juu

Thursday, 5 December 2019

SMS Za kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti

Related imageT.gifMeseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda

Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali
Nakupenda Mpz

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti

nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe
huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno
hayapo kwake,
nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo
tayar kumsaliti na lbd aanze yeye

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi
milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?

🔥♥♥♥


T.gifSMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku

Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako kumwambia anayo sehemu yake ya kukaa kwenye moyo wako

Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani
pia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi
kukosa nafasi ya kukuweka.

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye

Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.
Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa
kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,
nimeambiwa ili
nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.
Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu
umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu
peke yako dear…

🔥♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger