juu

Sunday, 8 September 2019

Mazungumzo Kwanza, kisha Tendo la Ndoa



Kabla hujaanza kumparamia mume au mke au mpenzi wako, hakikisha unatengeneza mazungumzo ambayo yatampandisha hisia za kimapenzi.

Mazungumzo haya yanategemea na mpenzi wako yupo katika hali gani wakati huo, aidha furaha au huzuni .


Kama yuko kwenye huzuni, anza kwa kumpa pole huku ukizungumza maneno mazuri ya faraja, huku ukiwa unamkumbatia na kumshika shika .


Maneno mazuri ya faraja yataanza kumlainisha, kama ni mwanamke ataanza kulia na kulegea kabisa .


Kama mpenzi yupo kwenye furaha, basi ongea maneno ya kumsifia na uonyeshe jinsi unavyommisi, ikiwezekana hata mchekeshe . Hii itachochea sana hisia zake


Mazungumzo ni kitu kidogo sana, lakini kabla ya mechi yana maana kubwa sana
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger