Wasichana 2 waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.
Hiki ndo kitu ambacho Mwenyekiti wa kikao alichowaambia, aliwatazama kwa muonekano mzuri kisha akawataka wakae, kisha akawaambia jambo ambalo hawatoweza kusahau ktk Maisha yao.
Aliwaangalia moja kwa moja ktk macho yao, kisha akasema;
"Wasichana, kila kitu ambacho Mungu amekiumba chenye thamani ktk Dunia hii kimestiriwa, na ni vigumu kukiona au kukipata.
1. Wapi unapoipata Almasi??
Ni chini kabisa ndani zaidi ktk ardhi, na yamefunikwa na kuhifadhiwa humo
2. Wapi mnapoweza kuipata Lulu?,
Pia ni ndani zaidi kwenye kina kirefu zaidi ktk Bahari, na yamehifadhiwa humo na kujificha ndani ya Sanamu zuri la Baharini
3. Wapi mnapoweza kuipata Dhahabu?
Napo pia ni ndani zaidi ktk Mgodi, na yamefunikwa juu na Ardhi za Miamba na ndio uyapate hapo, yakupasa ufanye kazi ya ziada zaidi na ulime kwa undani zaidi ndipo uyapate.
Kisha Mwenyekiti akawaangalia wale Mabinti kwa Jicho kali zaidi na kisha akawaambia;
"Miili yenu ni ya kuogopwa na thamani sana, na inazidi sana, thamani ya Dhahabu, Almasi au Lulu. Na yawapasa muihifadhi zaidii pia.
Km mtatunza Madini yenu km ilivyotunzwa Almasi Dhahabu na Lulu basi Makampuni yenye sifa nzur ktk Jamii, Makampuni ya uhakika, Makampuni ya kuaminika yenye Mashine nzuri yatatenga Muda wa Miaka kadhaa ktk kufanikisha kuyapata Madini hayo.
Kwanza itawapasa wawasiliane na Serikali (ambayo ndio familia yako) pia kusahihisha Mikatabata muhimu (ndoa) na mwisho ni Mgodi wenye (ambayo ndiyo ndoa) lakini kama ukiacha madini yako yenye thamani nje hayajahifadhiwa ktk uso wa Dunia basi utamvutia kila Mmoja (Mwanaume) na hasa wale ambao ni Wachimbaji haramu watakuja na kuchimba kiharamu (Zinaa), kwa hiyo kila Mmoja atachukua kwa vifaa vilivyo na Makali na hivyo ndio watakavyokulima kirahisi.
Hvyo basi nawashauri hifadhini Miili yenu kwa stara nzur ili iwavutie wachimbaj wa halali (Waoaji) ndio wakukaribie upate kustirika
Tusambazeni Meseji hii ili tuwahamasishe Wake zetu, Mabinti zetu na Wanawake wote wavae vizur Stara na kiheshima

0 comments:
Post a Comment