"Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!", Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, hapa chini tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwambia yanayokusibu moyoni...
Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyu mwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua na uhakika iwapo na wewe unampendeza yeye, Kijana wa watu unajituma na kupiga moyo konde, leo hii unajikaza kiume na kwenda kumwambia yale yote yaliyo moyoni mwako... mara... 'kwaaa...' anakujibu, "Oho, lakini mbona mie siku zote huwa nakuona na kukuchukulia kama rafiki, kama rafiki.. rafiki tu!", moyo unapigwa na radi ya maumivu, na huamini kilichokupata, huku kichwani sauti ya "kama rafiki" ikijirudia rudia!.
Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, kijiwe cha mapenzi tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwambia yanayokusibu moyoni...
Cha kufanya jiongeze, na hata kama yeye ndo huwa anakupigia simu au anakufata na anaonyesha hisia ujue kuna kitu zaidi ya wewe kinachoendelea kumweka kwako.

- Anajiamini sana akiwa na wewe mpaka mazoea yake yamepitiliza...
- Anakupa hadithi za wanawake wengine...
- Hafanyi kile unachotaka...
- Anatukana bila kujari uwepo wako...
- Hataki kuonekana na wewe sehemu za wazi...
- Anakuomba misaada mda wote...
- Anakufanya kama spea tairi...
- hafanyi michezo yeyote ya kuwa karibu nae...
- Anaongea na wanaume wengine mbele yako...
- Hakutambulishi kwa rafiki zake...
Cha kufanya jiongeze, na hata kama yeye ndo huwa anakupigia simu au anakufata na anaonyesha hisia ujue kuna kitu zaidi ya wewe kinachoendelea kumweka kwako.
0 comments:
Post a Comment