Je wewe ni mtu wa kupenda ghafla, yaani mwanaume anapokutamkia kwamba anakupenda huwa unamuamini kwa kiasi gani, unakuwa ni mwepesi wa kumuamini na kujitoa kwa ajili yake au unakuwa na kujivuta vuta ili kujiridhisha kabla ya kuingia katika uhusiano? Hebu fikiri kabla ya kuamua, jipe muda kwani hakuna...
Friday, 27 September 2019
Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi .
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia mtu, hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa mtu mwingine wa kawaida...
Mambo 10 Kutoka kwake yanayoashiria kuwa mpenzi wako ni husband material
Husband Material na Boyfriend Material ni watu wawili tofauti. Tambua kama mpenzi wako ni Mume au mwanaume kupitia tips hiziKama upo katika uhusiano, na ukaanza kuwaza kuhusu maisha yenu ya baadae, unaweza kuwa unajiuliza je “huyu ndiye sahihi?” au unajichimbia shimo lako mwenyewe ambalo hutaweza...
Dalili za mwanamke anayeelekea kukukubali baada ya kurusha voko a.k.a kutongoza
Anaongeza ukaribu
Ukiona anapenda kuwa karbu na wewe na kuandamana na wewe na anajisikia ufahari kuwa na wewe jua anaelekea kukukubali. Ukiona anajishauri ujue labda anaona hamlingani kuwa pamoja.
Anaanza kukuchunguza
Ukiona haachi kukuuliza maswali binafsi na kutaka kufahamu unaishije ikiwa na...
Kuchapiwa Mke Wanaume Saa Nyingine Mnajitafutia..Soma Hapa

Kuchapiwa Mke Wanaume Saa Nyingine Mnajitafutia..Soma HapaWIFE....Honey plz lets come and helpme in the garden to clean theseflowers??MME.......Are you mad ,do I look like agardener?WIFE.....Ok sory babie,...butsweetheart please go and fix thatdoor to the bathroom,Junior broke itlast night??MME.....I...
WADADA WENYE HIPS NA WANAYOKUMBANA NAYO
Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.Sifa:1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa...
Tuesday, 24 September 2019
JINSI YA KUMCHANGAMSHA NA KUMFURAHISHA MWANAMKE

Kila mwanaume anapenda kujua jinsi ya kumchangamsha mwanamke ili ampende. Lakini wengi hushindwa njiani pale wanapojaribu kufanya hivyo kwa sababu hawajui vitu vitano vya kumchangamsha mwanamke.Yafahamu hayo mambo matano, na namna kuyatumia.Nadhani utakuwa ushashuhudia baadhi ya wanaume wakichati...
Monday, 23 September 2019
Jinsi gani ya kuongea na msichana bila kupungukiwa Swaga .
Jifunze jinsi ya kuongea na msichana bila kupungukiwa na swaga, bila ya kujali upo wapi. Unachohitaji ni hivi vitu 10 hapa kufanya maajabu na kumteka!.Mfate alipo
Moja ya vitu ambavyo ni vigumu kwa wanaume wengi kufanya ni kumfata msichana anayemtaka kwa mara ya kwanza.
Kuchati na mwanamke ni kitu...
Wanawake wa Stahili Hii, Wanakera Mno
Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema ‘nataka kuondoka lakini nina haraka’ as if mmekutana bahati mbaya.Loading…Basi unapozidi kumbembeleza, we unaongea naye ye yuko busy anachat kwa text...
Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume .
Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.
USAFI BINAFSI
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya nyumba au la nyumba! Ni kwa sababu...
Sunday, 22 September 2019
Tatizo sio Size Ndogo ya Dudu lako Tatizo ni Kukosa Ubunifu
Kwa wanaojua Mchezo wa Soccer; Kitu cha Msingi si Size ya Kiatu, Bali ni Skills za Mchezaji Mwenyewe ndiyo Zinawezesha Mchezo uwe mtamu na Kisha Magoli ya Kutosha.Maswali ambayo huwasumbua sana Wanandoa wengi na yamefika mezani kwa madaktari wa mambo ya afya na mahusiano ni kuhusu wanawake kutofika...
JE WAJUA !?:KUTOVAA CHUPI KUNA FAIDA NYINGI IKIWEMO HII AMBAYO NI MUHIMU

Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia.
Enzi...
KWANINI WANAUME HUNUNUA MAPENZI

Kwa nini wanaume hununua sex?Mwanaume anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex bila kuhusisha upendo au mahusiano wala kuhusisha hisia kati ya wawili.Suala la wanawake Malaya (prostitutes) kuua mwili kwa wanaume ni suala la dulia zima haijalishi ni mzungu au mweusi au muasia,...
ZIFAHAMU FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI

Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.Tendo la ndoa huongeza...