juu

Saturday 14 December 2019

Mambo gani unapaswa kumfanyia mpenzi wako Kila mwezi? soma hapa




1. Unaweza kutoka na mpenzio mkaenda kufanya Shopping na ukamnunulia zawadi nzuri, kama nguo, viatu, nk.

2. Mnaweza kutizama mkanda wa mahaba, angalau mara mbili kwa mwezi. Hakikisha wakati wa kuangalia mkanda, unamwonyesha staili nzuri uzipendazo. Usione aibu kumwambia unaipenda staili moja kati ya mbili, tatu ulizochagua.

3. Unashauriwa kwenda na mpenzio kucheki afya zenu kila baada ya miezi miwili, hii itasaidia kama kuna magonjwa basi yapatiwe tiba, sio unasema unampenda mwenzio lakini mumshauri kupima afya zenu.

4. Muulize kitu ngani labda ambacho umemfanyia bila kujua kama umemuudhi, kwani wakati mwingin e unaweza kumuudhi mwenzio bila kujua na kukaa kimya kwako kutamfanya aendelee kuum
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger