juu

Saturday, 5 October 2019

Namna sahihi ya kuepukana na wivu kwenye mapenzi***







Wivu ni chachandu, vilevile ni kionjo cha mapenzi. Wakati mwingine ni sumu ya uhusiano, hali kadhalika hutokea kuwa kikwazo cha penzi endelevu. Ni vizuri kulitambua hilo ili ujue jinsi ya kuishi kwa kuendana na mazingira yanayofaa.


Mtu mwenye mafanikio kwenye mapenzi ni yule anayeamini katika saikolojia ya kujitambua. Hapa nikupe msisitizo kuwa ni lazima ujitambue ili uweze kuwa bora kwenye mapenzi. Kama hujitambui, maana yake hutajua ulitendalo.



Ikiwa utashindwa kujua ulitendalo, wewe utageuka kuwa kero kwa mwenzi wako. Ukifikia hatua hiyo, unadhani ni nani anaweza kukuelewa? Ni vema ujijue, ujifahamu kasoro na uimara wako katika uhusiano wako. Kama unamfurahisha au kumchukiza, yote yanafaa kugota ndani ya kichwa chako.



Je, una wivu? Hilo unapaswa kulitambua kwa sababu lipo ndani yako. Bahati mbaya ni kwamba watu wanakuwa na wivu wa kupitiliza lakini wakiambiwa wanakuwa wakali. Wanadai wanasingiziwa.



Ni vizuri ukatambua upungufu ulionao kabla ya kuelezwa na mtu wa pili.






Wivu wako umekugharimu mara ngapi? Makala haya yanatosha kuwa tiba yako ya kudumu. Pengine hujawahi kukaa, ukatafakari na kugundua kuwa wivu wako unakupeleka njia isiyo sahihi kimapenzi, hapa chini kuna mambo ambayo ni muongozo madhubuti.

Jifunze kwa watu wengine.
Mara nyingine ni rahisi kugundua kuwa unafanya makosa baada ya kuwaona wengine na kujifunza kutoka kwao. Hivyo basi, jaribu kuwaangalia watu wengine walio kwenye uhusiano. Fuatilia mtindo wao wa maisha, mafanikio yao kisha ujitazame wewe.

Bila shaka hapo ulipo, utakuwa umeshawahi kujionea wanaume na wanawake wenye wivu, jinsi wanavyotenda mambo yao, wanavyoudhi na kuchukiza kwenye uhusiano. Kama ndivyo, basi hilo ni somo kwako kwa kuepuka yale yaliyowafanya wachukize.

Inawezekana ukawa umeona kupitia kwa macho yako au umesimuliwa. Muhimu kutambua ni kwamba hulka za wivu, hususani unapozionesha mbele za watu wa pembeni ni mbaya. Kwa mantiki hiyo, kama utaweza kutambua na kuelewa alama za wivu, sina shaka kuwa utakuwa unaweza kujua jinsi ya kuishi katika mazingira salama.

Mpe nafasi
Kumbana mwenzi wako haina maana ndiyo utamfanya adumishe uaminifu kati yenu. Jifanye kama mtu usiyejali, muache atoke na marafiki zake. Inaweza kuwa tatizo endapo ataona unamnyima uhuru anaoutaka. Anahitaji nafasi ya kufurahi na marafiki zake, unambana kwa nini?

Akilini kwako lazima ukubali kwamba mwenzi wako ni mtu mzima na anajitambua, kwa hiyo uhuru utakaompa, utawezesha yeye kujiamini zaidi na kuheshimu uaminifu wako kwake. Kisaikolojia, mwenzi wako akigundua unamuamini, naye huzidisha upendo.

Vizuri pia kutambua kuwa wivu hukua zaidi pale mmoja anapokuwa na hisia kwamba mwenzi wake anasaliti. Kama upo kwenye uhusiano wenye afya, huhitaji kusumbuliwa na mawazo mabaya. Endapo utashindwa kuondoa wingu la shaka ndani yako, kaa ukijua kuwa unajiharibia.

Ongeza uaminifu. 
Mojawapo ya dawa nzuri ya kukabiliana na wivu ni kuongeza kiwango cha uaminifu. Muamini mwenzi wako na utaona jinsi mambo yatakavyokwenda. Tunza akilini kwamba kutengeneza uhusiano imara na wenye mafanikio, huhitaji kiwango kikubwa cha uaminifu.

Amini kuwa mwenzi wako atafanya mambo sahihi hata kama wewe hutakuwepo. Muamini kuwa anajitambua, kwa hiyo hatakuwa na muda mchafu wa kutenda maovu kwa kigezo kwamba haupo. Ana akili timamu, akiamua kutenda ‘uwaluwalu’, hashindwi hata kama utakuwepo.

Kwa kawaida, anaweza kuwepo mtu ambaye atakufanya usimuamini mwenzi wako hata kidogo. Inawezekana akakujengea picha kutokana na maneno ya zamani au matukio yaliyopita. Je, unaona wivu kwa sababu umeambiwa mpenzi wako aliwahi kutoka na watu wawili tofauti kabla yako?

Wivu wa nini? Kwa nini maneno hayo yakuchanganye akili? Je, ulimkuta akiwa mbumbumbu wa mapenzi na hajawahi kutoka na yeyote? Kumbe utabaini kuwa historia ya mwenzi wako haina maana inayokubalika kwenye uhusiano endelevu.

Wanasema shetani wa jana, leo anaweza kuwa malaika. Vilevile malaika wa leo kesho anaweza kuwa shetani. Inawezekana hao ulioambiwa alitoka nao walimtenda ndiyo maana hakuwapa nafasi ya kudumu lakini wewe umepata fursa hiyo kwa sababu unakidhi mahitaji yake.
Share:

Utundu kwenye mapenzi ndio silaha salama ya kulilinda penzi kwa mpenzi wako




Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha.
Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema.

Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo.

1.Mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi

Pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi

Tumia ulimi wako ipasavyo kutomasa kitovu chake

Mnyonye lita kadhaa za mate na huku ukitumia ulimi wako ipasavyo kuuchanganya ulimi wake

Papasa matiti yake huku ukifinya finya chuchu zake na peleka mdomo wako huku ukinyonya kama mtoto

Zungusha viganja vyako karibu kila kona ya mwili wake bila kusahau kubinya binya sehemu za mbavu hips na makalio yake

Chezea ki**mi chake kwa vidole vyako au kwa ulimi ikiwezekana

Mpe koni ya asili ajilambie kwa raha zake

Muweke mkao mzuri wa kupokea zawadi yake

Ingiza taratibu mti shimoni

Hata kama huna uwezo wa kumfkisha kileleni hiyo dozi itakusaidia vilivyo.

Naamini kama utayafanyia kazi ipasavyo tatizo la kumridhisha mwanamke litapungua.. ZINGATIA yafuatayo;

Maandalizi kwanza:

Tumia muda wa kutosha mwanzoni, wanawake wanapenda kuingiliwa taratibu bila pupa. Mbusu, mfanyie masaji na mchezee kwa muda, huku ukim non’goneza maneno machafu masikioni, na tumia mda kumpapasa sehemu nyeti. Anahitaji kuloana hatakabla hujamvua nguo.

Mtafutie Style anayoipenda:

Najua wengi mnapenda ile ya kumweka juu huku ukimshika matiti yake na makalio. Itunze hiyo utaitumia badae, mwanzoni jaribu kutafuta style ambayo ina mchanganya na kumfurahisha yeye kwanza, kama vipi muulize kwanzakwanza, kama vipi muulize kwanza
Share:

SMS ZA KIMAHABA ZA KUMLIWAZA NA KUMFURAHISHA MWENZI WAKO


Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
ndugu zako wanaotugombanisha 
na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
Mapenzi yetu yadumu daima.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea
nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
Chezea
…………………………..
Katu si kila rafiki ni msafi
wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda
Share:

Mambo Ya Kufanya Ili Kurudiana na Mpenzi Mliyeachana

images%2B%252861%2529Watu wengi wanaachana na wapenzi wao kwa sababu mbali mbali lakini unafanya Nini pale unapoachana naye halafu ukaja kugundua kuwa bado unampenda? Jibu ni rahisi ni kumrudisha tu kwa njia yoyote.
Watu hawajui kumrudisha mpenzi mlioachana ni jambo rahisi sana kwa njia chache tu nitakazokufundisha leo basi unaweza ukamrudisha mpenzi aliyekuacha au uliyeachana naye.

Siku ya leo nitakufundisha njia kadhaa za kumrudisha mpenzi mliyeachana na kumtuliza mara baada ya kurudiana naye maana hiyo ndiyo kazi ngumu.Fuata Njia hizi ili Kumrudisha Ex wako Kwenye maisha yako:
1. Kata Njia Zote Za Mawasiliano NayeILi kumrudisha mpenzi wako Kwanza anatakiwa ajue ni kwa kiasi gani anakumiss na njia pekee ya kufanya hivyo ni kukata mawasiliano naye hii itasaidia kumpa muda wa kufikiria ni umuhimu gani unao Kwenye maisha yake.
2. Jaribu Kuwa Bize na Mambo YakoMuda wowote Mahusiano yakiisha kila mmoja anataka kujua ex wake anafanya nini na kama anaendelea na maisha hivyo ni muhimu kujikita katika mambo yako binafsi hii itakukosesha muda wa kuanza kumuwaza na kumtafuta Ex wako na endapo ataona unafanya mambo yako ya maendelo basi atavutiwa zaidi.
3. Muonyeshe  Anachokikosa Kutoka kwakoKama unataka kumrudisha Ex wako jaribu kumkumbusha sababu za kukupenda Mwanzoni ni muhimu kujua sababu za kuachana na kutumia zile sababu kujiboresha zaidi na kujionyesha kuwa umekuwa na kubadilika na kuwa endapo atakupa nafasi basi utakuwa tayari
.
Share:

Wanawake Wanaojiona Warembo Sana Uishia Kusimamia Harusi za Wenzao Wengi Hawaolewi

Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua,hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu.
Pia wengi huishia kuwa nyumba ndogo,sababu kuu zinazofanya wasiolewe ni wengi wanakuwa wanataka kuishi maisha ya tamthilia za ng’ambo anataka mwanaume tajiri awe mtanashati sana.
Pia wanapenda sana matumizi makubwa story zake ni kuhusu matumizi ya hanasa,wanaume wengi ushtuka na kuishia ku hit na kusepa.
Hawaridhiki anakuwa anajiona mzuri sana hivyo mkikorofishana kidogo na akatongozwa nje basi uishia kwenda nje. Wengi huishia kutumiwa tu na kuachwa kwa sababu ya tabia zao na tamaa.
Share:

Hatua 10 Muhimu kupata Mwanamke yeyote Duniani

Saikolojia ina mambo mengi ambayo tukiyatumia vizuri katika maisha yetu inaweza kutusaidia kuepukana na mikanganyo katika mahusiano na maisha kwa ujumla. hizi ni baadhi ya hatua muhimu ikiwa umemwona msichana ukampenda na sasa unataka kuanzisha mahusiano naye.
HATUA 10 ZA KUANZA MAHUSIANO NA MSICHANA MZURI,MWENYE ELIMU,MWENYE KUJIHESHIMU NA MSTAARABU 
1. ikiwa kwa mara ya kwanza umeonana na msichana ukampenda na ukataka kuanza naye mahusiano.usikimbilie kumtongoza. mfahamu kwanza.hakikisha unachukua muda kufahamu anaishi wapi, anafanya kazi wapi,anasoma wapi au anafanya nini. wanaume wengi wanakosea siku ya kwanza tu anamwona msichana anaanza kushusha mistari.kwa msichana anayejielewa hawezi akakukubali.do your homework buddy.
2. ukishafahamu anapofanya kazi au anapoishi then jitahid angalau mara mbili tatu muonane.akuone ashike sura yako. kwa maana ya kwamba mara nyingine mkija kuonana awe anakumbuka kuwa mmeshawahi kutana before.kipindi chote cha kwanza ambacho unaonana naye unaweza ukawa unamsalimia tu au usimsalimie kabisa.ukawa tu mkimya lakini mpole na mstaarabu.siku hii ya tatu au nne msalimie tu basi. next time msalimie tena. another time jaribu kumsemesha kuhusu kazi na mpe pole.au jaribu kumuuliza kuhusu masomo n.k USIOMBE NAMBA YA SIMU KWANZA. then siku nyingine mkishafahamiana kama yupo kazini mpelekee kinywaji kizuri kama juice ya CERES etc. au Lunch nzuri kabisa from KFC etc.mwachie hapo usikae mwambie “nilikuwa napita tu nikakumbuka kukusalimia najua upo busy sana hii lunch usije ukapata ulcers bure” ondoka.
3. kwenye kuomba namba ya simu unapaswa uwe makini na maneno unayotumia ikiwa unamtongoza msichana anayejielewa. unaweza mwambia tena baada ya kuwa mmeshaongea na kubadilishana mawili matatu. “oohh sister i amm sorry kama hutojali naomba tubadilishane namba za simu maana siku zote hizi tunaongea tu hatuna mawasiliano.sisi binadamu you never know…”akikupa usimtafute siku hiyo..kam siku mbili hivi tulia tu.asione ulikuwa na munkari sana na namba yake. then siku moja mpigie tu kumsalimie “habari yako xxx…. za siku mbili tatu? upo? nmekukumbuka sana nikaona nikusalimie”. then muage.
4. siku nyingine mpelekee tena zawadi . wanawake wanapenda sana zawadi,na huu ndo uchawi kwa mwanamke unayependa na unamuhitaji.mpelekee zawadi.then mwachie ondoka. next day mpigie muulize huwa weekend anapendelea nini? kama anapenda movie,kwenda live band n.k tafuta sehemu tulivu mwuulize lini ana nafasi umpeleke. nenda naye sehemu tulivu.hakikisha kama una gari unamfungulia mlango na kufunga.kisha mfunge mkanda siku hiyo pulizia perfume flan tulivu sana unapofunga mkanda ni wazi utamgusa kidogo.then nenda naye unakoenda naye ukiongea naye taratibu sana huku ukimsoma anapenda maongezi gani. mpe nafasi azungumze ,then msikilize.
5. wakat wote huo hakikisha uwe unamwangalia kwa jicho la wizi..usimkodolee macho.mwangalie kwa wizi ila hakikisha naye anajua kuwa unamwangalia kwa wizi.mwangalie vidole vyake,miguu na usoni. ukirumdisha kwake/kwao mshukuru sana kwa jinsi alivyo na moyo wa ukarimu na mzuri.mwambie umebarikiwa kuwa na uzuri wote. mwache aende ndani wewe ondoka.
6. siku nyingine tena mtoe out anza kumwongelesha habari za mahusiano ujue naye yupoje.mchimbe vizuri kwa ustaarabu na taratibu.mweshimu mwoneshe thamani yake.then mkiachana baadaye mtumie text ya kumwish usiku mwema n.k asubuh muulize kama ameamka salama na mwish good day. then siku moja ukiwa umetoka naye mwambie “ xx naomba sana unisamehe kwa hili nitakalo kwambia ikiwa ntakukwaza.binafsi najikuta siku zinavyozidi kwenda nazidi kukupenda… nashindwa kujizuia kwa hali hii ninayokuwa nayo.nimejaribu sana kuificha lakini leo nimeona nisiendelee kuteseka moyoni, kiukweli najisikia amani na furaha ninapokuwa nawe.toka siku ya kwanza naona umeyabadilisha sana maisha yangu” ongea maneno haya ukimtimzama usoni au huku umeshika mkono yake taratibu.
7. siku hiyo usitake akupe jibu kama amaekubali au laah. akikupa shukuru akikwambia ngoja afikirie pia usikasirike na kum rush. ila mkirudi home kama una gari ukifika kwake simamisha gari kwanza then mtizame tu usoni.mwambie “sitamani uondoke xx wish tungeendelea kuwa wote zaidi na zaidi”chukua mkono wake ubusu. shuka mfungulie mlango mfungue mkanda ashuke.
8. akikwambia yeye ana mtu au hataki uhusiano kwa kipindi hicho .usikasirike.mwambie haina shida wewe bado moyo wako upo kwake so utaendelea kumpenda siku zote no matter what.usiache kufanya uliyokuwa unayafanya. wakati mwingine mwanamke anaweza asikupende mapema.ila usiache kuwa mwema… endelea kuwa mwema.mjali mpende mheshimu.unaweza kuta unajenga mapenzi kwake taratibu.kama ana mpenzi kuna siku watagombana na atakutafuta wewe umfariji… au kama hakuwa naye hisia zake kwako zitakua na siku moja atajikuta anakufikiria.
9. siku mkiwa pamoja sehemu “tulivu” amekuja kukutembelea mara nyingi kwako…kaa naye kwenye kochi weka movie ya mahaba but not ya porn.mkiwa mnaangalie kuwa naye karibu then unaweza mkiss mkononi. au shingoni. mshike kichwa chake mtizame usoni…. then ukiweza lengesha machozi usiseme kitu mtizame tu. mwambie “i wish you were mine” ngehakikisha una furaha sana hapa duniani.coz unastahili kuwa na furaha wakati wote” then mkiss kwenye lips,mkiss tena, na tena…huku ukimshika kiunoni na kumkiss shingoni ,nenda mdomoni mbebe taratibu mweke kwenye sofa..endelea kumkiss kila sehemu ukitafuta walipo waarabu wake.
10. usikimbilie ku make love naye kabla hujamwandaa.. mwandae sana then hapo ndo unaweza make naye love… taratibu sana huku ukiendelea kumkiss na kumsemesha ukimsifia.style ya kwanza itakuwa kifo cha mende kwa siku ya kwanza.au kwa mchezo wa kwanza kabla ya half time.mkimaliza endelea kumkumbatia.msafishe na mkiss n.k ndo tayati ameshakuwa mpenzi wako,mchumba na baadaye mke. 
Kwa msichana wa uswahilini, wa kiswahili, asiyependa Complications huhitaji hatua zoooooote hizo.
1. mfahamu jina na anapofanya kazi.nenda kazini kwake jioni moja au chuo anakosoma. msalimie mwambie umeshawah mowna sehem flani na wewe upo sehemu flani. kama hatojali mwombe umpeleke anakoishi..umpe lift kama huna gari chukua naye uber/bajaji. mwende wote ukamwache kwake. muulize kama hatojali akupatie namba ya simu ili uwe unampitia ukitoka kazini siku moja moja.
2. mpitie kwa weeke nzima. ukimpitia jioni hakikisha kwenye gari lako kuna biscuit au crisp za kwenye kopo n.k mwachie awe anatafuna tafuna. weekend mwuulize ana ratiba gani. mtoe anakotaka kwenda. mnyweshe sana..anywe hasa… then mwambie sasa muondoke. kama anaishi peke yake hana mtu kwake mwombe kuwa jinsi alivyolewa si vyema akalale kwake peke yake utaenda mpeleka kwako akapumzike.mpeleke kwako ..
3. mpeleke bafuni akaoge au mwogeshe… then mpeleke kitandani.. hapo unaweza endelea na mambo mengine hakikisha pia una condoma au mwandae kiasi cha kutosha.
Wale wanawake NYATUNYATU.
1. mwambie unatamani umle mzigo. atakutukana mwambie hayo matusi yake ndo unayapenda sana ila wewe unayataka yawe ya vitendo. mtumie 20,000 mwambie aweke voucher akutukane zaidi.
2. kesho yake mwambie unataka aje kwako umandalie nini au mwambie unataka umtoe out mwende sehemu tulivu.nenda naye hotelini au lodge ale anywe mwambie umechukua chumba mkanywee huko zaidi.then nenda naye huko kamkamue…. mpe 20,000 -30,000 za nauli. achana naye. AU wale macho Kumchuzi
1. Mwambie we hutaki kona kona .. unataka mapenzi kwake. wala huna sababu ya kumuuzia chai.so mnaweza onana wapi na pia umwandalie nauli kiasi gani na usumbufu maana unajua ana ratiba zake nyingi so unaheshimu ratiba zake.so si vizuri aje tu halafu aondoke hivi hivi so kwa ajili ya kumuomba msamaha umwandalie tsh ngapi.
NB: KEY KATIKA HAYA YOTE ni uvumilivu, ustaarabu na pi akujitoa. lazima kiasi flani mfuko utoboke… usiwe na mikono mikavu sana. lazima uwe na unyevu kiasi flani. mapenzi ni gharama. la msingi msome mtu unayemtaka. mfahamu yeye ni type gani. then nenda naye kama alivyo. vijana wengi wana haribu sababu ya haraka na kukosa subra. usimvamie mwanamke kama humfaham ni mtu wa namna gani.. atakuaibisha. hayo yote pia nawe jitizame ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kukufikiria? jiweke smart and gentle. tafuta mtu wa kuoa. 
Unaweza mwanamke ongezea unayoyapenda na pia mwanaume ukaongezea unayoona yanafaa ili kusaidiana kwenye kutafuta mke na mume anayefaa.
Share:

UNAMTONGOZA, Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki, Unajua Kwanini?

“Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!”
Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua na uhakika iwapo na wewe unampendeza yeye, Kijana wa watu unajituma na kupiga moyo konde, leo hii unajikaza kiume na kwenda kumwambia yale yote yaliyo moyoni mwako… mara… ‘kwaaa…’ anakujibu, “Oho, lakini mbona mie siku zote huwa nakuona na kukuchukulia kama rafiki, kama rafiki.. rafiki tu!”, moyo unapigwa na radi ya maumivu, na huamini kilichokupata, huku kichwani sauti ya “kama rafiki” ikijirudia rudia!.
Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, kiume.com tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwambia yanayokusibu moyoni…
Anajiamini sana akiwa na wewe mpaka mazoea yake yamepitiliza…Msichana akiwa anajiamini sana kwako, ujue hapo umeshapoteza unachotamani na umeishia kunawa, kwa msichana akimuona mtu anayempenda kweli, utaona dalili…!, utaona hatulii, mara akae vizuri, na anakua anajihisi tu mda wote, atashika nywele zake kuangalia kama ziko vizuri, mapenzi asikuambie mtu kaka, mapenzi yanaleta kutokujiamini, na iwapo anajiamini sana kwako na ashtuki akikuona, wala atikisi hata ukucha basi hapo tafuta kitu kingine tu cha kufanya.
Anakupa hadithi za wanawake wengine… Msichana ambae yupo singo hana mpenzi, halafu ukiwa nae anakua anakupa stori za wasichana wengine, hapo anatumia janja ya nyani, hapo anakubadilisha akili usimwazie yeye na uwawazie hao wasichana wengine anaokupigisha stori, achana kabisa na haya maongezi, anaweza kukwambia.. “ooho, unaonaje nikikupigia pande kwa rafiki yangu Janeti, si ni mzuri eeh?”, kaka hapo unapoteza mda tu.
Hafanyi kile unachotaka…Ukiona msichana hasikilizi kile unachotaka, yeye siku nzima anakuomba umsaidie hichi, twende pale.., we ukimwambia ya kwako anaruka maili tisa, ujue hapa huna chako, we upo pale ili akutumie tu na kwa sababu hana hisia nawe hajiulizi hata huyu jamaa anajisikiaje!.
Anatukana bila kujari uwepo wako…Maneno anayotumia ni kama yupo namwanamke mwenzie, na wala hashituki!, kaka hapa umeshakwenda na maji, mapenzi yana heshima na anayekupenda huwa anashituka akiona tu uwepo wako, na aibu yake sikuzote hua ipo karibu.
Hataki kuonekana na wewe sehemu za wazi…Ukimwambia tutoke wote, anakua na visingizio. Ukimwambia twende wote nikusindikize uendako, hata kama ni sokoni… utamsikia “ohhoo, mi nilishazoea kutembea mwenyewe wakati wote, mama atanielewa vibaya”. Hapa ni kwamba anaogopa utamwalibia chansi ya kukutana na mwanaume wa ukweli achana na wewe masuruali tu, mama gani ambae hapendi mwanae aolewe?.
Anakuomba misaada mda wote…  Msichana mwenye hisia nawe hawezi kukuomba misaada ovyo hovyo, kwanza atakua hajiamini na hujiuliza maswali kama “Hivi atanionaje na atajifikiliaje nikimuomba hiki?”.
Anakufanya kama spea tairi…Siku akikubali kutoka mtoko nawe, utashangaa kaja na mashoga zake!, hii anakua anafahamu kabisa kwa hio anakua anajihami ili usije ukapata chansi ya kuwa wewe na yeye. Yeye saa zote ni vicheko tu…, kidogo tu mara anaenda chooni, mwisho wa siku mbaba unaagwa usiku umeingia sie tunaenda.
hafanyi michezo yeyote ya kuwa karibu nae…Mwanamke akikupenda anatamani saa zote awe karibu nawe, mara mjikute mmeshikana mikono mda mrefu mpaka jasho, sasa huyu yeye atakua anakulia taimingi, anakua anahakikisha hakuna mguso wa ajabu ajabu, kaka mguso huleta hisia, na kama hana hisia kwako hawezi kufanya hivyo.
Anaongea na wanaume wengine mbele yako…Hivi hili si linaonekana kabisa, hili halina haja hata la kuliongelea, ila mtu akiwa amependa inawezekana kabisa asilione hata hili, anakua anajipa matumaini hewa!, huku kichwani akilipa sababu nyingine kabisa, “Oooh yuko sosho sana!”.Kaka hapo kama msemo wa kiumeni.com usemavyo, “umeshaliwa kekundu”.
 Hakutambulishi kwa rafiki zake…Hana hisia nawe atakutambulisha kwa nini?, labda kwa sababu vocha zote zinatoka kwako!, samahani kwa kuongea hivi najua nakukera ila ndo ukweli wenyewe, na hata ukitambulishwa, utatambulishwa kama rafiki tu, na hivyo ndo utabaki kuwa.
Cha kufanya jiongeze, na hata kama yeye ndo huwa anakupigia simu au anakufata na anaonyesha hisia ujue kuna kitu zaidi ya wewe kinachoendelea kumweka kwako
Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger