juu

Tuesday 10 December 2019

Makosa Wanayofanya WANAUME Walio Kwenye Ndoa

Related image
Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger