juu

Tuesday, 13 August 2019

SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUOLEWA NAE

SIFA 10 ZA MWANAUME AMBAYE KILA BINTI ANAETAKA KUOLEWA ANGEPENDA AOLEWE NAE. 

1. Awe na pesa nyingi 

2.Siyo lazima awe mzuri wa sura 

3. Ajenge ukweni 

4.Awe mpole 

5.Asimuonee wivu mke wake 

6.Awe mwenye upendo wa dhati 

7.Asishike simu ya mke wake. 

8.Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani 

9.Awe anamskiliza mke wake kwa kika kitu. 

10.Asipende mwanamke mwingine zaid yake 

UKIMPATA MWANAUME MWENYE SIFA HIZO KAPIME DNA LAZIMA ATAKUWA NI BABA AKO. 







source https://sirinzitozamapenzi.blogspot.com/2019/08/sifa-za-mwanaume-bora-wa-kuolewa-nae.html
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger