juu

Thursday 22 August 2019

JINSI YA KUTUMIA MAFUTA YA NDIMU UKENI

 ➡Ukishamaliza kuoga na kujiswafi kyumani na umejikausha vizuri. 
➡Chukuwa kitambaa chako kisafi na kilaini kichovye katika yale mafuta yako ya ndimu 
➡kisha anza kusafisha uke na kupaka hayo mafuta ya ndimu kwa kutumia kile kitambaa kilaini na kisafi kuzunguka mashavu yote ya kyuma na kwa ndani kidogo utaratibu usitumie nguvu. 
➡Ukimaliza usinawe kwa maji vaa chupi yako endelea na kazi zako mpaka jioni ukiwa unaoga ndio upasafishe ulale ukiwa fresh baada ya kuoga jioni usipake tena kitu chochote kile lala hivyohivyo.






Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger