juu

Tuesday 14 January 2020

Vitu Nane vya Kipumbavu Ambavyo Wadada Hufanya Kwenye Mapenzi



1.Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga.

2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao

3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu hapajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui.

4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo.

5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye hajatoa posa au mahari kwenu.

6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako.

7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya kumpata mwanaume ambaye hata wazazi wako hawamjui.

8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia anakupenda na atakuoa.

JITAMBUE!!!!
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger