juu

Friday, 6 December 2019

Ni nini kinachowafanya wanawake kupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi?

Related imageMwanaume hujihisi mahiri anapomfanya mwanamke kupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi -Aidha, wengi wa wanaume hudhani kuwa mwanamke kupiga kelele ni ishara yake kufikia kileleni cha upeo wa raha ya kujamiiana

Wanawake wengi wanapenda kupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi. Lakini je kupiga kelele ni ishara tosha ya kuwa mwanamke amfikia kileleni? Pata uhondo kamili.

Ukweli ni kuwa wanawake wengi hupiga kelele kuwahadaa wanaume. Hii ni kusema kuwa mwanamke atapiga kelele hata wakati hafurahii tendo la ndoa. Aidha, wengi hupiga kelele ili kuwaongeza mzuka wapenzi wao ili tu kuharakisha tendo la mapenzi hata kama hawafurahii tendo hilo. Pia sababu nyingine ni kuharakisha ili mpenzi wake afike kileleni ili afuate shughuli zingine. 

Mwaka 2011, watafiti kutoka chuo kikuu cha Central Lancashire na wenzao kutoka Chuo kikuu cha Leeds, uingereza walibaini kuwa asilimia 66 ya wanawake hupiga kelele ili kuwaharakisha wanaume wao kumaliza tendo hilo. :asilimia 87 ya wanawake waliohiojiwa katika utafiti huo walisema kuwa walipiga kelele ili kumfanya mpenzi wao ajihisi mahiri hata wakati ambapo hawafurahii tendo hilo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger