juu

Friday, 7 June 2019

JIZUIE KUFIKA KILELENI MAPEMA KWA NJIA HIZI RAHISI



Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.

Kufanya mazoezi:
Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.

Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kufika kileleni  mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano

Mshirikishe mwenzako kikamilifu: Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kufika kileleni haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema ‘ngoja’ na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo.

Maandalizi kifikra: Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kufanya sex, basi jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni kitu cha kawaida. Hii ni kwa sababu kuongeza concentration ya kuwaza ngono inaongeza stimulation kiasi kwamba ukimgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza.

Angalia movie: Kuangalia  style zenye kuchochea kufika kileleni haraka …. etc hii ni ngumu kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.

Mazoezi ya kubana mkojo: Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo mara kwa mara… hii ina maana kuwa unapokojoa mkojo unaachia then unakatiza unaendelea tena alafu unakatiza tena . Fanya mara tatu kila unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu kwa ajili ya kuongeza strength ya misuli ya uume na kupunguza relaxation yake … njia hii imewasaidia wengi na wamepona kabisa





Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger