juu

Sunday, 24 April 2022

JINSI YA KUAMSHA MAHABA NA MAPENZI KATIKA MAHUSIANO

KUJIUNGA GROUP LETU LA TELEGRAM..>> BONYEZA HAPAKUJIUNGA GROUP LETU LA WhatsApp LA..>>BONYEZA HAPAHizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana.Dumisha faragha katika mahusiano yenuHakikisha kunakua...
Share:

MPENZI WAKO HAWEZI KUKUSAHAU KAMWE

KUJIUNGA GROUP LETU LA TELEGRAM..>> BONYEZA HAPAKUJIUNGA GROUP LETU LA WhatsApp LA..>>BONYEZA HAPAHabari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema.1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo...
Share:

Wednesday, 20 April 2022

FUPIIIII LAKINI TAMU SEHEMU YA SITA

ILIPOISHIA SEHEMU YA TANO“ Tulimsikilizia Wakwetu, adi vishindo vyake vilipo toweka, mama mdogo akaanza kucheka na sisi wote tuka cheka, kwanguvu, kasoro kaka Denis alie cheka kivivu, ni kama mtu alie kata tamaa flani, hapo nika juwa kuwa, pengine ile madogo kumwomba alale pale nyumbani kwao, basi...
Share:

Zifahamu faida na hasara za kufanya au kushiriki tendo la ndoa kwa wanandoa

Tendo la ndoa ni njia ya kujamiana kati ya mwanaume na mwanamke kwa waliohalalishwa kisheria, kidini na kimiraFaidaHuimarisha kinga ya mwili sababu ni moja ya mazoezi kufanya mwili kuwa imaraHusaidaia wanandoa kama sehemu ya mazoezi maana kufanya mwili kusafirisha damu na oxygen sehemu mbalimbali...
Share:

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Na Mahusiano Bora

 Ukweli kuhusiana na suala hili ni kwamba vijana wengi wa siku hizi hawafahamu jinsi ya kukabiliana na wanawake, ama kwa kuwa hawapati mafunzo ya kutosha kutoka kwa wazazi wao, au pengine kutokana na wanawake wa sasa kuwa wajanja, kiasi kwamba wanawatisha na kuwakatisha tamaa mapema.Ni dhahiri...
Share:

SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

 Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daimaatakulinda,nami...
Share:

SMS MOTO MOTO ZA MAPENZI

 Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka... Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA...
Share:

MUME WANGU ALIPANGA KUNIFURUSHA BAADA TU YA KUPATA KIDOSHO MJINI

 Kwa jina ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne sasa. Tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote lililokuwa na kuvunja uhusiano wetu kuja miogoni mwetu. Benson alikuwa ni mwanamume ambaye alijali maslahi yangu nami nilikuwa...
Share:

Siri Nzuri Usiyoijua Kwenye Mahusiano Katika Tendo la Ndoa

 Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila kuongea na yeye.Ama labda ni yule mwanamke ambaye umefanya kumuona majuzi na ni mgeni kwako.Well,...
Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger