SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
🔥♥♥♥
SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"
🔥♥♥♥
Ujumbe wa meseji wa kumsihi mpenzi wako mdumishe mapenzi yenu
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule
atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi
inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu
laazizi wangu.
atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi
inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu
laazizi wangu.
🔥♥♥♥
Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema
[[=]]
"""""Yule"""""
Anipendezae lazima nimkumbuke""
""nimpe salamu ""moyo""
wangu ""uridhike""
""Nimuombee kwa
MWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""
""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"
""nakutakia''"
"ucku mwema"
[[/=]]

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele
Tambua kuwa nakujali
Furahia kwamba nitakuwa na wewe
Katika siku zote za maisha yangu
Nitakupenda bila kikomo milele
Furahia kwamba nitakuwa na wewe
Katika siku zote za maisha yangu
Nitakupenda bila kikomo milele
🔥♥♥♥
SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
We Kipepeo,
,.-.-.-._.' //'_.-.-.-.,
''-.,-.:-)i(:'.-,.-''
'-..-'()'-..-'
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau. Kisha umuage kwa kumwambia nakutak(……)

Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz
🔥♥♥♥
Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja
kuwa pamoja
0 comments:
Post a Comment