juu

Friday 6 September 2019

SMS ZA MAPENZI ZINAZOMPA FURAHA NA FARAJA MPENZI WAKO



Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye, ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia… Nakupenada daima mpenzi!

**

Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya.

**

Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.

*

Imara hautikisiki, kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger