1.Wasiliana na mpenzi wako
Usipende kuweka mambo moyoni,,kama amekuudhi mueleze badala ya kuhifadhi vitu na kukaa na hasira ukisubiri mpaka yeye ajue kuwa ana makosa.
2.Onyesha shukrani
Kama mwenza wako amekusaidia kitu hata kama ni kimawazo tu,jaribu kuwa mtu wa kuonyesha shukrani.
3.Achia vitu vidogo vidogo
Kama amesahau kufanya kitu fulani alichoahidi kufanya,mkumbushe badala ya kukaa na kinyongo.
4.Tafuta kitu cha kufanya ukiwa na hasira
Watu wengi wanapenda kumalizia hasira zao kwa wenza wao,,hii inaharibu mahusiano polepole,,tafuta kitu cha kufanya ukiwa na hasira,,mfano;sikiliza mziki,,fanya mazoezi au ongea na mtu.
5.Tafuta vitu vya kufanya wewe mwenyewe
Ni vizuri kufanya vitu na mwenza wako lakini sio masaa 24 mpo pamoja,,peaneni nafasi ya kufanya vitu wenyewe na marafiki zenu.

0 comments:
Post a Comment