juu

Wednesday, 25 December 2019

Mambo 5 ya kuficha unapokuwa kwenye ndoa yako


Yafuatayo ndiyo mambo matano ya kuficha unapokuwa kwenye maisha ya ndoa;

Tendo 
Maisha yenu ya mahusiano ya kimwili  (sex) na mwenzako ni marufuku kumwambia mtu yeyote kwa gharama yoyote. Funga mdomo; iwe ni nzuri au mbaya. Ni mwiko kuwambia watu! (watu ni pamoja na mama yako, ndugu, marafiki, viongozi wa dini, n.k.)

Utamaduni 
Utaratibu wenu wa kufanya mambo na mtindo wa maisha. Kwa mfano, sio lazima kuwaambia watu mambo yenu ya ndani ikiwemo mipango yenu ya baadae ya kifamilia au biashara, mambo ya watoto wenu, n.k. Ikibidi kusema, basi iwe ni kwa sababu maalumu sana ya kujenga watu wengine na kufundisha wengine sio kuanika tu maisha yenu hovyo; hasa mtandaoni. Ni muhimu kuchagua kwa makini kitu cha kuweka hadharani kwa maana ukitoa jambo hutaweza kulirudisha wala kulizuia lisisambae; litaenda hadi usikotaka, litaendea tu!

Ugomvi 
Hakuna faida yoyote ya kusema magomvi yenu ya kwenye ndoa. Mara nyingi, tabia ya kusema magomvi yenu itawapunguzia heshima mbele ya jamii. Mara chache sana tabia hiyo ina faida, ila kila palipo na faida ya kusema magomvi, hasara ni kubwa zaidi kuliko faida. Chagua mwenyewe!

Pesa 
Kipato chenu na pesa zenu ni siri. Wacheni watu waone kazi zenu na jinsi mnavyowasaidia wengine sio kujisifia pesa!

Siri 
Ni mwiko kutoa siri za ndoa! Kama mwenzako kasema, “hii ni siri” au “usimwambie mtu!” Au “nimekwambia wewe tu!”, n.k. Hakikisha husemi kwa gharama yoyote, la sivyo hatakuamini tena! Na hasara yake ni kwamba, hatakuamini hata katika mambo mengine mengi tu! Tabia ya kutoa siri ni mbaya na inaweka ufa usiozibika kwa urahisi.
Share:

Tuesday, 24 December 2019

Mechi za kitandani nyakati hizi za mvua za kisuli suli




Kwanza hakikisha kila sekta uko bull bull huko chumban umesafisha kitanda kimetandikwa tyr kwa mpambano
Mwali wangu umeoga na singo juu mtoto wa kike unateleza mwili mzima kama chatu, umejifukiza udi umejipaka marashi unanukia kama jini
Nyakat hizi za mvua vaa nguo nyepes sio ujitutike migunia kama mama jusi
Huku kikuma chako umekiunga na Nyanya na kukifukiza bibi
Pania haswaa vaa siraha zote za maangizi huku unakula kashata zako za kungu bibi msosi wa mume usikose maembe nadhani mnajua kaz ya maembe kwa wanaume


Jioni kama hii tengeneza chai yako tia tangawiz kunywa kuongeza joto na minyege
Mume akirud mpokee kwa bashasha na mahaba sauti tamuu kama ukwaju wa bhakresa mpe mashamsham ajue tu leo shughuli anayo
Baadaye malizia kwa kumpa miuno yote wakt wa kitombo
Nawatakia utekelezaji mwema
Share:

Mwanamke asiepata kit⚫mb🔵 kizuri mara kwa mara huwa mchungu(hasira)..




🐙 Ila mjuwe kuwa mwanamke asiepata kit*mb* kizuri mara kwa mara huwa mchungu(hasira)........
Wanaume jitahidini kuwasugua wali wangu jamani sio mimi nafunda watoto wa kike afu nyie mnatoa mechi za kitoto
Mwanamke asiyetombwa vizur anakuwa na hasira sana mnoo
kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati "ile mwili inataka" utanielewa nina maana gani....wengine nahisi wako humu,😜 from nowhere unatukanwa 4 no reason....ahahahahhahahaaaa!!!
Share:

Raha Ilioje Siku ya Kwanza Kufanya Mapenzi



Usipokuwa makini unaweza kuligongesha siku ya kwanza tu!Sex mara ya kwanza ni uzoefu wa aina yake na hakuna kitu hufurahisha kama mnakutana wote ni bikira.

Hapa nazungumzia wale ambao amefunga ndoa tayari sizungumzii wale wanaoamua kufanya uasherati kwani ndoa ni baraka na kuwa na mume wau mke wa ujana wako ni baraka.
Je, ni mambo gani mwanaume au mwanamke ambaye ameolewa na yupo kwenye siku yake ya kwanza ya kuwa na tendo la ndoa anatakiwa kuzingatia?

MWANAUME
FAHAMU NDOTO ZAKE
Kila mwanamke ana ndoto siku moja kuwa na mume anayempenda na kumfanya kutimiza ndoto zake za kuwa mke na kuhudumiwa kama mke idara zote.
Ni jambo la msingi kwa mwanaume mpya kuwa na ufahamu wa mwanamke aliyemuoa je ni wa kisasa (contemporary) au si wa kisasa (traditional) na kwamba je response yake kwenye suala la mahaba itakuwaje.
Unavyoweza kumtimizia ndoto zake (kimahaba) ndivyo unazidi kuwa karibu na kufungua hisia zake


JE, NI BIKIRA
Suala la kuwa bikira au kutokuwa bikira halina umuhimu wowote na si tatizo lako. Pia haina haja wewe kuwa na msisitizo wa kutaka kujua kwa nini si bikira hapo si mahali pake kujadili sababu hata hivyo kama ni bikira ni vizuri pia kujua kwani kutakuwa na maumivu kidogo na ikiwezekana hata yeye mwanamke kutoa damu kidogo ingawa si kila mwanamke bikira hutoa damu.

MPE UPENDO KABLA YA KUMTAMANI
Mwanaume na mwanamke ni tofauti sana linapokuja suala la tendo la ndoa kwani mwanaume hutoa upendo ili kupewa sex na mwanamke hutoa sex ili kupewa upendo hii ina maana kwamba kwa mwanamke upendo kwanza na kwa mwanaume sex kwanza, bila kuwa makini kufahamu hii siri mnaweza kuchanganya mambo.
Mke atajiweka tayari (open) pale tu wewe mwanaume utakapoonesha upendo, caring, affections nk.
Kama akili yako na mawazo yako yapo kwenye matiti yake tu na pale chini basi hutafika popote kwani unahitaji kumpa upendo kabla ya kumtamani.

USIWE NA HARAKA:
Mwanamke huchukua muda mwingi au mrefu kuwa tayari kwa sex na akishafika anachukua muda mrefu kurudi kwenye hali yake ya kawaida.
Hivyo usiwe na haraka kama afande.
Take it slow
Au hakikisha ameonesha dalili zote kwamba yupo tayari.

MUULIZE NAMNA GANI NA WAPI
Mara nyingi kwenye shughuli za mahaba wanaume wote ni ma-genius, ndio wanaoshika usukani.
Jambo la msingi ni kukumbuka kwamba kila mwanamke ni tofauti na hata mwanamke huyo mmoja anakuwa tofauti kwa siku kadhaa katika mwezi mmoja.
Kuna siku ukishika matiti husisimka na kuna siku ukishika matiti atajisikia kuumia hivyo using’ang’anie au kuanza kubabaika.
Ni vizuri kumuuliza kitu gani anapenda na ufanye namna gani anaweza kukueleza kwa maneno au kwa ishara.

AKISEMA HAPANA HAINA SHIDA
Kwa kuwa ni mara ya kwanza anaweza akasema hapana, hivyo usiumize kichwa, inawezekana anaona aibu au yupo MP, kumbuka yeye kwanza na si wewe.
Ni rahisi sana kumvua nguo mwanaume yeyote kwa ajili ya sex hata kama hamjuani au hata kama anatoka sayari nyingine ila si mwanamke.

USIJIBU JEURI
Unaweza kuulizwa swali ambalo linakufanya ushangae hata hivyo uwe na subiri na usijibu kijeuri kwani unaweza kumpiga password kwenye feelings zake na ikawa shughuli nzito na mwili mzima ukaji lock ushindwe kufanya chochote.

UZAZI WA MPANGO NI JUKUMU LAKO MWANAUME
Kutofahamu njia za kujikinga na mwanamke kupata mimba kama hamuhitaji kuzaa watoto 35 ni kuonesha mwanaume yupo caring na pia upo selfish.
Siamini kama mnaweza kufika hapa kabla ya kujadili masuala ya uzazi, watoto, mimba na lini muwe na watoto.

MKUMBATIE, BUSU NA AWE KARIBU
Kwa mwanamke tendo la ndoa si sex peke yake bali ni pamoja na hugs, kissing, cuddling na kupeana joto kwa foreplay ya kufa mtu.
Onesha jinsi unavyomuhitaji kwani kuna msema kwamba
“The way man make love demonstrates his character”
kama unamjali mke wako mpya basi kitandani ni mahali ambapo unaweza kuonesha mara 1,000 kwamba unamjali na kinyume na hapo wewe ni
Selfish
Pleasure seeking,
Narrow focused,
Hivyo kiss, touch and feel.

MWANAMKE:

MTAZAMO:
Mwonekano wa nje (appearance) mara nyingi huwezesha wanaume kujipiga switch ya sex haraka iwezekanavyo, pia chemistry ya mwili nni jambo la msingi sana ni kama asset kwa ajili nya sex hata hivyo kwa kuwa na tendo la ndoa zuri siku ya kwanza jambo la msingi kwa mwanamke ni mtazamo wako kuhusu sex.
Ni muhimu sana kujiamini kwamba unaweza na pia mume wako atakufurahia na kwamba anakuhitaji na upo tayari kusaidiana kuhakikisha wote mnakuwa na wakati mzuri pamoja na ni jukumu lenu wote na si kulala kama gogo lisilo na feelings ukiamini mambo yataenda sawa.

USAFI
Ni vizuri sana kuzingatia suala la usafi kwani ni jambo linalopendeza kunukia vizuri katika harufu ya asili ya mwili wako.
Kwani ukiwa unavutia na mwenye kunukia vizuri basi mwanaume atakuwa crazy tu na atafanya kila analoweza kuhakikisha anakupa kile unastahili.

MAANDALIZI
Jambo la msingi ni kwa wewe mwanamke kuwa wazi kuonge na kuongea na kuongea na kuongea, yaani jiweke huru kuwa wazi kuongea kila kitu.
Kumbuka kubusiana huja baada ya kuongea kwani maneno matamu huleta hamu ya kuwa karibu zaidi kimwili.

KAMA UPO MP
Wanaume wengi huwa hawajali kama mwanamke yupo period au la hata hivyo suala hili hufanya mwanamke mwenyewe asijisikie vizuri ( embarrassed).
Ni vizuri sana kuwa na discussion na wote mfanye kile mmekubaliana kama hapana iwe hapana kwa wote na kama ndiyo iwe ndiyo kwa wote na si vinginevyo.

USIMUHUKUMU
Wanawake wengi wanaamini mwanaume lazima awe kiongozi linapokuja suala la sex hata hviyo wapo wanaume ambao huhitaji ujasiri wa mwanamke ili kila kitu kiende sawa.
Hivyo ukiona mume wako haoneshi dalili ya kwamba anaweza kuanzisha chochote ni vizuri ukachukua jukumu na katika kuchukua jukumu isifanye kwa dhihaka hadi kuumiza utu wake.
Anyway huyo ni mume wako, mwili ni mali yako na tendo la ndoa ni haki yako na mali yenu na kila kitu unafanya ni Baraka.

KILELENI
Kufika kileleni au kutokufika yote hutegemea wewe na mwenzi wako.
Ufike kileleni usifike jambo la msingi ni wewe ku-enjoy siku yako ya kwanza kuwa na mume wako na zaidi bado ni grade one so bado safari ni ndefu hadi kuwa na PhD ya mahaba kama mke na mume na ndipo utafurahia kufika kilele.

KIASI GANI
Ukweli hakuna kanuni ni kiasi gani inatosha kwani hakuna formula ya how much is too much or too little.

MWAMBIA “NAKUPENDA”
Wakati mwingine mzuri wa kumwambie mume wako nakupenda ni wakati wa sex na hapo itasaidia kuweka memories kwenye ubongo wake na hatimaye unaweza kuwa na better sex and fulfilling.




SHARE THIS POST
Share:

Kwa Nini Wanawake Wanakataa Kusimama Ukianza Approach Kwao?



Ishawahi kukutokea mara moja au nyingine.

Unajaribu kuapproach mwanamke lakini pindi unapomwita ama kutaka kuchukua atenshen yake ghafla anakupuuza hata kabla hajakwambia jina lake ama kujientroduce vizuri.

Well, hili ni jambo la kawaida ambalo linatokea mara moja au nyingine kwa mwanaume yeyote. Lakini kama hii ndio imekuwa tabia yako ya kuwa kila wakati unapuuzwa na wanawake wakati ambapo unajaribu kuwasimamisha au kuongea nao basi kuna tatizo.

Ok. Unaweza kuwa unajua mbinu zote za kuapproach mwanamke, michongo yote umeihifadhi kwa akili lakini bado kuna kitu unashindwa kukitimiza.

Kitu chenyewe ni kuwa wanaume wengi hukifanya bila wao kufahamu ya kuwa ni makosa makubwa kwa mwanamke....

...kudhani ya kuwa mwanamke atasimama na kuwasikiliza kulingana na maneno wanayoyatoa kutoka kwa vinywa vyao.

Ukweli ni kuwa mwanamke hatosimama kulingana na maneno yako unayoyatoa mara ya kwanza.

Bali hutumia fikra na uingiliaji wa mawazo ambayo ameyajenga kulingana na matukio ya zamani aliyoyapitia.

Jambo ambalo unafaa kufahamu kuhusu wanawake ni kuwa wanajenga uingilianaji wa mawazo ya jinsi ya kuwatizama wanaume kulingana na mahusiano yao ya zamani na wanaume.


Kulingana na wanawake, mwanaume ambaye anajilazimisha kuongea naye, mwanaume ambaye hana thamani katika maisha yake--- kv mwanaume ambaye havutiwi naye-- huwa na tabia moja ambayo wanaonyesha wakati wanapowaaproach....tabia ya kujipaza juu wakati wa kuongea.

Kwa kupunguza maneno mengi ni kuwa wanaume wenye tabia hii kwa kawaida wanapenda kuongea kwa haraka.

(Wanaume wasiokuwa na thamani kwa mwanamke ni wale wanaopenda kuongea kwa haraka kwa kuwa wamezoea kukatizwa katikati wakati wanapoongea ama kupuuzwa na wenzao wanapoongea)

So wewe una hii tabia? Je wewe unajiingiza katika kategoria ambayo wanaonekana kutokuwa na thamani mbele ya wanawake?

Na kama hauna tabia hii mbona unashindwa kuwasimamisha wanawake pindi unapowaaproach?

Well. Uzuri ni kuwa nimekuja na mwongozo na mwongozo wenyewe ni wa haraka ambao nimekuwa nikiusistiza katika machapisho yetu ya awali.

1. Tumia mistari yako pindi unapochukua atenshen yake ya macho
Hii ni rahisi. Pindi ambapo utaiteka atenshen yake kwa kutumia macho anza kutumia mistari yako na michomgo yako bila kusita sita. Huku kutampa sababu kuu ya kwa nini anafaa kuongea na wewe.

2. Chukua muda wako wote kuongea na yeye kwa kujivuta
Pindi ambapo utakuwa umeiteka atenshen yake ya macho usiwe na pupa ya kuongea haraka haraka kwani atakupuuza. Chukua muda wako wote wa kuyavuta maneno yako ili kuonyesha ya kuwa huna tamaa.
Mwanzo kuongea kwa mvuto ni moja ya silaha kuu ambayo kila mwanaume anafaa kuwa nayo.

Upo!? Hizi ni mbinu ambazo ukizitumia vizuri hutakuwa na wasiwasi wa kuwa mwanamke hatosimama wakati ambapo unawaaproach.
Share:

Jinsi Ya Kumtongoza Mwanamke Kwa Njia Ya Kirafiki





Wakati unapotongoza mwanamke huwa kuna vitu viwili; aidha unatongoza njia sawa ama unatongoza kwa kubahatisha.

Njia yeyote katika hizi mbili utakazozichukua, mwanamke atafahamu ya kuwa unajaribu kumpendeza na anajua unataka kutoka naye deti.

So matumaini yako hapo ni kuona ya kuwa mwanamke kama huyu anavutiwa na wewe bila kukukatiza tamaa.

Ok, unless huyu mwanamke anatafuta mchumba wa kudeti ama anatafuta mwanaume wa kujikeep naye buzy, kuna nafasi kuu akigundua ya kuwa unabahatisha kumtongoza, papo hapo atakuzima na kukuonyesha dalili za kuwa hakupendezwa na njia yako ya kujaribu kumuapproach



Akikukataa najua unaweza kuingiwa na misongo ya mawazo kutaka kujua kwa nini amekukataa. Unaweza kusumbuliwa na jambo hili kwa muda mrefu.

Lakini kama kawaida, kutongoza mwanamke huwa ni bahati nasibu, anaweza kukukubali ama kukukataa.

Well, leo nimeamua kuja na mbinu tofauti ya kutongoza mwanamke. Hii mbinu itamfanya mwanamke kuingiwa na maswali ya kujiuliza iwapo unamtongoza au la. Mbinu hii utamvutia mwanamke bila hata kumwambia neno "NAKUPENDA".

Zama nami

Jinsi ya kumtongoza mwanamke kiurafiki
1. Kuwa mwanaume bora

Katika dunia tunayoiishi sahizi kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke bora zaidi. Hivyo kutaka kuwa na mwanamke unayempenda lazima uwe bora kuliko wengine. Hii ni kuanzia tabia zako, vile unavyohusiana na wengine, miondoko yako, unadhifu wako nk. Kuwa mwanaume bora hakuna njia ya mkato. Lazima ufuate mkondo ambao wengi hawaufahamu.



2. Msifu vile inavyotakikana

Leo amekuwa tofauti kimwonekano?, ama leo amebadilisha hairstyle yake? Kama umependezwa na mwanamke mara nyingi utakuwa unanotice mabadiliko yeyote ambayo ameyafanya hivyo chukua nafasi yako kumsifia vile inavyotakikana.


Well, sasa kama unataka kumvutia ili umuingize katika mipaka ya kudeti unafaa utumie maneno ambayo hatoyasahau. Usitumie maneno ya kawaida. Jaribu kutumia maneno ambayo hayatasahaulika kwake na ambayo ni ya kibinafsi bila kuvuka mipaka. Mfano wa maneno kutumia:

Hilo shati ulilovaa ni zuri - linakufanya unapendeza zaidi ya tausi





Marashi mazuri - leo unanukia utamu ambao sijawahi kuunusa popote



Unaweza kumsifia mwanamke chochote kile ilimradi pindi utakapotamka tumia maneno ya kibinafsi. Hii itamfanya wakati mwingine atakapopaka marashi hayo atakumbuka maneno uliyoyasema. Kufanya hivi kunamvuta polepole na kukufanya wewe kuingia katika moyo wake.





Kutumia maneno kama "ngozi yako ni laini, hivi wakati wote unakuwa hivi?" ama "nimependa shati lako na vile jinsi limekubana katika mwili wako" hakufai. Kusifu kwa aina hii usithubutu kutumia kwa sasa kwani unaweza kuharibu mpango mzima.


3. Tafuta muda wa kuwa nyinyi peke yenu

Kumsuka mwanamke huwa ni bora zaidi wakati ambapo mko nyinyi wawili pekeenu. Kumsuka mwanamke mbele ya marafiki zako kutamfanya kukuona wewe hauko serious na mambo unayotamka hivyo ni bora wakati ambapo unachukua muda na kuwa na yeye pekeenu mnaongea.


Unaweza kumsuka kwa kutumia mizaha wakati ambapo mko na marafiki zenu. Lakini wakati ambapo mko nyinyi wawili, tumia maneno ambayo hatayasahau kiurahisi. Mfano unaweza kumwambia "wewe ndie unafanya siku yangu kuwa ya shangwe", "kukaa na wewe hapa najiskia niko huru" nk kutamfanya yeye kujiona spesho kwako.

Ujanja hapa ni kutumia maneno ambayo yatamfanya yeye kujiona spesho kuliko yeyote na amini usiamini mwanamke kama huyu atakuwa akifikiria mazungumzo yenu kwa muda mrefu.


4. Wanawake wanapenda ucheshi

Hivi wewe ni mcheshi? Kama jibu lako ni la basi usiendelee kusoma zaidi ya hapa mpaka uifahamu sanaa ya ucheshi.


Nadhani unafahamu ya kuwa njia ya kumvutia mwanamke lazima utumie lugha ya ucheshi mara kwa mara. Well, uzuri ni kuwa si lazima uwe na ustadi wa kuchekesha. Unaweza kuelezea matukio yako ya awali ambayo uliona yalikuchekesha. Kama mwanamke anaonyesha dalili za kukupenda, basi kila neno utakalolitoa kiutani atacheka.


5. Msumbue mara kwa mara

Wakati mwingine kumsuka mwanamke kunaweza kuonekana kuwa ni kazi ngumu, lakini kitu muhimu ni yale mambo madogo madogo ambayo mnafanya. Kumsuka mwanamke si kutumia maneno matamu ya kimapenzi pekee bali pia zile tabia ambazo mnafanya wakati mnapokuwa mnaongea. Hii ni kuanzia kucheka hadi migusano yenu ya mara kwa mara.


Kama nyote wawili mnakuwa na furaha wakati mnapoongea, hio tayari ni njia moja rahisi ya kuashiria unamsuka. So kuivuka mipaka ya urafiki, unafaa kuivuta miguu yake mara kwa mara upande wako wakati ambapo ameongea kitu cha kuchekesha ama mnapocheka.


6. Cheza na mazungumzo machafu

Hatua tano za awali ambazo tumezitaja ni za kujenga mazingira ambayo yanawaweka katika hali ya kuleta nafasi ya kusukana kiurafiki.

Wakati ambapo utachagua kuvuka hii hatua, nyote wawili mtakuwa mumeingia hatua ya kuanza kutongozana.


Wakati ambapo umepata nafasi ya faragha ama unapompigia simu, jifunze kuchanganya maneno yako. Kufikia sasa najua nyote wawili kuna tenshen flani ambayo itakuwa imejijenga kati yenu hivyo usiingiwe na wasiwasi kama utajaribu kuingiza maneno ambayo yamevuka mipaka. Mara moja au nyingine unaweza kuingiza maneno ya kimapenzi katika mazungumzo yenu. Hata kama atakwambia uachane na hayo maneno utakuwa umechukua hatua kubwa kuonyesha hisia zako kwake.


7. Leta hisia za mguso

Wakati unapomsuka mwanamke ni vizuri zaidi kama utatumia sanaa ya miguso. Mara kwa mara tafuta kisababu cha kumgusa. Aidha unaweza kumgusa viganja vyake, mikono, vipuli vyake nk. Na kila wakati ambapo utakuwa ukimgusa hakikisha unachukua muda wako kumgusa ili ahisi mkono wako kwa mwili wake. Kufanya hivi atakuwa akipenda kama utatumia mbinu ya kijanja.


8. Muombe mtoke out mara kwa mara

Mara moja wakati wa maongezi yenu unaweza kumuomba umtoe mwende mkahawani ama kumpeleka katika sinema siku ya pili. Wakati mzuri wa kumwambia haya ni wakati ambapo mmemaliza maongezi yenu ama wakati mnapokuwa mnatext. Kumuuliza hivi si lazima uonekane uko serious na vile unavyosema. Kumaliza maongezi yenu kwa ghafla kutamwacha mwanamke kama huyu kujiuliza maswali iwapo ulikuwa uko serious wakati wa kumwambia wataka mtoke out ama ilikuwa tu mizaha.


Siku ya pili mkumbushe tena kuhusu deti yenu lakini usionyeshe kama uko serious. Kama atacheka pia wewe cheka halafu ujeuze mada. Labda atakuwa hajui kama uko serious ama ni mzaha ama bado hajapenda wazo la kwako kutoka deti na wewe.


Kama atakubaliana na mwitikio wako, kila la heri kwako. Iwapo atakataa basi anza tena mikakati yako ya kumridhisha mpaka aingiliane.

NB: Mara nyingi kama utafuata hatua za awali vizuri, mwanamke kama huyu hawezi kukataa mwitikio wako.


9. Zile simu za usiku wa kiza

Usiku huwa na mbinu ya kufurahisha kuamsha hisia zetu za mapenzi.

Marafiki wowote wawili ambao wanaongea kwa muda mrefu nyakati hizi za kiza mara nyingi hufikia hatua hii. Kama wataka kujua jinsi ya kutongoza mwanamke ili akupende chukua nafasi ya kumpigia simu ama kumtext nyakati kama hizi. Hakikisha ya kuwa unamrushia maneno ya kumtongoza.


Wakati huu wa usiku ambao umetulia ukiwa unaendelea na maongezi yenu ni rahisi sana kwenu kuivuka mipaka ya kuwa marafiki na kuanza kuonyeshana hisia zenu za mapenzi.


10. Mwonyeshe kuwa wewe unaweza kuwa mwenza mzuri wa kudeti

Ok kufikia sasa utakuwa umeshamwonyesha hisia zako zote, umemvutia na kujenga kemia za kimapenzi kati yenu, lakini utakuwa bado hujafunga mchezo. Atakuwa labda amependezwa na maongezi yenu na pia kukupenda kisiri, lakini kumfanya mwanamke akuone wewe kama una nafasi nzuri ya kuwa mwenza wake lazima uonyeshe dalili.


Wakati wa mazungumzo yenu, unaweza kutoa fununu za kuwa unatafuta girlfiriend ama unatafuta mwanamke wa kutoka naye out. Kama yuko single ama katika mahusiano mabaya, kitu kitakachokuja akilini mwake ni wewe na yeye katika hali kama hio, mwanzo itakuwa bora kama utachukua nafasi ya kuongea haya yote nyakati hizi za kiza.


Pindi utakapojua kutumia mbinu hii ya kutongoza mwanamke kiurafiki, kazi yako itakuwa imerahisishwa ya kutongoza kwani utakuwa ukitumia mbinu ambayo si ya kubahatisha.
Share:

Sunday, 22 December 2019

Jinsi ya kuongea na mwanamke unayempenda kwa mara kwanza

Kuongea na mwanamke kwa mara ya kwanza ni rahisi. Unachohitaji ni mambo matatu tu. Kwanza ni kujiamini, pili ni kuwa na mistari, tatu nikufunga mchezo. Huu ndio mfumo ambao marafiki zako wengi wangeweza kukuambia pindi ambapo utawauliza jinsi ya kuongea na mwanamke.

Hapa tunaamini kuwa kuongea na mwanamke kuna hatua na mchakato ambao unauhitaji kuufuata bila kuruka hatua hata moja. Lengo letu ni kuhakikisha ya kuwa hakuna hatua itakupita. Tutakupatia zana zote ambazo unahitaji kuzifahamu ambazo zinahusiana na wanawake.

Ok, je wazifahamu njia ya kutumia hadi uanze kuongea na mwanamke? Zama nasi.

Angalia usafi wako.
Kabla hujachukua hatua yeyote ya kuongea na mwanamke hakikisha kuwa uko nadhifu. Kwanza piga mswaki, valia nguo safi na pia ukiwa na marashi jipulize. Hii itakusaidia kwa kuwa ukiwa mchafu basi hakuna mwanamke yeyote atakubali kuongea nawe.

Pia hakikisha unapoamua kumuapproach unaangalia nguo ulizovalia. Je, nguo umevalia kinamna gani. Huwezi kuapproach mwanamke uongee naye katika klabu wakati umevalia kana kwamba unaenda kwa ibada. Hakikisha kuwa nguo zako unazozivaa zina wiana na mazingira ulipo.

Muapproach ukiwa anakuona.
Wakati unamuapproach mwanamke huyu hakikisha tayari amekuona. Usimuapproach kama mwizi. Nenda moja kwa moja sehemu ambayo yuko huku ukionyesha tabasamu la kuwa uko tayari kuongea na yeye pindi ambapo utamfikia.

Tabasamu.
Kama nilivyotangulia kusema ya kuwa lazima uwe unatabasamu ukiwa unaaproach mwanamke, hivyo hivyo ni muhimu kutabasamu wakati umekaa kando ya mwanamke. Hii ni muhimu kwa kuwa utamfanya mwanamke huyu kujihisi huru mbele yako na pia ni njia moja wapo ya kujitokeza kirafiki.

Mwangalie machoni.
Ushamfikia huyu mwanamke. Kitu ambacho kinafuatia ni lazima uonyeshe ujasiri. Na ujasiri wako utaonekana pale ambapo utamwangalia huyu mwanamke machoni. Ukiwa unaanza mazungumzo na yeye, haupaswi kuangalia upande ama kuangalia chini.

Tumia ishara za mikono. 
Kutumia mikono yako mara kwa mara kuashiria kitu ama jambo fulani kunakupa ujasiri wa ghafla. Pia matumizi ya ishara hizi husaidia kusisitiza jambo fulani kando na kuwa inakupatia utulivu wakati mazungumzo yenu yanaendelea.

Tumia sauti na lugha inayofaa.
Ukiongea kwa sauti kubwa na mwanamke basi utampa ishara ya kuwa wewe ni duko, yaani masikio yako ni mazito. Ukiongea haraka haraka atakuona  wewe ni mjinga. Pia ukiongea kwa sauti laini atakuona wewe hujakomaa na hufanani na mwanaume thabiti. So hapa lazima ujifundishe jinsi ya kuongea na mwanamke vile inavyotakikana.

Hali kadhalika, matumizi ya lugha yako ni muhimu. Usitumie lugha ya kudhalilisha mtu, usitumie matusi, usitumie lugha ya uchafu. Yaani hapa lazima uwe mstaarabu kwa kuwa ni mara ya kwanza kwako kuongea na huyu mwanamke.

Msifu. 
Hii ni mbinu moja wapo ya kumfanya mwanamke ajiskie huru na kujiona kuwa angalau ameweza kumzuzua mwanaume. Kujipodoa lisaa lizima asubuhi hakuji hivi hivi!

Ingiza ucheshi ndani ya mazungumzo.
Wakati unaendelea kuongea na mwanamke huyu, hakikisha ya kuwa unaingiza ucheshi ndani ya mazungumzo yako. Hii ni muhimu kwa kuwa wanawake huvutiwa na wanaume ambao ni wacheshi.

Hizi ndizo hatua ambazo zinahitajika kuchukiliwa wakati ambapo unataka kuzungumza na mwanamke. Hakikisha kila moja ya hatua hizi unazichukua ili kufanikisha mpango mzima wa kufanikisha mazungumzo yenu. Halafu kabla sijasahau...usitoke hivi hivi bila kuchukua namba yake ya simu
Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger