juu

Wednesday 20 April 2022

SMS MOTO MOTO ZA MAPENZI

 SMS MOTO MOTO ZA MAPENZI



Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka... Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA-BOFYA

...............................
"Japokuwa"
"Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha"
"Kuwa"
"Hata" "Kama" "Ukiona"
"Nipo" ""KIMYA"" Muda"
"Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako"
"""Bado"""
"Uko" Pale pale!!!!!
Usijali
"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".
.......................
  We Kipepeo,
,.-.-.-._.' //'_.-.-.-.,
  ''-.,-.:-)i(:'.-,.-''
     '-..-'()'-..-'
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa  upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe  sitamsahau. Kisha umuage kwa kumwambia nakutak(......)
...........................
Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,
ANAKUJALI na,
ANAKUTAKIA  mafanikio mema

SOMA ZAIDI HAPA

............................
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger