juu

Wednesday 20 April 2022

MUME WANGU ALIPANGA KUNIFURUSHA BAADA TU YA KUPATA KIDOSHO MJINI

 MUME WANGU ALIPANGA KUNIFURUSHA BAADA TU YA KUPATA KIDOSHO MJINI



Kwa jina ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne sasa. Tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote lililokuwa na kuvunja uhusiano wetu kuja miogoni mwetu. Benson alikuwa ni mwanamume ambaye alijali maslahi yangu nami nilikuwa wa kuzingatia yote aliyonishauri kwenye ndoa kwani sikutaka kukosana naye. Baadaye alipata kazi mjini Nairobi na hapo tukawa na makubaliano baina yetu kwamba angeenda mjini kuifanya kazi ile name ningebaki kijijini. Aliupokelea uamuzi ule kwa mikono yote na hapo akawa mwenye furaha ajabu.

Kila mwezi alikuwa akinitumia hela za kufanya shuguli mbalimbali pale nyumbani kwetu.Nilimwamini kwani hakuna hata wakati mmoja mume wangu alionekana kuwavizia vidosho wengine. Jambo hili lilinipelekea mimi kumwonyesha mapenzi ya dhati. Kila baada ya mwezi mmoja alikuwa akitembea nyumbani kunijulia hali na hapo sikuwa na shaka ya uwepo wake mjini Nairobi ilhali hatukuwa naye. Baada ya siku kupita tabia yake ilianza kubadilika. Hakuwa akipiga simu tena kama ilivyokuwa kawaida yake kila siku. Nilianza kushuku mienendo hii yake kwani nilishuku alikuwa amepata kidosho mjini. Pesa alizokuwa akituma kila mwisho wa mwezi zilipungua kwani hata wakati mwingine hakuwa akituma hata senti moja.

Wakati mwingine nilipompigia simu sauti ya mwanamke ilisikika kwenye simu yake ishara tu alikuwa keshapata mpenzi mwingine. Nilifunga safari na kwenda Nairobi kujua alipokuwa akiishi. Hakuwa akishika simu yangu niliupofika. Nyumbani pake nilipigwa na butwa baada ya kupata mwanamke mwingine kwenye nyumba ile aliyeniambia kwamba alikuwa mke wake na hakuna lolote ningefanya. Nilienda kulala kwa dada yangu usiku ule kwani sikutaka mapigano baina yangu na mwanamke yule. Dadangu alinihurumia kwa mambo yaliyonikumba na hata akanipa ushauri kwamba palikuwepo na dakatari tajika wa miti shamba kwa jina Kiwanga ambaye angenisaidia. Alinipa nambari za Daktari Kiwanga na hapo nikampigia simu na kutenga siku ambayo tungekutana kwa ajili ya usaidizi wake. ally
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger