juu

Tuesday 17 September 2019

INAWEZEKANA KUURUDISHA UPENDO ULIOPOTEA??????



Ni swali ambalo wapenzi wengi hujiuliza, pindi linapotokea tatizo kubwa la kutereresha Mapenzi yao,,, inafiki kipindi kila mtu anajuta kwanini nilianzisha au kwanini nilikubali kuwa na uhusiano na huyu mtu,,, 

pamoja na yoote hayo.. watu wale wanaendelea kuwa wapenzi na mikikimiki yooote hiyo,, ila mapenzi yao yanakuwa ya kawaida, yanakuwa mapenzi ya mazowea tu,,, ,,, sasa kuna kipindi kinafika mmoja wao anatakuwa anatamani kurudisha mapenzi ya zamani,, unakuta upande wa pili, 

haukubali kabisa kurudisha mapenzi, hapa ndipo mmoja wapo anapoweza kupata shida,,,,, NA KUJIULIZA,, NIFANYE NINI KURUDISHA UPENDO WANGU WA AWALI???? WEWE MSOMAJI WANGU,,, UNASHAURI NINI INAPOFIKIA KIPINDI KAMA HIKI???? FUNGUKA..................
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger