Ukijirahisi sana kuvua chupi kwa wanaume hutokaa upate heshima ya Dunia, wala Jamiii inayokuzunguka pamoja na familia yako. Tunza sifa zako kwaaji ya mumeo mtarajiwa, achana na uraghai wa wanaume wakware ambao wanalengo la kukupotezea na kuishusha thamani yako.
Ukitumia ubora wako kama kigezo cha kuonesha uhodari wako kwa wanaume wakware, NDOA utazisikilizia kwa majirani na utaishia kuwa mgeni muarikwa kwenye ndoa za wenzio. Heshimu mwili wako na kuutunza kama mboni za macho yako.
source https://sirinzitozamapenzi.blogspot.com/2019/08/ladies-hii-ni-kwa-ajili-yenu.html
0 comments:
Post a Comment