Punde tu Mwanamke akisha=gongwa hata kabla hajavaa nguo zake, huhisi ni kama amefunuliwa na kuwekwa wazi. Kwa hiyo huwa mnyonge sana. Wewe kama Mwanaume unapaswa kumfanya Mwanamke aone kwamba kukupa wewe penzi hajapoteza.
Baada ya kumaliza tendo tu, mkiwa bado mmejilaza kitandani, na hata bado hamjavaa nguo zenu, fanya haya yafuatayo:
1. Mkumbatie
Baada ya kumaliza tendo endelea kumkumbatia mwanamke maana huwa yuko hoi, na amechoka sana kimahaba. Hapa anahitaji sana kumbatio.
2. Asante
Mwambie asante huku ukimbusu busu usoni na sehemu zingine muhimu kama kifuani. Hapa mwanamke huona kwamba ameheshimiwa sana.
3. Msifie
Msifie kwa mautundu aliyokupa, sifia maku yake jinsi ilivyo tamu. Hii itamfanya mwanamke aone kwamba yeye ni bora, na ana thamani pia. Nani hapendi sifa?
4. Ahadi
“Promise” muahidi kitu kizuri mwanamke hata kama ni kidogo, usimdanyanye lakini. Hii itamfanya mwanamke ajihisi kupendwa na kuthaminiwa, na aone kwamba hajapoteza kukupa mautamu.
5. Eleza Mipango Yako
Muelezee mipango uliyonayo kwake, elezea ni vipi ulishindwa kutimiza, na sasa utatimiza vipi. Hapa mwanamke ataona kwamba, ana mwanaume aliye makini na mwenye akili.
6. Oga Naye Pamoja
Oga na mwanamke wako pamoja, muogeshe na kama mtoto. Hapa mwanamke ataona unamjali na unamtunza.
0 comments:
Post a Comment