Ni muhimu sana ujiamini kwamba mwenza wako (mume wako au mke wako) anakupenda sana kama wewe unavyompenda yeye hata kama haoneshi kwamba anakupenda ila amino kwamba anakupenda sana ndio maana amekuchagua we were. Fahamu hivyo na amini hivyo.
KAna ukiweka hii katika ndoa yako, huwezi kuyumbishwa n a upepo wa mashaka na hofu wakati kunajitokeza kutoelewana. Kwa njia hii itakuwa rahisi kuirudisha ndoa yako kwenye mstari.
source https://sirinzitozamapenzi.blogspot.com/2019/08/kama-haujaweka-hii-katika-ndoabasi-sahau.html
0 comments:
Post a Comment