Nimefanya utafiti wangu jana usiku wakati napata ulabu sehem flani kuna watoto wa shepu mbali mbali, wanene, warefu, wafupi, wembamba n.k. Katika kunogesha stimu nikaona nifanye utafiti kidogo nikamuita muhudumu mwembamba flat screen
nikampakata kwa dakika 5, then nikamuita muhudumu mwenye makalio mapana nikampakata kwa dakika 20. Nikahitimisha kuwa yule mwembamba flat screen ni mzito mno na alikuwa mzigo mkubwa kwenye starehe yangu nikashindwa kumpakata zaidi ya dakika5,
ila yule mwenye makalio mapana ni mwepesi zaidi na huniongezea stimu zaidi kwenye starehe yangu ndo maana nikaweza kumpakata hadi dakika 20 na nilitamani niendelee kumpakata ila nilihofia kuchafua boxa yangu na maswali ya wife home.
0 comments:
Post a Comment