Mademu wa Dar hata kama hujui kutongoza, wee kuwa mzee wa trick tu, vaa vizuri michomekeo hatari, Iphone feki mkononi huku unapiga simu feki unaongelea Pesa tu na madili feki, mara tenda ya bilioni 3 kwenye kampuni yako, mara bandarini mizigo ya milioni mia 9, mara mkataba wa milioni mia 8. Mwenyewe ghafla utasikia, "kaka mambo, shika hii namba yangu utanicheki".
source https://sirinzitozamapenzi.blogspot.com/2019/08/wadada-wa-mjini-hawa-wakaka-wamewakosea.html

0 comments:
Post a Comment