1.Mwanaume asiruke Maandiko ya Imani yake.
Mwanaume anapofikia umri wa kuoa ni lazima kwanza amuombe Mungu kazi. Kwa sababu kazi yake ndio itachagua mwanamke wa kuishi naye ili ndoa au mahusiano yao yaweze kudumu. Usiombe mke Mwanaume Omba kazi kwa Mungu. Mahusiano yanayodumu hayaletwi na mihemko ya mwili. Yanaletwa na ukomavu wa akili ya mtu , yanaletwa na Upendo wa kweli, Upendo ambao huanzia kwenye urafiki wa kweli.

Kazi ya kuajiriwa ni kibarua, kazi ya kujiajiri ndio kazi. kazi ya kutumia akili yako, kazi ya kumiliki muda wako, wewe uwe ndio raisi wa muda wako. ukiwa na shule utapata mke mwalimu. ukiwa na Hospitali utapata mke Daktari au nesi, Ukiwa mtumishi utapata mke mtumishi. Kazi ndio inayochagua mke sio maombi ya kila siku ya kupata mke mwema.
2.Inahitaji Kukamilishana.
Tabia nzuri kwenye mahusiano ni katika kukamilishana. Kama unasikia kuboreka kwenye mahusiano yako ni kitu cha hatari sana. Chumba cha kulala sio cha kusoma novel. soma nje ya chumba cha kulala. mawasiliano ni muhimu kwa watu wawili. Kupeana muda wa kutosha. Hakuna zawadi kubwa kama kumpa mwenza wako muda wa kutosha, kumsikiliza. kukutana na mahitaji ya kila mtu.
3.Kujitoa Kwa Bidii Kuboresha Mahusiano.
Wenza ni lazima kuamini kwamba mahusiano yanajengwa na watu wawili sio mmoja . Kama mnataka mabadiliko , kila mtu aangalie upande wake . Abadilike yeye kwanza . hutaweza kumbadilisha mtu, Mungu peke yake ndio master wa kubadilisha watu. Hakikisheni mnatafuta taarifa za kutosha kuhusu kuendeleza mapenzi yenu. Ukiwa na taarifa za kutosha utakuwa na ufahamu, ukiwa na ufahamu utapata Hekima.
Kumbuka kuwa mtengeneza mahusiano na mvunja mahusiano sio mtu wa pembeni ni wewe mwenyewe. Mkielewa hili hakuna kitakachozuia mahusiano yenu kudumu. Ni ujumbe mfupi lakini ukizingatia utakupa faida kubwa.

0 comments:
Post a Comment