juu

Thursday 6 June 2019

BALAA LA MZEE WA BWAX STEJINI DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO)

Msanii wa Singeli, Mzee Wa Bwax akiongea na mashabiki Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar live.

Mashabiki wa burudani haswa wapenzi wa muziki wa singeli usiku huu katika kusherehekea  Siku Kuu ya Idd Pili wamepata bonge la burudani kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar live  kutoka kwa Mzee Wa Bwax katika onesho maalum la usiku wa Ray Vanny.

…akifanya yake Stejini.

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

The post BALAA LA MZEE WA BWAX STEJINI DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO) appeared first on Global Publishers.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger