juu

Sunday 1 December 2019

UPENDO ULIOPO NDANI YENU LAZIMA UONEKANE USIWE WA KIFICHO



Habari yako msomaji wangu,, nawakumbusha kuwa siku zote palipo na upendo lazima paonekane maana ni kama taa,,walio gizani huona,,usithubutu kuficha hisia zako na kuzuia yatakayo mpa mpenzi wako furaha,,,kwani harufu nzuri ya Upendo wako ni dawa kwa mpenzi wako,,,,palipo na upendo katika ndoa watoto hujua na kujifunza toka kwenu,,,ni vyema kujua hili ili kujifunza NA kuifanya familia yako iwe yenye amani wakati wote.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger