juu

Saturday 7 September 2019

Njia 8 Za Kugundua Iwapo Mwanamke Amepandwa Nyege Akiwa Kando Yako



#1 Anakuangalia kana kwamba wewe ni nyama iliyotandazwa vyema
Kwa lugha nyingine tunaweza kuita ‘macho ya mahabat’ ama ‘macho ya mlalano’. Kuna mtizamo wa macho ambao mwanamke atakuangalia tofauti na vile ambavyo unamtambua kukuangalia. Hii ni ishara ya kukuambia kuwa amekupa nafasi ya wewe uchukue hatua ya kwanza kwake.
Utamwona kuwa mara kwa mara anataka umwangalie machoni mwake na pindi utakapomwangalia atakuangalia halafu atatabasamu na kuangalia chini. Halafu atakuangalia tena huku akiuuma mdomo wake wa chini. Hapa usiwe mjinga. Amka, anza kumuapproach ili uongee na yeye.

#2 Anakusuka kuliko kikawaida
Ok, katika hali kama hii tutaichukulia kuwa wewe na huyu rafiki yako mumewekeana mipaka flani kati yenu. Kwa kawaida munafanya mambo ya kawaida ambayo marafiki hufanya. Kwa mfano mnakutana sehemu flani mnaspend muda pamoja, mnaongea normal. Lakini siku moja, bila sababu zozote unamwona mwanamke kama huyu anaanza kukusuka kuliko vile ambavyo umezoea. Mfano iwapo mmezoea kuwa mkiwa mmeketi pamoja mnaweka nafasi kati yenu, siku hii unaona kuwa amehakikisha kuwa amekubana kabisa huku akikwambia mambo ambayo ni tofauti na vile ulikuwa ukitarajia.
#3 Anakuwa huru kimguso
Ishara nyingine ya kuonyesha kuwa mwanamke kama huyu amejawa na nyege nyingi ni pale ambapo anaipeleka mikono yake sehemu ambazo kikawaida hazijazoeleka. Hapa sasa inaweza kuleta ule mchanganyiko wa kubainisha iwapo ni kusudi ama ni kwa bahati mbaya. Lakini kama tujuavyo ni kuwa katika kamusi ya wanaume hakuna kitu kama ‘miguso ya kibahati mbaya’. Lakini tambua kuwa hii haimaanishi kuwa mwanamke atashika pumbu zako ghafla ili kuonyesha amepandwa na nyege, la. Miguso yake inaweza kuwa fioa huku akitoa ishara kwako pia ufanye vile anavyofanya yeye kama hutomaindi.

#4 Mazungumzo yenu yanakuwa ya kiundani
Kama unamwona kuwa anaanza kuuliza maswali mengi ya kibinafsi ama anatoa maoni ya kiushawishi katikati ya mazungumzo yenu basi ni ishara ya kuwa amepandwa na nyege. Kutumia maneno ya kutatiza ni njia  ya moja kwa moja kuonyesha kuwa mwanamke kama huyu anatoa ishara kuwa ana hamu ya kitu flani kiasi cha kuwa anasema moja kwa moja.
#5 Anakusifia vile ulivyopendeza
Katika hali ya kawaida jambo hili la kumsifia mtu huwa tunachukulia ni jambo la kawaida kabisa kwa mwanamke yeyote kufanya. Lakini inaweza kufikia kiwango flani ambacho kinaleta msisimko wa kutaja na kugusia maswala ya moja kwa moja ambayo ni ya kibinafsi. Mambo ambayo mara nyingi yakitamkwa huwa ndani ya akili ya mwanaume huwa na maana tofauti kabisa.
#6 Anakuonyesha ‘mali’ zake
Tushaona mambo kama haya awali. Mwanamke kama huyu anazifungua nywele zake ili zining’inie karibu na shingo yake wakati mnapoongea, anavalia tsheti ya kola ya V pamoja na sidiria ya ‘push up’, kuvalia skin tyt, ama kujiandaa hata kama mnakutana sehemu ya kawaida.

#7 Hatulii mbele ya uwepo wako
Wanawake huwa na mbinu tofauti tofauti ambazo hufanyika wakati wanaposisimuliwa ama wanapokuwa na nyege. Hii ni kuanzia kuwa na mpigo wa haraka kwa mioyo yao, kupumua kwa uzito na wakati mwingine kutokuwa na utulivu wakati wanapokuwa wamekaa, hii ndio sababu utamsikia akikwambia yuko
#8 Anakuruhusu umguse
Hii ni kiashirio cha mwisho zaidi kuonyesha kuwa amejiachilia kwako na hakuna kurudi nyuma. Wanawake, hata wale ambao wamezoea kutongozwa, huwa wanakuwa sensitive kwa miguso ambayo haijakaribishwa. Sasa kama wewe ni yule anayependa changamoto, na unataka kujua kama anaitamani, na akakuachilia umguse, basi hakuna la zaidi la kuelezea kwa sababu kile ambacho kinafuata baada ya hapo kinajulikana.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger