juu

Monday, 12 August 2019

SIMBA YAIPIGIA HESABU KALI AZAM FC


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa mpango wake anauwekeza kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC utakaochezwa uwanja wa Taifa Julai 17.

Aussems amesema kuwa anatambua ushindani uliopo kwa sasa kwa timu zote Bongo hivyo anawaheshimu wapinzani wake ambao ni Azam FC.

"Kwa sasa tunajiandaa kucheza na Azam FC kwenye mchezo wetu wa ngao ya jamii, tumejipanga kufanya vizuri hivyo nina matumaini kila kiu kitakwenda sawa.

"Mashabiki wanahitaji kuona timu inapata ushindi ndivyo ilivyo na kwa wachezaji pia hivyo tutapambana kupata matokeo chanya mbele ya Azam FC," amesema.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger