juu

Thursday 12 December 2019

JIFUNZE NJIA HIZI ZA KUZUIA MATITI KUANGUKA KWA WANAWAKE.

Image result for JIFUNZE NJIA HIZI ZA KUZUIA MATITI KUANGUKA KWA WANAWAKE.Hakikisha mpenzi wako anayanyonya akiwa ameshikilia au wewe umeyashikilia, vilevile hakikisha anapo yapapasa au kuyatomasa, basi afanye hivyo bila kuyahangaisha....kwamba ahakikishe yametulia.

Unapokuwa kwenye mkao wowote unaosababisha matiti yako yasumbuke basi hakikisha mpenzi kayakamata sawa au kama wewe mwenyewe hujapoteza akili kwa raha basi yashikilie....kwa kufanya hivyo kutasaidia matiti yako yasilegee kabla ya wakati.

Ni wazi kuwa matiti yanakwenda kulegea pale yatakapokuwa yanapoza homoni yaani yaani mwamke kuzeeka lakini kuzaa au kuwa mdada mkubwa (over 40) sio sababu ya kujiachia
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger