juu

Friday 31 May 2019

Ujumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako umelimisi penzi lake

Related image

Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac
hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na
unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.
Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwa
ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.
Nakupenda kipenz cha moyo wangu.
Share:

KULA MKE WA MTU KWA STYLE HII NI MBAYA SANA


Wapo wanawake ambao wao wanajua kila siku ni Ijumaa, yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia. Watu hawa ni wale wanaodhani maisha ni raha tupu na kwamba wanaoishi kwenye shida ni wajinga.Ukweli hauko hivyo, maisha yana changamoto nyingi sana. Kuna siku mambo yanaweza kuwa si mazuri lakini siku nyingine mambo yakawa supa. Mwanamke wa kuoa lazima ajue hivyo. 

Vifuatavyo ndiyo vigezo vitakavyomfanya mwanamke aolewe mapema 
Hana tamaa na pesa.
Katika maisha ya sasa mwanamke anayependa sana pesa ukikubali awe mkeo mtasumbuana sana. Kwa maana hiyo mwanamke ambaye utagundua hana tamaa ya pesa, kwamba ikiwepo, ikikosekana anabaki kuwa yeye, huyu ni ‘wife material’. 

Hayupo tayari kukuona hauna amani.
Mwanamke ambaye unaona kabisa unapokuwa na matatizo anaumia, anahaha kuhakikisha anakurudisha kwenye hali ya kawaida, huyo anafaa kuwa mkeo 

Hupenda watoto 
Utajuaje kama ana mapenzi na watoto? Iko hivi; katika uhusiano wenu ukiona ni mtu wa kupendapenda sana watoto wa marafiki zake, kuwanunulia zawadi, kuwashauri wenzake namna nzuri ya kuwalea watoto, hata akija kupata wa kwake itakuwa ni hivyohivyo. 

Huwa anamuheshimu kila mtu
Msichana ambaye anaheshimu kila mtu, mdogo na mkubwa, anawapenda na kuwaheshimu ndugu, jamaa na marafiki zako, huyu ana sifa ya kuwa mkeo pia. 

Anajishusha
Ogopa sana mwanamke ambaye anataka usawa. Anayekufaa ni yule anayejua yeye ni mke, na wewe ni mume. Anayetambua kuwa, mwanaume ndiye kiongozi wa familia. 

Anakuongoza kwenye mambo mema.
Kama mpenzi wako ni wa kukutaka kila siku muende baa au mfanye madili hatari ili mpate pesa, huyu hana sifa ya kuwa mkeo. Mke ni yule ambaye atakuongoza kwenye kutenda mema na kuacha mabaya.
Kwa mfano kama unakunywa pombe atakushauri uache, kama siyo mtu wa ibada, atakushawishi umjue Mungu wako na mambo mengine kama hayo. 
Anajua maisha na mapenzi kwa ujumla.
Mapenzi yanachukua sehemu kubwa ya maisha ya binadamu. Kwa maana hiyo mwanamke anayekufaa wewe ni yule ambaye anayajua mapenzi vilivyo lakini pia anajua maisha. 
Kama yeye ni mtaalam wa majamboz tu lakini linapokuja suala la mambo ya kimaendeleo hayumo, huyo hafai. Pia akiwa yeye ni mtu wa mambo ya kimaendeleo tu lakini linapokuja suala la mapenzi ni sifuri, pia hakufai.
Share:

Fahamu Njia Adimu za Kumfanya Mwanamke Afike Kileleni Haraka

Kuna njia mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, “Kufika kileleni huitaji utulivu wa akili na hisia “.

Kama ukimweka mwanamke kwenye mazingira mazuri kiakili na kihisia, kuna uwezekano mkubwa na mwili wake kufuata na kumfanya afike kileleni.


Japo wanawake wanatofautiana, imejaribu kuongea na baadhi ya wanawake na wametumegea siri na kutupa njia nzuri ya kumfikisha kileleni mwanamke kwa haraka, japo ilikua mpaka tulipowapa 

baadhi ya siri zetu za kiume kidogo ndo wakalainika kutuambia…
Kama ukitaka kumfikisha kileleni kwa haraka, ni vizuri mwanamke ukamweka juu yako ili aweze kudhibiti kasi, msuguano na engo ya mashine yako ndani ya papuchi, japo nawe unaweza kupata matamanio ya kumsaidia, ila ni vizuri ukamwacha mwenyewe ili usije kumharibia kasi anayoitaka yeye na kuitumia.

Inabidi upambane na matamanio yako na uendelee kutulia na umsikilize anataka wewe ukaeje ili ajiongezee msisimko zaidi na kwa sasa inabidi uutulize mwili huku mikono yako ikishughurika na uitumie vizuri, unaweza kuwa unampapasa sehemu za makalio yake au nyuma ya kichwa chake sehemu za shingoni mpaka kisogoni kwa hali ya kimahaba, na kama umekaa wima 

utajiongezea pointi zaidi kwa kumbusu shingoni na kuongea maneno mazuri ya kimahaba na kumsifia kwa uzuri wake na sifa nyingine
Share:

HESHIMU SANA ULIPO, NI SALAMA KULIKO UENDAKO !

JUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano. Ndugu zangu maisha ya mahusiano yanahitaji faraja. Mahusiano yanahitaji utulivu; mioyo yenu itulie ili muweze kufanya mambo ya kimaendeleo. Wengi wamejikuta wakisuasua katika kufanya maendeleo kwa sababu tu ya kuyumba kimahusiano.

Mahusiano yanapokuwa na shida basi husababisha mambo mengi yasiende sawa. Ni vizuri sana wapendanao wakahakikisha wanaitafuta kwa gharama yoyote. Kila mmoja aone ana wajibu wa kulinda furaha ya mwenzake, mkiishi hivyo basi hakika mtainjoi maisha.

TURUDI KATIKA MADA

Nikirudi kwenye mada yangu ya leo, nimedhamiria kuzungumza nanyi kuhusu umuhimu wa kuheshimu ulipo. Vijana wengi siku hizi wapo njia panda kwa kushindwa kung’amua yupi hasa ni mwenza sahihi wa maisha. Leo mtu anakuwa na huyu, anaishi naye kwa miezi miwili mitatu anahamia kwa mtu mwingine baada ya kuhisi labda hawaendani na mtu husika. Hii ni changamoto kubwa, hakuna mtihani mkubwa kwa vijana kama huu.

Kumpata mwenza sahihi wa maisha ni kama vile mtihani wa maisha. Ukifanya vibaya kwa maana ya kuchagua basi utapata matokeo mabaya. Wengi huangalia sana matamanio ya mwili na sio tabia. Mwanamke anahangaika na kijana handsome, anataka awaringishie marafiki zake kwa kuwa na kijana mzuri. Vivyo hivyo kwa wanaume, nao wanahadaika na uzuri wa sura za wanawake. Matokeo yake wanajikuta wakisuasua katika suala zima kupata mwenza sahihi wa maisha. Matokeo yake hujikuta wamepoteza muda. Ndugu zangu, kwenye maisha ya mahusiano unatakiwa kuwa na msimamo. Unatakiwa kujua nini unatakiwa kufanya na kwa wakati gani ili kuepuka kujutia muda.

JIRIDHISHE KWANZA

Kabla ya kuanzisha uhusiano na mwenza wako hakikisha tu kwanza umejiridhisha. Umjue angalau anaishije, ni mtu wa aina gani? Ni mtu mwenye heshima, anayejitambua? Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia tu katika hatua za awali unaona kabisa hawafai. Unamuona ni mtu mkorofi, ni mtu mhuni ambaye hapendi hata umjue kiundani. Mtu wa aina hiyo unapomuona ukiwa katika hatua za awali ni vyema ukamuepuka na ukasubiri au kutafuta mtu ambaye ni sahihi.

UKISHAJIRIDHISHA…

Ukishahakikisha kwamba upo na mtu sahihi, angalau si kila kitu basi unachotakiwa ni kuwa na msimamo. Hakuna mtu ambaye hana mapungufu. Kila binadamu ana mapungufu yake hivyo kikubwa kinachotakiwa ni uvumilivu. Mvumilie kwa kila hali. Yawezekana akawa na matatizo fulanifulani katika kuzungumza au namna ambavyo anakuchukulia wewe kama mtu wake lakini huna budi kumvumilia. Mpe nafasi pia ya kubadilika maana kuna baadhi ya mambo mtu anaweza akabadilika kulingana na jinsi mnavyoishi.

ULIPO NI BORA

Amini kwamba ulipo ni salama zaidi kuliko kule ambako unataka kwenda. Uliye naye ni bora kuliko ambaye bado hujakutana naye. Mheshimu, mthamini maana huyo angalau unamjua kidogo. Komaa naye, kubali kukua naye na mtafanikiwa.

Usiwe mwepesi wa kukata tamaa ya kuhamia mara kwa huyu mara kwa mwingine, kaa na mmoja jipe nafasi ya kujifunza kutoka kwake naye ajifunze kutoka kwako. Itafika mahali mtakuwa mmezoeana na mnajuana vizuri.
Share:

ASALI HAIONJWI KWA JIRANIj


Habari zenu, najua mtajiuliza kulikoni leo Nasra kaja hivi, ndiyo staili yangu babu wee tena unitue! Siwezi kuwa mchoyo kwa vile kufanikiwa kwenu ndiyo furaha yangu, binafsi huwa naumia sana pale ninapomuona mwanamke mwenzangu anakosa furaha katika ndoa kwa jambo ninaloweza kumsaidia ili akastarehe na mumewe.



Juzi nilifuatwa na mwari wangu mmoja huku akilia, eti ohh mwanamke wa nyumba ya jirani amemchukulia mumewe. Shoga hivi utampaje nafasi mzee aende pembeni kujilinia asali bila hofu na mwisho kumiliki mzinga mzima? Kwa vile naheshimu ndoa, leo nataka nikung’ate sikio, sababu za nyumba ndogo kuwazidi kete wenye ndoa.



Najua siri hii itawachukiza wengi hasa wenye tabia ya kukwapua mali za watu na kujimilikisha waume hao kama wa kwao, tena wako radhi kuona familia za wenzao zikiteketea huku wao wakipata neema kutokana na kuchuna bila huruma. Kabla sijawapa siri za hao vishankupe wanaopenda kuchukua waume za watu kiasi cha kutuona siye tulioolewa si mali kitu, kwanza nataka niwaulize wale walioolewa maswali haya na kila mmoja ajibu kwa nafsi yake;



Nani anayefanya usafi wa mwili wa mume wako, kama vile kumkata kucha, kumnyoa nywele za pembe ya chaki na mambo mengine? Nani anayemfanyia masaji mume wako? Maana nawaona wengine macho yamewatoka pima kwa swali hilo la masaji, wengi hawajui kama mume anatakiwa kufanyiwa masaji, shuuuutuuuu! Basi huu ndiyo udhaifu unaozifanya nyumba ndogo kupata nguvu na kuwatawala waume zenu.



Sasa hujui lolote kati ya hayo niliyoyaeleza hapo juu, utaweza kumtuliza mumeo ndani? Siku zote adui hawezi kukushinda kama hajui udhaifu wako, mbaya zaidi udhaifu wako anaujua pale anapokutana na mumeo. Akimwangalia mumeo vidoleni anakutana na kucha zimechomoza kama kunguru la Pemba, kiwanja chake nywele zimemjaa kila kona, atashangaa, atamtia kwenye kumi na nane zake na wewe unakuwa ndiyo basi tena. Chefuuuuu!



Mzee ananogewa kwa majambozi, anakatwa kucha huku akikandwa na kupakwa mafuta, anasafishwa hadi kwenye kibendera cha kona, una nini tena mwari wangu wewe? Mali zako zinashikwa wakati wewe mwenyewe hujui hata ramani yake ikoje, niambie ni lini uliipiga deki ikulu ya mumeo?



Mwizi wako anapigilia msumari wa mwisho na kumzibua masikio mumeo, kisha mwanaume anagundua tofauti yako na ile ya nyumba ya pembeni, ikifikia hatua hiyo ujue umekwisha! Unashangaa mzee anakuwa na hasira hata kwa jambo dogo tu, hataki kula chakula chako na akirudi hata kukugusa hahitaji, upo nyonyo?



Haya ni kati ya makosa mengi ambayo wanawake walioko ndani ya ndoa wanayafanya, wengine wanayafanya bila ya kujua na wengine hawayajui kabisa na hawajui kama hawajui, eti wanalingia shepu zao, shepu peleka huko kijijini kwenu! Mwari wangu utaendelea kusimangwa kutokana na udhaifu wako, unaitwa mchafu kwa kuwa mumeo hajasafishwa, kila kona amejaa manyoya kama kondoo aliyetoroka machinjioni, hee eheeeiyaaaa!



Haya yote yanatokana na kufanya mambo kwa mazoea, kisha unalia kumbe matatizo umeyasababisha mwenyewe. Tuache tabia za kuwasubiri uwanjani, tunatakiwa kuwasubiri waume zetu wakitoka kazini ili tuingie nao bafuni kwa ajili ya kuoga pamoja.



Huko ndiko tutajua kama ikulu zao zina majani au la, huko ndiko tutaanzisha kampeni ya kulima mashamba yao na kukata nyasi na magugu yote. Kwa leo niishie hapa kama una maoni nicheki kwa namba hapo juu. Ni mimi Shangingi Mstaafu Anti Nasra.
Share:

UTAMU: Hizi ndizo Sehemu za Kuleta Utamu Muapo Chumbani

Wapendi wengi au wanandoa wengi ndoa zetu zinafunjika ka sababu ya kutojua elimu ya mapenzi ndio maana kuna kuwa na usugu katika uhusiano sasa leo tuvunje ukimya kidogo
tuanze na sehemu ya kwanza kabla ya kukimbilia kuvua chupi huku kwetu twaziita shupi


KUKUMBATIA Mwili wa mwanamke ni nyetiti kwako yaani mwili wote ni muhimu sana kukumbatia ni mwanzo wa safari ndefu ya kumfikisha mwanamke kileleni kwakuwa injini ya mwanamke inachukua muda mrefu sana kufika huko juu (kileleni-kupiz) kuna wakati ( si mara zote) mwanamke kufika kileleni ni hatua inayokwenda taratibu sana wakati anaendelea na tendo la ndoa na baada ya kufika katika ashki kubwa sana kwa hivyo kuuchomoa uume kutoka kwake kabla hajamaliza kunaletamaumivu makali sana kwake

wana sayansi wa mapendi wamegundua kuwa
kugusanisha ngozi ya kiume na ya kike kunaleta mabadiliko ya kikemikali katika ubongo na pia huimarisha afya ya mwanadamu katika ngozi ya mwanadamu kuna mishipa mingi sana ya fahamu ambayo hutoa taarifa kwa ubongo amboypo ubongo nao unatoa amri kwa mwili utoe kichocheo (hormone) kiitwacho oxytocin ambayo humfanya mtu amzoee mwenzake kwa harufu yake na matamu yakeee na apate shida kuanzisha uhusiano na tu mwingine ,
kadhalika na mwanaume akikumbatiwa na kuchezewa anapoanza kupata hisia za raha hutoa dawa kikemikali itwaayo "Endorphins", hivyo haishauriwi mwanzoni tu kuanza kumchezea maeneo ya makalioni. Ikiwa mmelala ubavu mikono inatembea , na kutoa amri nyingi mwili unaitikia endelea na hatua hizi nyingine utafaidi


USOKutanisha uso wako na uso wake lenegesha pua yako na pua yake,mbusu,chezea paji lake la uso kwa kupapasapapasa kuanzia juu mpaka chini huku unarudia rudia hivyo hivyo,unaweza kuiramba pua yake na paji lake la uso (ila hapa usafi muhumu sana) itakuwa ni hatua ya mwazo ya kuanza kuvuta hisia

MIDOMONI (LIPS)
Chezea lips zake kwa kutumia ulimi wako na meno yako, mbusu kwa masikio,ng'atang'ata kidogo midomo yake, kisha malizia kwa kunyonya ulimi wake utaanza kupata majibu ya zoezi lako.



MATITIWakati upo safarini katika zoezi hili anza kuchanganya viungo ili uweze kupata ladha kwa kuchezea chuchu zake yapapase matiti yake huku unayaminya minya kwa upole, ni vema kama utayanyonya anza kwa (lips) zako huku umezishika kisha zitekenye kidogo kwa kutumia ncha ya ulimi wako, sasa endelea kuzinyonya hizo titi

MASIKIO
Vuta kasi ya kuhama hapo au kufanya yote kwa pamoja ikiwa mkono wako mmoja unaendelea kutomasa tomasa matiti kwa ufundi huo, Ulimi wako uhamishie sikioni anza kulamba sehemu ya nje ya sikio hasa miisho yake unaweza kung'ata ng'ata kimtindo mtindo hivi (kimahaba nawe kani hujui) kisha ncha ya ulimi wako ipenyeze kwa ndani kwa mwendo wa kitekenya tekenya hivi.



NYWELE NA SHINGONywele huleta athari kwa kuchezewa hassa kwenye ncha za misuko yake ya upande wa kisogoni maeneo ya (medulla obrangata) mahali ambapo kuna mishipa ya fahamu (Nervous system).
Hapo sasa mwendo kasi wa viungo vyako unazidi, hamisha mkono wako kutoka kwenye matiti kuelekea shingoni , mpapase taratibu nyuma ya shingo yake, ikiwezekana tumia ncha ya ulimi wako kutekenya tekenya kwa ncha ya ulimi wako endelea kwa namna hii, pumua kwa nguvu ili ulete joto la hewa litakalo msisimua.


MAKALIOTaratiiiibu shusha mkono wako kutokea shingoni ulete taratibu mgongoni, moja kwa moja mpaka kiunoni, zungusha zungusha kidogo hapo kiunoni unaweza kumtekenya kidogo, kisha yapapase papase makalio yake kwa kuyaminya minya, wanawake wengine hujihisi raha zaidi ikiwa utayapiga piga kidogo.



MAPAJASafari inaendelea zaidi kwa kutumia ubapa wa mkono wako papasa sahemu ya ndani ya mapaja yake, ukipenda ramba ramba mapaja yake kwa ulimi wako


NYAYONyayo za mwanamke zinamishipa ya fahamu ambayo humfikisha kileleni (hapa sasa chunga sana na wapaka rangi za kucha) kwa kusuguliwa , kuminywa minywa kama unachora mistari hivi, piga piga kwa vidole viwili,bonyeza kwa nguvu bila kuleta maumivu wala usimtekenye.
minya minya vidole vyake tilia mkazo kidole cha kati cha mguu wake, kwani kidole hicho kina mishipa ya fahamu iliyounganika na uke kisha sasa unaweza kuanza kuuchezea uke, kisimi na G spot kabla ya kuanza kula tunda.


NYONGA (HIPS) UKE,KISIMI NA G SPOTAngalia katika sehemu zifuatazo nimeelezea
"Mwanaume hufikia kileleni nharaka kabla ya mwanamke, namna ya kufanya ili na mwenzio afaidi na makosa yanayofanyika wakati wa tendo hili la ndoa" maswali ambayo umeulizwa kwa kushikwa maeneo yako nawe waweza jibu hivyo hivyo onesha ushirikiano mwanamke kujituma na nyege kunyegezana,
wanaume wengi hupenda wanawake wanaojituma katika sehemu hii, kwa hivyo kwa kuyasughulikia maeneo haya kisawa sawa kutampelekea kumapawisha na kumfanya mwanamume awe anakumbuka utundu wako hata awapo kazini au barabarani na kutamani kurudi nyumbani mapema
Share:

Unajua Kwanini, Umemtongoza na Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki?

"Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!"

Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila 

kinachokuchanganya ni wewe kutokua na uhakika iwapo na wewe unampendeza yeye, Kijana wa watu unajituma na kupiga moyo konde, leo hii unajikaza kiume na kwenda kumwambia yale yote yaliyo moyoni mwako... mara... 'kwaaa...' anakujibu, "Oho, lakini mbona mie siku zote huwa nakuona na kukuchukulia kama rafiki, kama rafiki.. rafiki tu!", moyo unapigwa na radi ya maumivu, na huamini kilichokupata, huku kichwani sauti ya "kama rafiki" ikijirudia rudia!.

Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, kiume.com tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwambia yanayokusibu moyoni...


Anajiamini sana akiwa na wewe mpaka mazoea yake yamepitiliza...Msichana akiwa anajiamini sana kwako, ujue hapo umeshapoteza unachotamani na umeishia kunawa, kwa msichana akimuona mtu anayempenda kweli, utaona dalili...!, utaona hatulii, mara akae vizuri, na anakua anajihisi tu mda wote, atashika nywele zake kuangalia kama ziko vizuri, mapenzi asikuambie mtu kaka, mapenzi yanaleta kutokujiamini, na iwapo anajiamini sana kwako na ashtuki akikuona, wala atikisi hata ukucha basi hapo tafuta kitu kingine tu cha kufanya.

Anakupa hadithi za wanawake wengine... Msichana ambae yupo singo hana mpenzi, halafu ukiwa nae anakua anakupa stori za wasichana wengine, hapo anatumia janja ya nyani, hapo anakubadilisha akili usimwazie yeye na uwawazie hao wasichana wengine anaokupigisha stori, achana kabisa na haya maongezi, anaweza kukwambia.. "ooho, unaonaje nikikupigia pande kwa rafiki yangu Janeti, si ni mzuri eeh?", kaka hapo unapoteza mda tu.
Hafanyi kile unachotaka...Ukiona msichana hasikilizi kile 

unachotaka, yeye siku nzima anakuomba umsaidie hichi, twende pale.., we ukimwambia ya kwako anaruka maili tisa, ujue hapa huna chako, we upo pale ili akutumie tu na kwa sababu hana hisia nawe hajiulizi hata huyu jamaa anajisikiaje!.

Anatukana bila kujari uwepo wako...Maneno anayotumia ni kama yupo namwanamke mwenzie, na wala hashituki!, kaka hapa umeshakwenda na maji, mapenzi yana heshima na anayekupenda huwa anashituka akiona tu uwepo wako, na aibu yake sikuzote hua ipo karibu.


Hataki kuonekana na wewe sehemu za wazi...Ukimwambia tutoke wote, anakua na visingizio. Ukimwambia twende wote nikusindikize uendako, hata kama ni sokoni... utamsikia "ohhoo, mi nilishazoea kutembea mwenyewe wakati wote, mama atanielewa vibaya". Hapa ni kwamba anaogopa utamwalibia chansi ya kukutana na mwanaume wa ukweli achana na wewe masuruali tu, mama gani ambae hapendi mwanae aolewe?.

Anakuomba misaada mda wote... Msichana mwenye hisia nawe hawezi kukuomba misaada ovyo hovyo, kwanza atakua hajiamini na hujiuliza maswali kama "Hivi atanionaje na atajifikiliaje nikimuomba hiki?".


Anakufanya kama spea tairi...Siku akikubali kutoka mtoko nawe, utashangaa kaja na mashoga zake!, hii anakua anafahamu kabisa kwa hio anakua anajihami ili usije ukapata chansi ya kuwa wewe na yeye. Yeye saa zote ni vicheko tu..., kidogo tu mara anaenda chooni, mwisho wa siku mbaba unaagwa usiku umeingia sie tunaenda.

hafanyi michezo yeyote ya kuwa karibu nae...Mwanamke akikupenda anatamani saa zote awe karibu nawe, mara mjikute mmeshikana mikono mda mrefu mpaka jasho, sasa huyu yeye atakua anakulia taimingi, anakua anahakikisha hakuna mguso wa ajabu ajabu, kaka mguso huleta hisia, na kama hana hisia kwako hawezi kufanya hivyo.

Anaongea na wanaume wengine mbele yako...Hivi hili si linaonekana kabisa, hili halina haja hata la kuliongelea, ila mtu akiwa amependa inawezekana kabisa asilione hata hili, anakua anajipa matumaini hewa!, huku kichwani akilipa sababu nyingine kabisa, "Oooh yuko sosho sana!".Kaka hapo kama msemo wa kiumeni.com usemavyo, "umeshaliwa kekundu".

Hakutambulishi kwa rafiki zake...Hana hisia nawe atakutambulisha kwa nini?, labda kwa sababu vocha zote zinatoka kwako!, samahani kwa kuongea hivi najua nakukera ila ndo ukweli wenyewe, na hata ukitambulishwa, utatambulishwa kama rafiki tu, na hivyo ndo utabaki kuwa.

Cha kufanya jiongeze, na hata kama yeye ndo huwa anakupigia simu au anakufata na anaonyesha hisia ujue kuna kitu zaidi ya wewe kinachoendelea kumweka kwako.
Share:

Mfanye Aliyekuacha Akutamani tena kwa njia hizi.


Kumfanya mpenzi wako wa zamani kurudiana na wewe si jambo la rahisi kutimiza, haswa kama iwapo ameshachukua hatua ya kusahau yaliyopita na kupata mchumba mpya ambaye wanadate.

jinsi ya kumvutia mpenzi wako wa zamani arudiane nawe
Wakati mwingine, inafaa ujipende wewe mwenyewe zaidi ili kufanya mtu mwingine naye akupende. Inafaa uwashe kitu fulani ndani yako; ili kufungua nishati ambayo inapatikana ndani ya mwili wako ili uweze kuwa mtu tofauti.

Wakati mwingine kama tumevunjwa moyo na kukata tamaa tunasahau kujipenda sisi wenyewe. Dunia yako haifai kuzunguka kwa mtu mmoja pekee. Kumbuka marafiki zako wapya na wa zamani sababu hao wanaweza kukusaidia.

Kuwa jasiri kufanya mambo ambayo hujawahi kufanya mbeleni. Kufanya hivyo kutakupa wewe nafasi ya rahisi kumpata na kurudiana na mpenzi wako wa zamani. Jaribu kuvumbua upande mwingine wa nafsi yako, na ukigundua kuwa unaweza kufanya mambo kama hayo, unaweza kujiamini kufuata maagizo haya ya kutumia saikolojia ili uweze kumfanya mpenzi wako atake kurudiana na wewe.
1. Tumia saikolojia mjeuko

Mfano
Mpenzi wako wa zamani Ex ameamua kuachana na mambo yenu ya zamani. Hajibu texts zako wala hataki kupokea simu zako.

Kitu cha kufanya
Bila shaka itakuwa wamezoea ya kuwa kila wakati unamfukuzia ama kutaka kujihusisha na kumbabaikia. Lile ambalo utahitaji kufanya ni usijisumbue kuwatext wala kuwapigia simu.

Kama itatokea mkipishana hata usijisumbue kumuangalia machoni. Akikusalimia mambo wewe mjibu tu poa. Hivi hivi unafaa kuwafanyia marafiki zake. Hakikisha ya kuwa unawafanya kana kwamba huwatambui kabisa katika maisha yako. Wewe jifanye mtu wa kawaida kabisa.

Ukifanya hivyo wataanza kushangaa kwa nini umeanza kuwapuuza kwa ughafla. Wataanza kujiuliza kwa nini umeacha kuwatumia jumbe fupi ama kukuona kwa nini siku hizi umeacha kuwa mtu wa kujamiiana. Mwishowe itafikia wataanza kuuliza marafiki wengine kutaka kujua kama umepata mchumba mwingine ama umeanza kudate mtu mwingine.

Owk. Kama unafanya haya yote kumbuka usivuke mipaka. Wakikusalimia jibu salamu zao lakini usiwe wewe wa kwanza kutoa salamu. Muda si mrefu watagundua ya kuwa mchezo umewajeukia wao bila hata wao kutambua.

2. Jipe shughli kwa kuwa buzy
Hakikisha kuwa unajipa shughli zako kila muda. Mwanzo kama mnafanya kazi katika jengo moja ama mnasoma darasa moja hakikisha ya kuwa unafanya shughli zako kama kawaida ili uonekane huna muda na mambo ambayo anafanya...yaani humtambui kama yuko hapo.

Kwa bahati mbaya iwapo itatokea umekuwa na yeye katika sehemu moja jifanye unatext mtu ili mradi usiongee na yeye. Hii itamfanya yeye kujiona mjinga akiwa kando yako sababu wewe upo buzy na shughli nyingine. Kama ni hali mko shuleni, unaweza kumpuuza kwa kujikeep buzy ukiongea na rafiki yako mwingine

3. Usijifanye uonekane mwenye wivu
Mfano
Umemuona mpenzi wako wa zamani akiandamana na mwanamume/mwanamke anayevutia kama vile Justin Bieber/Beyonce wakitembea wakija upande wako.

Kitu cha kufanya
Usionekane mwenye wivu. Jiweke asili yako vile ulivyo.

Unaweza fikiria unapishana tu na wapenzi wawili ambayo huwajui kamwe. Usijaribu kuwakimbia.


Ukijaribu kuwahepa utakuwa unatuma ujumbe kwa mpenzi wako wa zamani ukiashiria ya kuwa bado unawapenda na kumwona yeye na mwanamume/mwanamke mwengine kumekufanya uvunjike moyo. Huku kutawafanya wao kujiskia wako juu na kujiskia raha. Badala ya wewe kuwafanya wajiskie hivi, hakikisha ya kuwa unawapuuza kabisa. Jambo hili litawafanya kuwa na maswali mengi iwapo kama tatizo liko wapi. Kile unachofaa kufanya nikuwapuuza.

4. Badilisha muonekano wako. Kuwa mtu tofauti
Owk najua ushawahi kuskia zaidi ya mara elfu moja kuwa unafaa kubadilisha muonekano wako ili kujionyesha. Well, kufanya hivi kuna umuhimu gani?

Kujibadilisha kunakupa mwonekano mpya na kunakufanya ujiskia vizuri kuhusu wewe mwenyewe. Kufanya hivi kunakupa confidence na kuweza kujiamini kila mahali utakapokwenda.
Kama unaonekana vizuri, kwa kawaida inakuwa kama ni kioo kinachokumulika ndani yako. Hii itatuma meseji kwa mpenzi wako wa zamani kuashiria kuwa maisha yako hayazunguki kwa mtu mmoja pekee ambaye ni yeye.

Iwapo umejibadilisha kabisa, watagundua ya kuwa kuna nafasi ya haraka kwako kuweza kupata mchumba mwingine. Hii inaweza kumfanya Ex wako kuingiwa na hisia za woga wa kukupoteza asilani. Hivyo kuna uwezekano wa yeye kujipendekeza kwako ili mrudiane.

5. Kuwa mtu usiyejali na ujiburudishe
Tumia muda wako ulionao kujiinjoy na marafiki zako. Jumuika na marafiki zako sehemu tofauti, cheka zaidi, enjoy maisha hadi kilele chako. Iwapo ulikuwa na stress ama mkazo wa maisha wakati ulipokuwa ndani ya mahusiano naye na sahizi umekuwa tofauti itaashiria kuwa umekuwa na utofauti mkubwa na kuwa ndani ya mahusiano naye ilikuwa ni balaa tupu.

6. Jifunze kukataa
Ukionyesha kuwa bado unampenda mpenzi wako wa zamani, basi wanaweza kuutumia huu mwanya kukutumia vibaya kwa kuwa hauna uwezo wa kukataa chochote ambacho wanaweza kusema.

Acha kuwa mtu wa aina hii kwa kujikeep buzy na mambo tofauti ya muhimu. Jiheshimu wewe mwenyewe kwa kukataa kutumiwa ovyo. Usikubali kamwe kufanywa mtumwa na mpenzi wako wa zamani. Mwonyeshe kuwa umekuwa tofauti kabisa na mtu ambaye ulikuwa zamani.

Jipe shughli na vitu vyako ili usiweze kutumiwa na ex wako. Hata kama ni kumsaidia na kitu ambacho kinaweza kuchukua dakika 15 unahaki ya kumwambia usoni mwake kuwa haujiskii na kile anachotaka umfanyie.

7. Ingia gym, boresha umbo lako
Kuingia gym ni mbinu moja wapo ambayo unaweza kuitumia kusahau mambo yako ya zamani. Pia kuingia gym kunakupa nafasi kwako kujishepu mwili wako ili uwe na toni ya kuvutia. Pia gym inakusaidia kukupa confidence na kujiamini. Pia gym inakufanya uwe na nguvu zaidi.

Mpenzi wako wa zamani aka ex wako akiona mabadiliko yako ya kimwili, kujiamini na nguvu bila shaka atavutiwa nawe. Labda wakati mwingine anaweza kukuomba kama unaenda gym muende pamoja.

8. Usiwahi kumsifia
Mfano
Wewe na ex wako mmekutana katika birthday party ya rafiki yenu halafu akakusifu kwa mtindo wako uliovalia kwa kusema "Umependeza". Wewe ni lazima umjibu pia.

Vile unavyotakiwa kusema
Mjibu kwa kumsifia lakini usiingie sana. Unaweza kumwambia "Pia wewe umependeza lakini mtindo wa nywele zako umekaa vibaya na nguo" ama "Hio nguo uliyovaa inaweza kufanya kila mwanamke akuangalie lakini marashi uliopaka yananuka vibaya"

Ok hii itawachanganya kabisa kwa sababu hawakutarajia kamwe kuskia neno 'lakini' katika kuwasifia.

Unaweza kuonekana mchoyo lakini hio ni muhimu katika kutimiza lengo lako la kutumia mbinu ya kisaikolojia ili kurudisha akili yake kwako.


Mwisho nikuwa ukitumia mbinu hizi zote kuna uwezekano mkuu wa ex wako kukutizama na sura mpya. Kurudiana na ex wako kutategemea na chanzo chenu cha kwa nini mliachana mara ya kwanza. Labda ilikuwa ni sababu ya kuboeka na mahusiano yenu ama sababu tofauti kabisa.
Share:

SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABA

Related imageT.gif SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine
hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

🔥♥♥♥


T.gif SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye

»-——»>
Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk
maisha yangu na kama umekutana nao
usiukwepe uache
uchome Moyo wako gharama
za matibabu juu yangu.

🔥♥♥♥


T.gif Meseji ya kumshauri mtu kuhusu kupenda

Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpweke
Au kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendo
Sio pesa wala siluhisho la matakwa yako.

🔥♥♥♥


T.gif SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

🔥♥♥♥


T.gif Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa utampenda mpaka mwisho wa uhai wako

Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi,
ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda
mpaka mwisho wa uhai wangu.

🔥♥♥♥


T.gif Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

🔥♥♥♥


T.gif Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa

Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la jua
ni kama upendo wa thamani usioweza kuuzika.

🔥♥♥♥


T.gif Ujumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu

Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji
na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke
kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane

🔥♥♥♥

Share:

Maswali 20 ya SMS kufanya maongezi yako na mwanamke yaendee kunoga kwa masaa

Related image

T.gif 

1. Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya tena?
Swali kama hili litamfanya kufikiria sana. Swali hili laweza kufanya ujue mambo yake ya chini ya maji zaidi. Mwanzo labda unaweza kugundua ya kuwa kuna mambo ambayo mnagawa pamoja.

🔥♥♥♥


2. Tabia gani ya ufidhuli ambayo uko nayo?
Kila mtu ana tabia yake ya ufidhuli ambayo amezaliwa nayo. Hivyo swali kama hili litamfanya mwanamke kama huyu kujieleza zaidi hivyo kujiskia huru kuongea nawe zaidi na zaidi.

🔥♥♥♥


3. Rafiki yako wa dhati ni nani?
Rafiki wa dhati ni muhimu zaidi kama unataka mahusiano yako na mwanamke yafaane. Hivyo lazima ujipendekeze na kujihusisha na rafiki ya mwanamke unayemzimia ili kufunga mahusiano yenu yawe mazito. Unaweza kupanua mawazo yako kwa kumuuliza maswali kama alikuwa rafiki yake tangu lini? Ulimjuaje? nk

🔥♥♥♥

4. Ni jambo/kitu gani ulichofanya kitambo ambacho ungetamani usingekifanya?
Kufanya makosa ni vigumu kuelewa na kukubali. Hivyo kumuuliza swali kama hili na akiweza kulijibu basi kunaashiria ya kuwa una nafasi kuu ya nyinyi wawili kuwa kitu kimoja.

🔥♥♥♥

T.gif 

5. Kitu gani unachoogopa zaidi?
Uoga ni kawaida. Ukijua uoga wa mtu kunakufanya uwe makini naye. Hivyo mwanamke akikuambia uoga wake anakupa ruhusa wa kutumia nafasi hii kumkinga na kumlinda mbeleni.

🔥♥♥♥


T.gif 

6. Sehemu gani hapa ulimwenguni ungetamani kuishi?
Swali hili linatoa nafasi kwa mtu kuwa mbunifu na kutoa hisia zake za ndani ya mwili. Pia swali hili linakupa nafasi kwako kujua matamanio yake hivyo unaweza kuchagua sehemu ambayo unaweza kumtoa out ama deti. Pia kuuliza hivi kunakupa kumjua zaidi mwanamke.

🔥♥♥♥


T.gif 

7. Ungependa kuchagua pesa au mapenzi?
Swali kama hili lafaa liwe mapenzi. Pili hivyo bila shaka mwanamke huyo tutamweka katika kategoria ya kuwa gold digger. 

🔥♥♥♥

T.gif 

8. Kumbukumbu ipi ya utotoni mwako unaipenda?
Kumbukumbu za utotoni humfanya mtu kuingiwa na furaha na tabasamu. Hivyo kumuuliza mwanamke swali hili kunatoa fursa ya kujua mambo ambayo yamekuwa yakimfurahisha kitambo.

🔥♥♥♥


T.gif 

9. Ni jambo gani la aibu zaidi ushawahi kufanya?
Mambo ya aibu humkumbusha mtu na kumfanya kucheka. Hivyo tumia fursa hii ya kumfanya mwanamke acheke.

🔥♥♥♥


T.gif 

10. Deti ya ndotoni mwako unapenda ingekuwa vipi?
Swali hili lina manufaa kwako. Hivyo akikujibu unaweza kutumia nafasi hii kupanga jinsi ambavyo utamtoa deti kama saprize. Utamwacha kwa giza.

🔥♥♥♥


11. Kitu gani ungependa kubadilisha maishani mwako?
Hakuna mtu anaridhika vile alivyo asilimia mia moja. Hivyo kujua udhaifu wake kutawafanya nyinyi wawili kuungana kuwa kitu kimoja.

🔥♥♥♥


12. Nani amekuwa mshawishi mkuu katika maisha yako?
Swali hili litakufanya kumjua zaidi katika maisha yake. Ukiskia anakwambia kuwa mshawishi wake ni Agness Masogange ama Corazon Kwamboka basi fahamu mwanamke aina hii anapenda maisha ya hali ya juu. Lakini ukimskia akikutajia mamake huyo ni wa kumpeleka nyumbani akawaone wazazi wako haraka sana.

🔥♥♥♥


T.gif 

13. Ni vitu gani ulikuwa ukipenda kufanya ukiwa utotoni na ungependa kufanya sahizi?
Swali kama hili ni kama kuufungua moyo wake kupata kujua maisha yake ambayo anayaota kufanya. Unaweza kuchukua nafasi kama hii kutumia kama kigezo cha kumfurahisa wakati wowote. Mfano kama anapenda kubembea ama mfanano wa hii unaweza kumridhisha. Ilimradi tu umwone na furaha.

🔥♥♥♥


T.gif 

14. Kitu gani unachukia katika deti?
Swali hili litakuwa sehemu ya pili ya swali la #10 hivyo kukupa nafasi ya kujipanga ili uepuke makosa madogo madogo ya kudeti.

🔥♥♥♥


T.gif 

15. Maisha yako ya mbeleni unataka yaweje?
Kama unaye SMS naye ni mwanafunzi unaweza kumchokora akili yake uone mambo anayofikiria ama kazi anayotamani mbeleni. Kama unayem Sms anafanya kazi, jaribu kujua maisha yake ya usoni anayapanga vipi. Mfahamu iwapo anataka kuwa sehemu moja ama ana matamanio ya kuendelea mbele kimaisha.

🔥♥♥♥


T.gif 

16. Je uko karibu na familia yako?
Swali hili linaweza kuwa na utatanishi kiasi. Unaweza kujua tabia ya mwanamke kwa urahisi zaidi iwapo utauliza swali kama hili. Akisema hana uhusiano wa karibu na wazazi wake basi bila shaka kuna tatizo flani.

T.gif 


17. Filamu gani imekushawishi zaidi?
Ok. Filamu huwa zinaonyesha tabia za mtu. Hivyo akikwambia filamu flani ya mapenzi, ya kupigana ama ya ucheshi utajua msimamo wake kiurahisi. 

🔥♥♥♥


T.gif 

18. Sehemu ambayo unaiona salama zaidi maishani mwako ni wapi?
Kujiskia salama kwa mwanamke ni jambo muhimu zaidi kwa maisha yake. Hivyo inaweza kuwa popote pale. Labda inaweza kuwa ufuoni ama hata nyumbani anakoishi.

🔥♥♥♥


T.gif 

19. Ni kitu ama jambo gani ambalo ungependa kufanya kabla hujafa?
Kila mtu kuna kitu ama jambo flani anapenda kutimiza maishani. Hivyo swali hili litamfungua zaidi. Pia swali hili unaweza kulitumia kwa manufaa yako kwani unaweza kumsaprize mwanamke kwa jambo ambalo ana matamanio.

🔥♥♥♥


20. Malengo yako unayopania kutimiza ni yapi maishani?
Swali hili linarudia lile la #15 lakini linatoa mtazamo ya maisha yake ya ujumla. Ni vizuri kutambua iwapo mwanamke unayem Sms ama kuchat naye analingana na tabia unazotaka

🔥♥♥♥

Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger