MSICHANA; Baby Leo nakuja Kulala geto kwako.Nimekubali uwe namimi kwan hata mimi nilikuwa nakupenda sana 
MWANAUME; Ni sawa umenikubali Umefanya vyema ,ila Kulala na wewe hadi tufunge ndoa...........  
Wanaume wa hivi bado wapo kweli au naota??? 
source https://sirinzitozamapenzi.blogspot.com/2019/08/mwanaume-kama-huyu-yupo-kweli-au.html
 

 
 
 
0 comments:
Post a Comment