

Wenmgi walijua ni ngumu kwa msanii mwingine kutokla katika lebo ya Wasafi kuonekana kstiks jukwaa la Dar live Mbagala ambako Rayvanny alifanya shoo yake aliyoi[pa jina la Vanny Day.

Rayvannya aliwapa suprise mashabiki wake waliofurika kiwamjani hapo kwa kumpandisha Harmonize kwenye steji kitendo ambacho kilifumua shangwe upya na kufanya kiwanja chote kizizime kwa shangwe.

Harmonize alipanda na ngoma ya Paranawe ambayo ameimba na Rayvanny, ngoma hiyo iliwalipua mashabiki wengi waliokuwa wamekaa pembeni wakipata moja moja, baada ya Paranawe akaimba na wimbo wake wa Never Give up ambao kwa sasa ndiyo habari ya mjini.

Hadi anashuka stejini hakuna shabiki ambaye alipenda kitendo hicho, kwa kuwa kil mmoja alikuwa na kiu ya kumsikia Harmonize akiimba tena na tena hadi jua linatua.

The post Suprise ya Harmoneze kwenye shoo ya Rayavvanny Usipime (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.


Share:

RAY VANNY AFUNIKA DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO)

MAMBO ni mengi lakini muda nao ni mchache!  Vanny Day ndani ya Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar imefunika baada ya msanii wa kutokla katika lebo ya Wasafi Rayvanny kufanya shoo ya aina yake usiku wa kuamkia leo.

The post RAY VANNY AFUNIKA DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO) appeared first on Global Publishers.


Share:

MAANGAMIZI YA GIGY MONEY KWENYE STEJI DAR LIVE (Picha +Video)

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

…Akicheza na mpenzi wake stejini

Gigy Money akifanya yake.

..Gigy Money akipiga picha na mashabiki zake.

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

The post MAANGAMIZI YA GIGY MONEY KWENYE STEJI DAR LIVE (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.


Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger