juu

Thursday 22 August 2019

RAHA YA NDOA INATOKANA NA KINYWA KIZURI CHA MKE WAKO

My brother,,furaha na uzuri wa ndoa yako hautatokana na nyumba nzuri mtakayo enda kuishi baada ya harusi,,haitatokana na gharama ya gari mtakalo kuwa mnaendesha,,,haitatokana na chakula kitamu utakachokuwa unapikiwa,,,,Raha ya ndoa yako itatokana na kinywa kizuri cha mke wako,,ukipata mke mwenye kinywa kisafi,,kinachojua kinahitajika kizungumze kwa sauti ya chini,utulivu na kwa heshima na adabu mbele yako,,, kinywa chenye majibu mazuri,,maneno matamu,,ushauri mzuri,,ufariji,,kufurahisha na mapenzi ya dhati kwako,,,hicho ndo kinywa sahihi kwa maisha yako,,

Furaha ya ndoa yako itatokana na tabia za mke wako,,tabia zake ndo zinaleta nuru ndani ya nyumba yako,tabia zake zinaleta amani na utulivu wa nafsi yako,,kinywa chake kitaleta tabasamu usoni mwako,,kinywa chake kitaondoa stress na kukusahaulisha shida zako na yale yanayokukwaza kwenye maisha yako,,,kitaondoa hofu,,huzuni na kukupa furaha.







Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger