juu

Friday 7 June 2019

FANYA HIVI KUONGEZA HAMU YA KUHONDOMOLA



Vijana wengi wanafanya mazoezi kwa sababu kuu mbili. 1) kuwa na muonekano mzuri, kuvaa nguo upendeze, na wengine kuvaa ili kuvutia madem. 2) Hufanya mazoezi ili kuwa na stamina ya kufanya mapenzi au kujiepusha na magonjwa.
Sababu zote ni nzuri, lakini kinachotokea ni kwamba wengi hushindwa kufikia malengo yao katika mazoezi kutokana na vyakula wanavyokula.
Tumia vyakula hivi ikiwa unafanya mazoezi na utafanikisha lengo lako unalolifanyia mazoezi bila nguvu nyingi. Ikiwemo uwezo wa kuchapa ngozi kwa kiwango cha standard gauge.
Kula kila baada ya saa 3
Ili ufanikishe kuupa mwili wako nafasi ya kutengeneza virutubisho kwa ufanisi, kula kila baada ya saa tatu. Na katika kila mlo hakikisha unakula vyakula vyenye protini kwa wingi. Kila baada ya saa 3 unahitaji at least kiasi cha 20 au 25 grams of protein.
Hii ni kwa wafanya mazoezi pekee.
Usile vyakula vyenye carbs baada ya mazoezi
Vyakula vyenye carbs mfano mihogo ni vizuri lakini sio kwa ajili ya mazoezi. Mwili wako unatumia muda mrefu sana kumeng’enya vyakula vya carbs. Hivyo inashauriwa vyakula hivi vitumike kwa wingi siku ambazo haufanyi mazoezi.
Unapokula vyakula vinavyosagwa na kutumika haraka mwilini unausaidia mwili ku-repair kwa urahisi na haraka zaidi.
Protein protein protein
Protein hufanya misuli kukua kwa urahisi, lakini pia husababisha hamu ya kufanya mapenzi. Kwa wastani mtu mzima anahitaji 0.8 grams ya protein kwa kila kg moja mwilini. Mfano mtu mwenye uzito wa kg 50 anapaswa kutumia protein grams 40 kila siku.
Usingizi wa kutosha
Kitu cha msingi sana kwenye mwili wa binadamu ni usingizi. Unapolala mwili wako unajenga misuli kwa haraka zaidi. Lala kwa saa 7 mpaka 9 kwa siku ili kupata hamu ya mapenzi pamoja na kuwa na mwili unaovutia zaidi.





Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger