juu

Saturday 7 September 2019

Dalili za binti anayeelekea kukubali ni kama zifuatazo:-


1) Ukiona anapenda kuandamana na wewe na anajisikia ufahari kuwa na wewe jua mtihani wa kwanza umepita. Ukiona anajishauri ujue labda anaona class yako ina mushkeli hivi chunga usimbwatukie kilichoko rohoni kwako ukaumbuka bureeeeeeeee……….

2) Ukiona anajishikashika maeneo ambayo yanautangaza uzuri wake kama usoni, nywele zake au hata kurekebisha nguo zake jua anajaribu kuwa mtanashati mbele yako ili akuvutie…………………. …….katika mazingira hayo dalili zote zipo kuwa kuna uwezekano mkubwa kampani yako anaihitaji maishani mwake……………………. .jipange usije ukaachwa kwenye mastima……

3) Ukiona haachi kukuuliza maswali binafsi na kutaka kufahamu unaishije ikiwa na pamoja na kufahamu hobbies zako au hata unapenda vyakula vipi ujue analichungulia jiko………..na anaona anafaa kukukaangia vinono………sasa mkifikishana huko ujue ni mwendo mdundo…………….

4) Ukiona anapenda kukuulizia khabari za ndugu zako na kutaka kuwafahamu basi ujue kesha anza maandalizi ya kujenga mahusiano nao kwani "knowledge is power."

5) Ukiona hupenda kukupasha habari zake binafsi na za ndugu zake wakiwemo marafiki zake basi ujue anakuaandaa kukamata mzigo na visaidizi vyake………….kazi kwako uko tayari kuubeba kama la basi chanja mbuga bado mapema…………… khalakhal a lawama kukuta baadaye.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger