
Kama penzi ni kujitoa sadaka "sacrificing" basi wote mnapaswa mjitoe sadaka kikamilifu. Kama penzi ni kuwa tayari kumfia mwenzako basi wote muwe tayari kuyatoa maisha yenu kwa ajili ya mwingine.Kama penzi ni kuhudumiana basi muwe tayari kuhudumiana. Sio mmoja anajitesa kila siku kwa ajili...