juu

Saturday 7 September 2019

Usije ukatoswa mtoto wa kiume anza ivi unapo anza kutongoza




Sanaa ya Kutongoza(Art of Seduction) ni sanaa yenye
mambo mengi,lakini mara nyingi ni sanaa ambayo
inaconcentrate kwenye attention ambayo wanaume wengi
wanapenda na wanataka kuipata kutoka kwa wanawake.
Leo nikaona si vibaya kama nikishare tips muhimu ambazo
zitawasaidia kumpata mwanamke yeyote yule unaetaka
kuwa nae,

1. JITAMBULISHE VIZURI KISTAARABU (INTRODUCE
YOURSELF PROPERLY)
Kama ndio umekutana nae kwa mara ya
kwanza,hakujui na wewe humjui,ni vizuri ukajitambulisha
vizuri kwa ustaarabu(usela,mapozi na uhuni weka
pembeni),kama alikuwa anatembea unataka
kumsimamisha,tumia lugha nzuri kumsimamisha,na usije
ukasimama ukadhani atakufuata,changamka mfuate
wewe,mkiwa mnatembea wote,jitambulishe vizuri,epuka
maneno yatakayomkera,usimuulize maswali
yatakayochokonoa maisha yake binafsi kwa kuwa bado
hamjazoeana sana(Dont ask her personal questions)

2. ONGEZA MVUTO WAKO WA KIMWILI (UPGRADE YOUR
PHYSICAL ATTRACTION)
Wanawake wengi wanapenda wanaume wenye
mvuto,wanapenda wanaume wenye miili iliyojengeka kiume
kimazoezi(six pack na blah blah nyingne za ziada),kwa hiyo
ili iwe rahisi kwako wewe kumshawishi(kumseduce)
mwanamke unayempenda,ni vizuri ukahakikisha mvuto wako
upo juu tena sana.Kama ni mnene au una kitambi anza
kufanya mazoezi upunguze mwili.
Kuwa Msafi(kama vipi oga hata mara 3 kwa siku),vaa vizuri
upendeze,kwa sababu first impressions zinalast longer
kuliko unavyoweza kudhania.

3. WASILIANA NAE MARA KWA MARA (CONTACT HER
FREQUENTLY)
Kila mwanamke anapenda mwanaume ambaye
atakuwa anamjali,Mwanaume atakaekuwa teyari kusikiliza
stori,matatizo na shida zake na kumsaidia
kusolve,Mwanaume ambaye atamfanya ajisikie Special
muda wote .Na kitendo cha wewe kuwasiliana nae mara kwa
mara kitaonyesha kuwa unamuwaza muda wote,kitaonyesha
kuwa unamjali n.k na pia kitasaidia kuwafanya mzoeane
kidogo kitu ambacho ni kizuri kwako ukitaka kumake a move

4. KUWA MUONGEAJI MCHESHI (BE TALKACTIVE WITH A
GREAT SENSE OF HUMOR)
Hakuna Mwanamke anaependa kuwa bored,wanawake
wengi wanapenda kucheka na kuwa na furaha muda
wote,kwa kuwa bado hajakuzoea sana,itabidi wewe ndio uwe
unaongea zaidi,jaribu kuongea mada(topics) ambazo
anapenda(utajua kuwa anapenda kwa kuangalia the way
anarespond),ukianzisha mada ambayo hapendi ni heri uiache
uanzishe nyingine usije ukamboa.Pia jaribu kumtania ili
atabasamu au acheke lakini usivuke mipaka(limits),utani
unaweza ukawa wa kawaida lakini itapendeza zaidi ukiwa wa
kimahaba.

5. NUNUA ZAWADI ZA KIMAHABA KWA AJILI YAKE(BUY
ROMANTIC GIFTS FOR HER)
Unapokuwa unachagua zawadi,usikimbilie kununua
zawadi zenye Gharama kubwa sana,kwa mwanamke
aliyetulia mwenye akili zake timamu,atapata hisia mbaya
kwamba unataka kununua Penzi lake.(atahisi kuwa unataka
kuchezea hisia zake kisha umkimbie).Itakuwa vizuri kama
ukinunua zawadi ambazo sio expensive sana lakini ziwe na
ujumbe wenye maana kimahaba.Unaweza kumnunulia
Apple,Chocolate,hereni n.k(just try to be more creativ
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger