juu

Wednesday 5 June 2019

WANAWAKE WANENE NI HATARI MAPENZINI



Wanawake wanene husemekana kuwa wazuri sana ukiwachumbia au hata kutembea nao. Watacheka sana wala hawataficha tabasamu lao na hivyo kufanya siku yako kuwa nzuri zaidi Haya ndiyo mazuri ya kumchumbia dada mnene
1. Huwa wacheshi sana Huwa wacheshi sana Kina dada hawa wanajua kuwa hautawatambua kama vile wasichana wenye miili midogo. Hivyo basi hutumia mbinu nyingine kama kuwa na urafiki na uhusiano mwema na watu. Kwa hivyo hukufurahisha kwa wakati mwingi.
2. Huwa na joto Wanawake wanene ndio wenye mahaba Kina dada hawa huwa na joto ya kimwili na hata pia ya kihisia. Huwa wenye moyo wa kukaribisha na hata wakati wa kujamiiana, kwa kawaida utafurahia
3.Miili yao hupendeza ukiitalii Miili yao minene hukupa kazi nzuri ya kuitalii. Utapata sehemu nyingine za mwili wake zenye joto la kimapenzi ambapo ukishika yeye ‘huwaka’. Habari Nyingine: Mwanaume alalamikia kunyimwa mapenzi na mkewe Pia, ukubwa wa miili hiyo yao hufariji. Wakati changamoto za kimaisha zimekuwa si haba, ukijilaza kifuani kwake wajihisi kwa hakika umefarijika.
4. Wengi wao hufurahia kucheka Kila mwanaume hupenda kumuona mpenziwe akitabasamu hata kwa mambo ambayo si ya kuchekesha. Furaha yao huchokozwa na mambo madogo na hivyo hukupa furaha tele ukiwa naye.
5. Wazuri sana kitandani Wanawake wanene huwa na joto la kitandani Kufanya mapenzi na dada mnene ni hafla ya furaha kabisa kwa sababu miili yao minene hukupa fursa ya kumshika vizuri. Habari Nyingine: Wafuasi wa Trump na Clinton wazua fujo katika miji ya Marekani Pia, hupata joto haraka baada ya ‘kushikwa shikwa’ tu kidogo. Japo huwa wanachoka haraka kuliko wenzao wa mwili mdogo, hupenda kujaribu tena mbinu kadhaa ili tu kukuridhisha kimapenzi.





Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger