juu

Thursday, 5 May 2022

SMS NZURI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA UMPENDAYE.

  Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!** Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu,...
Share:

I love you mpenzi wangu,

  Raha ya ucngz ni ucngz ”tamu”ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahi nikiwa mimi,Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuzi yako kamwe usijute nakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpenz...
Share:

Meseji Za Mchana Mwema Kwa Mpenzi.

  ♥ Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema *°· ♥  °·.°*    ♥ USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe...
Share:

Sms za happy birthday kwa mpenzi.

 Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,  nakupenda la azizi.•·.· ·.·•*•·. .·•Dear siku zimekaribia, miaka… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako...
Share:

Mapenzi ni matamu sana,

 Pendo la dhati lina sifa zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.* ♥ °·°*Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali...
Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger