
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

…Akicheza na mpenzi wake stejini

Gigy Money akifanya yake.

..Gigy Money akipiga picha na mashabiki zake.
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
The post MAANGAMIZI YA GIGY MONEY KWENYE STEJI DAR LIVE (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.
0 comments:
Post a Comment