juu

Tuesday, 10 September 2019

Nimemfuma MKE wa Kaka na Mchepuko…Kumuuliza Anasema Kaka Hawezi Mambo..Anataka Kunipa na Mimi



Baada ya kumkuta na njemba fulani analochepuka nalo, akajitetea kwamba ndugu yangu hawezi kazi ndio maana ameamua kuchepuka, ila kama nataka aachane na jamaa basi Mimi niwe tayari kumpa huduma.

Loading…Ilikuwa Kama utani vile lakini naona yuko serious ameamua kunitia majaribuni

Ananitumia jumbe Whatsapp na kuzifuta nikimuuliza ujumbe uliotuma unahusu nini ananiambia amesahau alichoandika, yaani naelekea kushindwa na huu mtihani

Chonde chonde akina shemeji popote mlipo acheni kuwatia majaribuni ndugu wa mabwana zenu, mtavunja udugu wao mtajenga uhasama usiokuwa na kikomo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger