juu

Thursday 12 December 2019

Mambo 3 usiyofaa kuyasema wakati wa kufanya mapenz


Kusema waziwazi wakati wa mapenzi ni jambo linalochochea mapenzi baina ya wapenzi wengi. Hata hivyo, ni vizuri kuzingatia mambo haya mnapokuwa chumbani na mpenzi wako:

1. Fikiria kabla ya kusema Msome mpenzi wako na uhakikishe unaepuka maneno ambayo huenda yakamkasirisha. Ni vizuri kuomba msamaha kila ulimi unapoteleza. Habari Nyingine: Celina wa ‘Tahidi High’ awajunja mioyo wanaume



2. Mwambie mpenzi wako mambo usiyopendelea Iwapo mpenzi wako anatumia maneno usiyoyapendelea, basi ni bora umwambie ili asiendelee kukuudhi

. 3. Furahieni Kusemeshana kwa wazi wakati wa mapenzi ni jambo la kulifurahia na wala halifai kuwafanya kukosana.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger