juu

Saturday 11 January 2020

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie

T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake

mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwez
kuipeza,nakupenda wewe pekee

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
"NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine

chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangu
navika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
"NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumwambia umpendaye akijisikia upweke akukumbuke wewe kwani upo kwa ajili yake

Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha
hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji
kuishi nikumbuke mimi.

🔥♥♥♥


T.gifSMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa
katika maisha yangu.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kila unapomtazama

Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo
ambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kila
ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu "UHALI GANI MPENZI?"

🔥♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger