juu

Thursday 6 June 2019

IDD PILI: KINACHOENDELEA DAR LIVE MUDA HUU VANNY DAY

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva kutoka katika Lebo ya WCB, Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvanny’ amepanga kufanya shoo ya maana usiku wa leo Iddi Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani  Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem, Dar. Shoo hiyo ambayo ameipa jina la Vanny Day.

 

Wasanii watakakinukisha ni Juma Nature, Mzee wa Bwax, Young Killer pamoja na Gigy Money. Ujue listi ni ndefu sana na mashabiki wategemee sapraiz nyingi na kubwa sana usiku wa leo.

Mashabiki wakiendelea kutua Uwanja wa Taifa wa Burudani  Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem, Dar

The post IDD PILI: KINACHOENDELEA DAR LIVE MUDA HUU VANNY DAY appeared first on Global Publishers.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger