juu

Thursday 6 June 2019

YOUNG KILLER AIBUKA KUPIGA SHOO ‘AKIWA MZEE’ DAR LIVE (Picha +Video)

Rapa mkali Bongo, Young Killer akiongea na mashabiki zake Dar Live akiwa katika muonekano wa babu.

RAPA mkali Bongo, Young Killer amepiga shoo ya nguvu usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar ambapo ametinga stejini akiwa katika muonekano wa babu ambako Rayvanny alifanya shoo yake aliyoipa jina la Vanny Day.

Rayvanny aliwapa suprise mashabiki wake waliofurika kiwamjani hapo kwa kumpandisha Harmonize kwenye steji kitendo ambacho kilifumua shangwe upya na kufanya kiwanja chote kizizime kwa shangwe.

…Akipiga picha na mashabiki zake

…Akibadilisha nguo.

…akitoa burudani.

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

The post YOUNG KILLER AIBUKA KUPIGA SHOO ‘AKIWA MZEE’ DAR LIVE (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger