juu

Thursday 22 August 2019

UPENDO WA KWELI HUVUMILIA MENGI

Kuna baadhi ya watu huwa hawapendi mahusiano ya wengine,,hivyo hutumia mbinu mbalimbali ili mradi kuona mahusiano hayo yakivunjika,, 
Kwahiyo kama una mwenza wako na unampenda kweli jitahidi kufanyia uchunguzi kila baadhi ya mambo unayoambiwa kuhusu mwenza wako,,NA sio kufanya maamuzi eti kwasababu fulani kasema basi itakuwa ni kweli tu,, 
Usipende kujipa uhakika kwa mambo unayoambiwa kuhusu mahusiano yako bila kufanya uchunguzi wa maneno hayo,,kumbuka mapenzi ya kweli yanajengwa na watu wawili waliokubaliana kuvumiliana kwa kila hali,,kwahiyo jitahidi kutoruhusu maneno ya watu yawe sababu ya kuvunjika kwa mahusiano yako






Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger